sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnasema sana

    Wanaukumbi. Katoliki tunawajua Rais asipokuwa Mkatoliki huwa mnabwabwaja sana, kuna raia aliyeminya demokrasia kama Magufuli, alipiga marufuku mikutano ya Siasa, uchaguzi wote alisimamia yeye hata matamko mbona hatukayaona, watu walitekwa wangine walipotea kabisa acheni unafiki. Mama Samia ni...
  2. JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani anauza Nini mbona amemuacha mbali sana China Kwa GDP

    Wachumi naomba mnisaidie, china now ni manufacturing super power, kuliko marekani. Lakini ukiangalia GDP ya china na marekani aisee gap ni kubwa mnoo. Kwa tarifa za hivi Sasa US GDP inaenda $30t na china inaenda around $20t. Yaani tofauti ya almost $10t. Hizo data nimezitoa mtandaoni. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo ya Ndoa: Mkiwa na Amani inakuwa raha sana kwa kweli, Ishu ni kui-maintain hiyo Amani

    Asikuambie mtu kwenye ndoa kipindi cha Amani, huwa kimejawa na furaha na mshawasha wakutosha. Hasa ukute umeoa/kuolewa na rafiki yako, mnapatana. Unajikuta unatamani kuwa karibu na mke/mume wako wakati wote, unapata hamu yakumnunulia zawadi hata kutoka outing za hapa na pale. Ndugu zangu...
  5. JamiiForums Tanzania Kugombaniwa na wanawake kwangu ni kawaida sana

    Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji. Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea. Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Fahdu Davis umenikera sana leo, safari ya kurud Dar naiona ndefu sana

    Uongozi umefanya kila jitihada, mambo yote yanayotakiwa kufanyika yalifanyika lakn wewe ndio umeharibu kila kitu, kazi yako ilikuwa kulalamika tu uwanjani bila solutions Hongera sana kwa kuivusha kisayansi Stellenbosch
  7. JamiiForums Tanzania Nasikia Fadlu Hussein na Aouah ni marafiki sana

    Kila kocha kwenye timu anayofundisha huwa anamchezaji ambaye ni swaiba yake. Nasukia Jin cha awaaa Ni best wa kocha mzulu mixer muhindi Fadluhussein Huo ushikaji utakujakumtokea puani huyu kocha
  8. JamiiForums Tanzania Naumia sana kuona jinsi ambavyo mimi na yeye tunachuniana

    Tumefahamiana tokea mwaka 2022 Desemba. Kufika Feb 2023 nikatupia swaga kutokana na mazoea ambayo nilikuwa nishajiwekea kwake, cha ajabu huyu mwanamke akanitolea baharini, nikaachana naye hata kwa mazoea ili kuruhusu vijana wengine wapambanaji kupambania kombe Tuliishi kama majirani wa salamu...
  9. JamiiForums Tanzania Usaliti ni mbaya sana

    Ninasema kila aliyesaliti Tanzania atapata majibu yake kabla ya kifo atateseka Sana!! Kila msaliti wa mageuzi Tanzania atalipwa usaliti wake Leo mbowe ni wa kusaliti mageuzi kuwa kiungo wa mafisadi na wanyonyaji ? Mbowe ameenda kumtembelea Lissu keko wameshindwa kuelewana mpaka Lissu imebidi...
  10. JamiiForums Tanzania Yesu alisema mateso haya ni makubwa sana

    Bwana Yesu alipokuwa Gethsemane alisema,"Baba,kama ikiwezekana,sitaki kukinywa hiki kikombe cha mateso. Lakini Mapenzi yako yatimizwe,siyo utashi wangu.". Sasa hapa kuna ubishi kwamba hiyo haki ya kupiga kura kistaarabu Mamlaka iombwe au watu wanapaswa kuchakarika?
  11. JamiiForums Tanzania Waangalia mpira bar wana kelele sana

    Usiombe uende bar siku ambayo kuna mechi kama hii ya leo ukutane na jeshi la waangalia mpira,siku hiyo lazima urudi nyumbani masikio yanafanya nziiii jamaa wana kelele sana imagine wapo watu kama 50 na kila mmoja anaongea
  12. JamiiForums Tanzania Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

    Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Huku mitaani mnapotoshana kwamba mishe ya kuuza bangi kitaa zinalipa, wapi wewe uliwahi kuona pusha aliyetajirika ? mapusha wengi wanakufa masikini

    Na hii sizungumzii kwa hear say kwamba nilisikia, NO ! nimeishi mitaa yenye mapusha wa kijiti. Miaka nenda rudi hadi nimehama hio mitaa na kurudi kusalimia nimewakuta wapo vile vile tu hakuna maendeleo kilichobadilika umri umeenda au wengine wapo jela. System ya mapusha wa bangi hapa bongo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Neno Haki kwa CCM ni kama kosa la jinai kulitaja na hata wakilitaja watalitaja kwa kukunja sura kama wamemeza ndimu

    Kwa mwana ccm hasa viongozi, ukiwaambia watamke neno Haki, ni kama wanataka kuingia kwenye kosa la Jinai kulitaja, ni kama kutaja jina la mama mkwe wao Kwa nini mnazuwia kwa nguvu zote mahala popote Haki kutajwa? Hii inasadifu kile kinasemwa na umma wa Watanzania kwamba, ushindi wenu upo...
  15. JamiiForums Tanzania Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana.

    Miaka 35 ya Jux akimiliki PESA, ELIMU , UMAARUFU ila bado alikataa kuzaa nje ya ndoa hongera Jux you made it ni somo kubwa sana kwa vijana. Jux we ndo kioo cha jamii Hapa Tanzania achana na hao waswahili wanaojiita wasanii.
  16. JamiiForums Tanzania Wakatoliki ni watu Intellectual sana : Asante askofu Pisa, Je ni nani anaevuruga amani?

    Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru. Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi… Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense. Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
  17. JamiiForums Tanzania Yamebaki majengo machache sana yaliyobaki wima Gaza. Sasa wanapiga mahema na vita havijaisha

    Ukiona jengo limesimama basi ujue limeshapigwa na limejaa nyufa na wakati wowote litabomolewa kutoka angani.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu ni majina ya AMOSI wengi wana uelewa mdogo kiasili ,huwa hawako vizuri kwenye reasoning,ni wazito kiakili, na ni wakurupukaji sana

    Hili ni baada ya kuwafahamu kina amosi wengi sana nilio kutana nao katika maisha yangu ya kawaida , nadhan ndugu msomaji hebu na wewe wakumbuke kina amosi ulio kutana nao kwenye maisha yako kisha toa ushuhuda.
  19. C

    JamiiForums Tanzania KKKT mnapoteza sana muda wenu kuendelea kumng'ang'ani MALASUSA huyo si msaada tena kwa ustawi wa kanisa.

    Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
  20. JamiiForums Tanzania Binti yangu; ukiona Dalili hizi kwa Mchumba anayetaka Kukuoa kimbia haraka Sana

    BINTI YANGU; UKIONA DALILI HIZI KWA MCHUMBA ANAYETAKA KUKUOA KIMBIA HARAKA SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kwanza nilikuambia unatakiwa ujitegemee na uweze kujimudu mahitaji yako ya msingi. Huo ndio UTU wako. Na hiyo ni Moja ya sifa kuu ya Mwanamke Bora atakayekuwa Mama Bora na Mke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…