samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassani awasili Nchini kutokea Japan

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ametua nchini na kupokelewa na Makamo wa Rais pamoja na viongozi wa vyombo vya Ulinzi na Usalama akitokea katika ziara yake ya kikazi aliyoifanya nchini Urusi, akiwa huko alifanya mazungumzo na mwenyeji wake Rais Vladimir Putin. Moderators rekebisheni...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Rs mpya za Samia

    Recklessness, Revulsion, Reticence, and Reasonless.
  4. JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa Kuja Russia maana ametufungulia njia vema kujieleza tukaeleweka

    Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele...
  5. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Spief 2026 ni faida kuu kwa mustakabali wa uhuru wa kiuchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Jukwaa la Kimataifa la Uchumi la St. Petersburg (SPIEF), Mara nyingi jukwaa hili hutajwa pia kama "Davos ya Urusi" kutokana na uzito wake si mkutano wa kibiashara wa kawaida bali ni kitovu kikuu cha maamuzi ya kimkakati yanayofanywa na mataifa yenye ushawishi mkubwa kiuchumi na kijeshi duniani...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wakati Ruto kapata zaidi ya $3B mwaka huu kutoka USA ! Samia anajiongezea PHD kapata $0

    Wakati Ruto kapata zaidi ya alipewa $1.6 B ya afya na sasa amepewa $1.7B kwasababu ya Ebola. Ebu tujiulize ni ajira ngapi zitapatikana ni zaidi ya $3B inaingia Kenya. Samia anajiongezea PHD huko Urusi kapata $0 anakuja na mashaga sijui yanasaidia nini Tanzania. Hii ndiyo tofauti ya nchi yenye...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

    Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania. 1. Tanzania- Russia Business Forum. 2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
  9. K

    JamiiForums Tanzania Samia anajali familia na marafiki zake tu sio Tanzania!

    1. Angalieni safari ya Urusi kajaza ndugu zake na watoto. Hakuna hata kitu kimoja cha kunufaisha 2. Ni mkataba gani wa maana tumepewa au uwekezaji gani wa maana!!! 3. Yaani tukio kubwa eti ni kupewa PHD ya heshima!!!! Haya mambo yote ni ya kufurahisha nafsi yake lakini manufaa kwa nchi hakuna
  10. JamiiForums Tanzania Ile shahada yagoma kukaa Kichwani kwa Samia Suluhu, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa🤣🤣

    Ile shahada yagoma kukaa Kichwani mwa Samia, Yadondoka Chini. Warusi Waduwaa.. Haijawahi kutokea tangu Dunia kuumbwa.. Kofia imejua imengia kichwa fake? Sababu alikua anahema juu juu kama Kiboko🤣 Samia kubali Elimu imekukataa.. Naona wamelazimisha kukuvika.. Aibu sana umewatia Wazanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania President Samia has been awarded Honorary Doctorate Degree in Russia

    President Samia Suluhu Hassan has been awarded an Honorary Doctorate Degree (Honoris Causa) by RUDN University in Russia, popularly known as Patrice Lumumba University, in recognition of her contribution to excellent leadership, diplomacy, and social development. The degree was conferred during...
  12. JamiiForums Tanzania Picha: Mtoto wa Samia akiwa Russia

  13. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe au kutapatapa kama siyo kutengwa ziara ya Samia Urusi kupigwa mabomu na Ukraine?

    Akiwa nchini Urusi kwa ziada ya kikazi, rais Samia alijikuta katika mtanange ambapo mji wa St Peterburg ulishambuliwa na drone za Ukraine. Kwa kiongozi wa nchi, hii inaleta picha gani? Mbali na hilo, alivyokuwa akihangaika kusoma wakati akitoa salamu za kawaida ambazo hazikuhitaji maandishi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari na Chuo Kikuu cha Patrice Lumumba, Russia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi. Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi wake, mageuzi katika sekta ya elimu, juhudi zake katika kuimarisha diplomasia ya Tanzania pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.
  17. JamiiForums Tanzania Ni wajinga pekee wanaowaza kwamba Nchimbi anaweza Kugombana na Samia. Mnadanganyika na Cheap Propaganda hizo kweli?

    Ni wajinga, wapumbavu, malofa wanaowaza kwamba .Nchimbi anaweza kugombana na Samia kwa lipi kwa kipi ? Wakati nae anaunga mkono ujinga uliofanyika October 29 damu za watu ndo zimempa umakamu wa Rais tufike kipindi hata tutumie akili za kawaida hizo ni propaganda za wanakitengo tu. Kiufupi...
  18. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka! Tangu zamani...
  19. JamiiForums Tanzania Kwani Samia si ajiuzulu tu

    Yani sikuhizi kila nikiona video za mandhari nzuri za Tanzania nikianza kufurahi kichwa changu kinanikumbusha Samia ndio Rais Haka kabibi kajiuzulu tu tupumzike mauaji na kutekana, Tanzania yetu irudi tulivyoizoea. 2030 inachelewa
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ukijaza Undugu/Uzanzibari/Utanganyika kwenye Uongozi ndiyo yamkuta Mama Samia! 2026 eti una pongeza Urusi kwa ukombozi wa Africa!!!

    Tatizo la kujaza watu kwenye uongozi waliojaa uchawa na uzanzibari. Sasa Mama badala ya kusafiri nje kutafuta uwekezaji na technologia ili kukuza ajira na maendeleo anaenda Urusi eti kuwashukuru wa ukombozi wa Africa. Ukombozi gani wakati yeye mwenyewe hajachaguliwa, wabunge wanachaguliwa mezani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…