sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Dingi jau sana huyu 😆😆 (WWE WrestleMania 2025) Day 1

    Huyu dingi haeleweki aisee khaa😄😄
  2. D

    JamiiForums Tanzania Hii video ya John Heche imewaumiza sana wananchi

    Rais najua japo wengi wanamchukia ila kuna wachache wanapenda,ila Kauli kama hizi zitamfanya kila mtu amuone kama ni katili na mwenye Roho mbaya sana na wananchi kuzidi kumchuikia.
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ukomunisti ya China imewakanyagia chini sana raia wake, wanaogopa nini?

    Control ya raia iliyoko China ni kiwango cha kambi za mateso. 1. Ni taifa pekee kubwa duniani linalotumia time zone moja. 2. Ni taifa ambalo raia kutembelea jimbo lingine inabidi kupewa kibali na serikali, tofauti na hapo utakamatwa au hutapata baadhi ya huduma za kijamii. 3. Ni mojawapo ya...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Aliyeshauri kulipa mishahara Wanajeshi tu amekosea sana. Bora wasingelipa kabisa

    Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado. Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa Wanapaswa kutambua wanajeshi...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri ya mambo ya ndani, IGP na RPC wa mkoa wa Ruvuma watolewe ili kumwokoa Rais Samia kisiasa

    Jamani thinking tank ya CCM haipo? au kama ipo inauwezo mdogo sana wa kufikiri ! Ina maana wao hawaoni kuwa Samia amepotea kiasasa juu ya No Reform No election, pamoja na kumkamata Lissu na kumfungulia mashataka ya uhaini. Mwokoeni Samia maana propaganda zote zimeshikakana! Njia ya kumsaidia...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliohama CHADEMA ni wengi sana; kwanini ni Zitto tu anayefuatwa kishari zaidi na wana CHADEMA

    Aseme nini Zitto asishambuliwe na wanachadema? Akae kimya vipi Zitto asishambuliwe na wanachadema? Wanachadema wengi sana wamehama Chama hicho na kwenda vyama vingine. 2015 Hadi 2020 ikitia fora katika uhamaji. Kati yao wengi wameenda ccm na kuwa viongozi kabisa huko...........mashinji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utalaumu sana wengine kwa kushindwa kwako ila tabia yako pia kuna namna inakukwamisha

    Tabia ni sumaku inayovuta mambo yanayoendana na tabia yako ilivyo, kuna matukio unayapata wewe kwa sababu tabia yako inayavutia hivyo ili yasije basi kubadili tabia kuna kuhusu. Unaweza kubadili mazingira mpaka marafiki ila matokeo yakawa yale yale hapo fikiria sana tabia yako Unaweza...
  8. JamiiForums Tanzania Nimekukumbuka sana. Rest in peace

    Nimejikuta nalia hata hamu ya kula imekata kabisa wakuu.. Kuna uzi nimesoma umefanya kukumbuka mbali sana sana sana wakuu... Nilimpenda sana na nikawa naishi nae licha ya kujua alikua ni positive... Ila nilisema hakuna cha kutenganisha mapenzi yetu zaidi ya kifo.. Tupo advance alianza kuumwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii kazi imetulia sana

    Wajenzi na wazee wa fursa. Ramani hii hapa.. Simple design but very unique Hii joint inafaa nje kidogo ya mji mahali palipotulia na penye parking ya kutosha Swali la Kizushi: Je kuna haja ya kujenga gesti hausi pembeni kidogo!?😂
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kwa nini umasikini na kukata tamaa kumeongezeka sana awamu ya sita?

    Tiririka
  11. JamiiForums Tanzania UTAPELI WA MIZIGO UMEANZA ABOOD SERV ??VIONGOZI FWATILIEN HILI N AIBU SANA

    HABAARINI WAPENDWA WA ABOOD BUS SEEVICE KUNA MSIBA UMETOKEA WA JIRAN YANGU LEO WAKAOMBA USAFIRI TUKAWAUNGA NA BOLT WAKAENDA SHELKLANGO MZIGO UMETOKEA MOROGORO UNAKUJA DAR AJABU JANA JION WALIPIGA UJECHUKULIWA ASBH WAKAOMBA WATAPITIA LEO MCHANA KUFIKA HAUONEKAN..MCHELE NA UMELETWA KWA AJILI...
  12. JamiiForums Tanzania Ila hizi simu zinachangia sana kuvuruga mahusiano

    Jana ndio nilitambua kumbe nina uwezo wa kula haraka hata chakula kiwe kingi na chamoto kiasi gani. Tumetoka kwa chakula cha usiku mwenzangu simu yake akaicha ndani kwenye chaji, tumefika sehemu ya kula tumeanza tu kula akaniomba simu yangu atume mail fulani kabla hajasahau, nikampa...
  13. JamiiForums Tanzania Nimecheka sana hili bango nililoona hapa Korogwe mjini -Tanga

    Katika majimbo ambayo hayana mbunge basi ni korogwe mjini. Nilikuwa hapa kwa semina ya siku tatu, Katika kupita huku na huku nikaona hili bango ambalo nilisikia waliweka kipindi Mama anakuja! Bango hili liko mita chache tu kwenye barabara hii inayoelekea Magunga hospitali !! Je ni kweli...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: NIDA ni jipu mnafeli sana sema mnafunika kombe

    Nianze kwa kusema hivi; mwaka 2018 nilikuwa mkoani Tabora nikifanya kazi kwenye kampuni moja na ndiko nilikojiandikisha kupata NIDA. Baada ya mwaka mmoja nikarejea Dar pasipo kupata Kadi yangu, nikawa mjini kwa mda wote huo hadi 2023 niliporudi Tabora kwa masuala yangu na mara hii nilibahatika...
  15. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
  16. JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini transaction fee kati ya mabenki na mitandao ya simu ni kubwa sana?

    Wakuu hawa watu ni kama wana ugomvi, ukitaka kutuma hela kwenda bank au bank kuja kwenye simu lazima ushtuke, gharama zake hazina tofauti na kutoa hela kwa wakala i.e Mpesa! Kwa mfano mtu anayetuma mil 1 anakatwa mpka 11k wakati hela hiyo hiyo kutoka bank moja kwenda nyingine wanakata buku tu...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Sio ubinafsi lakini ukishazoea kuishi peke yako ni raha sana na ni ngumu kuja kuishi na mtu tena

    Huu utafiti nimejifanyia mimi mwenyewe. Nimezoea kuishi peke yangu kiasi kwamba hata nikipata binti yoyote wa mahusiano namuona kero akiwa kwangu. Yaani zamani nilishikwa na upweke baada ya kuachana na mpenzi wangu wa muda mrefu lkn kuna mahala nikakuta wanasema "Do not fight loneliness, but...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uaminifu: Tabia inayochukuliwa Poa sana na vijana wa kitanzania

    Leo nimkutana na hiki kisa mshikaji analalamika: Mwanao anakupigia simu ana shida ya HELA anakwambia nitaregesha baada ya siku mbili, kimoyomoyo unasema ngoja nimpe tu mwanangu asovu mambo yake wala hakuna haja ya kunirudishia. Ghafla baada ya siku mbili unampigia mwanao simu kapiga BLOKU afu ww...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…