sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    Historia ya vyama vingi vya kisiasa Tanzania ni giza nene sana

    Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea. Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
  2. Kwenye eneo hili namkubali sana Elon Musk

    Mwana anasisitiza watu wazaliane unlike yule mwenzie wa makompyuta anaeshadadia depopulation. Heko kwa huyu mwamba, dunia inahitaji watu. The future of humanity is through birth.
  3. M

    Usilazimishe awe ndiyo yule unayemtafuta, utateseka sana

    USILAZIMISHE AWE NDIO YULE UNAYEMTAFUTA, UTATESEKA SANA Mambo ya kulazimishana kwenye mahusiano/urafiki limekuwa janga kubwa la Dunia na wengi wanaoingia kwenye huu mtego hujikuta matesoni. VIASHIRIA KUWA UPO UNAMLAZIMISHA AWE YEYE ILIHALI SIYE. 1.Unamkosoa sana. 2.Kila siku unambadilisha...
  4. Iran wanaangusha sana, sidhani kama anawaelewa

    Allah amesema kisasi ni haki, sasa Iran baada ya kupokea kichapo toka kwa marubani wakike wa ISRAEL, eti mpaka sasa ni zaidi ya mwezi wanaogopa kulipa kisasi. Mwanzo walikuwa na mbwembwe sana, lakini sasa wamelowa chepechepe. Ayatollah sijui anahofia nini yani ukiangalia uso wake anaona...
  5. Uchaguzi ni sayansi: Lissu anaenda kugaragazwa vibaya sana na Mbowe

    Tundu Lissu ni baba aambiliki nilimuonya hapa majuzi aache mission yake ya kukiua chama hajataka kusikia. Sasa anaenda kufundishwa adabu na bingwa wa sayansi ya siasa za upinzani Aikael Mbowe. Kelele ni nyingi mtandaoni lakini hazitomsaidia Lissu na kichapo cha mbwa mwizi toka kwa Mbowe...
  6. S

    Wanasiasa karibia wote ni wachawi. Makonda asibagazwe kwa kauli yake kuwa mama anarogwa sana.

    1. Zitto Zubery Kabwe alitamka bungeni kuwa atawageuza kuwa Nyenyere wale wote watakaothubutu kumfuata tuata. Hansard ipo mkasome. ZittoZubery Kabwe, mpk leo anaogopwa kama ukoma. 2. Propesa (siyo profesa) Maji Marefu (RIP) alitamka bungeni kuwa asilimia kubwa ya wabunge amewashika makalio...
  7. Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  8. T

    Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

    Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!. Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
  9. Rayvanny katoa album kali sana

    Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
  10. PreGE2025 Lissu aendelea kupanga safu yake kwa ustadi mkubwa. Anaumaliza uchaguzi mapema sana

    Lissu hapoi wala haboi, ameendelea kuipanga safu yake na jana usiku nyumbani kwake alikuwa na kikao kizito na wajumbe wa mkutano mkuu kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ambao hawakutokea kwenye press yake kwa sababu ambazo zipo kapuni. Awa ni wale wanaingia kama wapiga kura kwenye uchaguzi wa nafasi...
  11. Wayahudi wamechinjwa sana kwenye historia na bado wapo tu, hata mtume Mohammad aliwahi kujaribu kuwamaliza

    Kuna kipindi mtume aliagiza wanaume wa Wayahudi wachinjwe na wakachinjwa sana tu kwa ukatili mkubwa hadi watoto wa kiume waliobalehe, ila hatimaye alijifia na bado Wayahudi wakaendelea kuzaliana.....na hata kabla ya ujio wa mohammad na uislamu, bado kulikua na miungu iliyojaribu kuwafuta...
  12. M

    Haya maisha jamani nimejifunza sana kupitia Qatar world cup 2010

    Mzuka wanajamvi! Shirikisho la mpira duniani tarehe 2 December 2010 kupitia rais wake wakati huo Sepp Blatter walitangaza taifa dogo tajiri la uarabuni kuwa mwenyeji wa kombe la dunia 2022. Yani kumbuka hiyo 2010 nikawa najiuliza 2022 mbona mbali jamani wakati ndo mgeni mgeni kwenye Facebook...
  13. Haya mambo yanatesa sana vijana wa taifa hili

    Haya ni baadhi ya mambo yanayotesa sana vijana wa taifa hili. 1. Pombe kali, visungula, double kick 2. Betting 3. Ngono zembe 4. Simba na yanga 5. CCM Kama kuna vingine unaweza kuongezea
  14. Aggrey TZ anapitia magumu sana na anajutia aliyoyafanya huko nyuma

    Aggrey TZ kwa sasa anachukua sana mambo aliyokuwa akiyafanya huko nyuma. Ilifika kipindi nusu awehuke, hapa kati maskini ya Mungu kaumwa sana na ilifika muda ukimsogelea anakufukuza anasema hataki umf...r. e maana yeye sio shoga. Yani kawa mtu wa mapambio 24/7 na mtu wa majuyo sana yani mpaka...
  15. M

    LGE2024 Uchaguzi huu uliopita ni kuwadharau Watanzania kwa kiwango cha juu sana

    Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli. Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao. Ebu fikirini...
  16. N

    Kwa nini JECCS construction anapendelewa sana tenda za ujenzi na serikali?

    Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ? Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi ya trillioni 4 kwani hakuna kampuni zingine za wazawa?
  17. Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  18. G

    Wenye miaka 30+ ni maswali gani hupendi kuulizwa ukikutana na mtu ambae hamjaonana kwa muda mrefu sana

    class mates wa shule ya msingi / secondary marafiki wa utotoni / secondary Majirani n.k Mimi huwa nikikutana na mtu wa muda mrefu huwa nadeal na haya mambo Nimefurahi kukuona baada ya miaka mingi, ni majaliwa kufika hadi tulipo Ntakumbushia memories hasa tuliposaidiaana au aliponisaidia...
  19. US dola imejaa mpaka inamwagika, hongera sana Samia, hongera mwigulu

    Hakuna rais wala waziri wa fedha hata mmoja aliyewahi kuishusha us dola namna hii, Hongereni sana, kutoka 2850/= mpaka 2400/=? Hakuna kama Mama, kama mitaa tu ni hivi, je uchaguzi mkuu si tutaogelea kwenye asali na maziwa? Mama na akae mpaka achoke NB: Mkijua kulaumu, mjue na kupongeza
  20. Kombinesheni hii ilikuwa hatari sana kwa CUF

    Rais akiwa hayati Benjami William Mkapa, Rais wa Zanzibar akiwa Salmin Amour Komandoo na IGP akiwa Omary Mahita, CUF wakiwa kama Chama Kikuu cha Upinzani maji waliita mma. Utumishi wao katika Taifa hili umetukuka sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…