samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia abariki ATCL kuwapelea Mahujaji Makka

    Rais Samia amebariki Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupitia ndege yake ya Boeing 737-9 kuwapeleka Mahujaji Makka nchini Saudi Arabia.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DJ wa Diamond, RJ the DJ atangaza "Mama Tour" kuzunguka zaidi ya mikoa 10 kumuunga mkono Rais Samia

    Wakuu DJ maarufu wa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, RJ The DJ, ametangaza ziara yake ya muziki inayojulikana kama "RJ The DJ Mama Tour", ikiwa ni sehemu ya kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kaulimbiu ya "Naungana na Mama, Mitano Tena." Ziara hiyo itapita katika mikoa...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Machi 31, 2025

    Rais Samia akishiriki Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025. https://www.youtube.com/live/Hb63c_TjKB8?si=wqlP3wcHwx2apfo2 Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Alhaj Nuhu Jabiri, amewahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Sala ya Iddi kitoka Msikiti Mkuu wa Bakwata, Kinondoni DSM: Mgeni Rasmi Baraza la Iddi ni Rais Samia, JK, Salma, Mchengerwa Ndani!. Eid Mubarak!

    Wanabodi Nafuatilia live ya Swala ya Idd El Fitri kupitia TBC live!, kutokea kwenye Msikiti Mkuu wa Bakwata, Msikiti wa Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Karibuni https://www.youtube.com/live/c2Ad4IXVKUU?si=OMJZtMBCkCXGDagu Nimemuona Rais Samia amehudhuria ibada...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia atoa mkono wa Eid kwa watoto yatima Kagera

    Ikiwa yamesalia masaa machache kuelekea sikukuu ya Eid Al- Fitri ikiashiria kutamatika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani, Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa mkono wa Eid kwa vituo vyote vya kulelea Watoto mkoani Kagera hapo jana tarehe 29/03/2025. Taarifa...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Deni la taifa, trilioni 97 hajakopa Rais Samia peke yake, tulikopa tangu enzi za Nyerere

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema nchi inakopa kwa ajili ya kufanya mambo tukayoishi nayo na faida zake zitakuwepo kwa miaka mingi kwa kizazi cha sasa na hata kijacho. Amesema deni lililopo la Sh. trioni 97 sio kwamba lote limekopwa na Rais Dk. Samia Suluhu...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mama Samia hata hongo za wazi za Matrafic zimekushinda?

    Watanzania wamechoka maigizo. Sijui kuna watu wanaitwa Takukuru ! Yaani hongo za traffic za barabarani na stendi zimawashinda wataweza kupigana na hongo za mikataba🤦🏾‍♂️ huu ujinga jamaa hatuuoni. Sasa serikali ikisema inapigana na rushwa rushwa gani hasa. Ni nani kafugwa kwa miaka yote ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Namna mashirika ya umma yanavyotumia 4R za Rais Samia

    Kutokana na report ya CAG ya mwaka 2025 hivi ndivyo mashirika ya Uma yanavyonufaika na 4R za Mh Rais wetu mpendwa. 1.TTCL wao wameona namna nzuri ya kunufaika na 4R za Mh Rais ni kupandisha hasara kutoka billion 4.32 mwaka 2022 hadi billion 27.7 mwaka 2023. 2.TRC wao wameupiga mwingi zaidi na...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Generation Samia: NEST itatengeneza mamilionea Mwanza Machi 29

    Generation Samia imewahamasisha wakazi wa mkoa wa Kanda ya Ziwa kuchangamkia fursa ya bajeti ya asilimia 30 ya tenda za Serikali iliyotolewa makundi ya vijana, wanawake, wazee na watu wenye ulemavu kupitia Mfumo wa NeST. Kwa kutambua kuwa vijana ni chachu ya mabadiliko, Generation Samia...
  10. Kinyungu

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiislam Wamuomba Rais Samia Ufadhili wa Umra na Hija

    Wakuu kama title inavyojieleza hapo, ndugu zetu katika imaan wanaomba ufadhili wa rais Samia ili watekeleze ibada ya Umra na Hija. ================ Wanawake wa Kiislamu nchini wamemuomba Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuanzisha mpango wa ufadhili kwa Wanawake wenye hali duni ili...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nimekutana na Gari lenye Mabango ya Picha za Dkt. Samia, Abiria waliokuwemo wanatazama Hotuba za Lissu. Walionekana na furaha sana

    Kwenye harakati zangu za leo asubuhi nimekutana na jambo lililonishangaza. Kumbe watu ni wajanja sana na wanafiki. Kwenye hilo gari aina ya Toyota Double Cabin lilikuwa na mabango yenye picha za ccm na Rais Samia kama mwenyekiti wa Chama Taifa. Wale abiria waliokuwemo wametune Sauti iliyokuwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kumuombea kheri rais Samia ni uzalendo kwa nchi yetu- Kikwete

    Wosia huu umetolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete , Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana , Ajira na Wenye Ulemavu wakati akiwahotubia Wananchi waliojitokeza kuomba dua kuiombea Nchi na Dr. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nyumbani kwake...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 MNEC Ndele Mwaselela: Hakuna wa kushindani na Rais Samia kwenye uchaguzi 2025

    Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa...
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ndio anayetoa fFedha za Maendeleo, nashauri Wananchi wasitoe kodi

    Kwa sasa nchini Tanzania tunaambiwa kuwa Raisi samia Suluhu anatoa fedha zote za maendeleo na kila kitu kinacho endelea nchini nzima nashauri wananchi wasitoe kodi yoyote maana Raisi samia ana hela za kutoa na wala sio kodi za wananchi . Kama miradi yote nchi nzima fedha anatoa raisi samia...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majiran

    Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine. Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
  16. Bams

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

    Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi. Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
  17. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitampigia kura Rais Samia

    Oktoba 2025 Kura yangu sahihi nitampigia Dr Samia na wagombea wote watakaopitishwa na vikao halali vya Chama Cha Mapinduzi CCM. Lucas Mwashambwa Lucas mwashamba ChoiceVariable Tlaatlaah
  18. Nauza Akili

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wangu watano bora serikali ya Mama Samia

    Tunapoelekea uchaguzi Mkuu na kuvunja bunge na serikali,hawa ndio mawaziri wangu bora,ukimtoa Waziri Mkuu mzee wetu Meja. 1. Juma Aweso waziri wa maji haitaji kuelezewa sana kazi yake inaonekana. 2. Innocent Bashungwa huyu ni kiraka anafit wizara yoyote utakayompa he's very Giniasi 3. Dotto...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wasaidizi wa Rais Samia wakae chonjo, wasipokuwa makini, Rais anaweza kuzindua miradi kanda ya ziwa kwa miezi sita mfululizo, ni mingi sana

    Kanda ya ziwa ni construction site. Kote panajengwa au pana majengo mapya, miradi mipya. Nashauri wasaidizi wa Rais wawe makini, tunajua Rais anapenda sana aende katika kila mradi. Akifanya hivyo anaweza kutumia miezi sita mfululizo bila kupumzika hata siku moja. Wasaidizi wake wawe makini...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
Back
Top Bottom