samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Lancashire

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa vyama vya siasa Mulika mchakato wa kumpata mgombea Urais wa CCM mwaka huu una kasoro nyingi

    Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe. Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kujiuzulu - Watanganyika hawapo tayari kumuona Mzanzibar akiwa Rais wa Tanzania

    Ni bora akajiuzulu na kuwakabidhi nchi yao ikiwa ipo salama kabla hawajachomana mikuki. Ni habari za mjini kutokana na hali ya Tanzania inavyoelekea nnavyoona hataki kubeba lawama huenda akaikabidhi Serikali kwa vyombo vya Jeshi hadi uchaguzi kuendesha uchaguzi na kupata Raisi Mpya. Na kila...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  6. mshale21

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kaonesha wazi kutojali uhai wa wananchi wanaopotezwa kwa kusema ni "Drama"

    Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025

    Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi raisi samia anaweza kuwekewa mdaharo na watu baki?.Tukisema tumewekee Lissu tutakuwa tuna muonea

    Ukiangalia kipindi cha uchaguzi wenzetu yani mtaka uraisi anakuwa na hoja ya kujenga kushindana na wanaotaka uraisi. Ila hapa kwetu ni kama kazo hii ni makala,wasira,nchimbi na chawa pro max. Sawa tunajua ni raisi ila niliotaja sijawai kujua hoja zao zaidi ya kusikia makala anasema chadema...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana tatizo la Samia ni uvivu tu !

    Nimeanza kumuelewa Mama Samia kwanini Samia wa 2021-2022 ni tofauti na huyu wa 2026 jibu . Kiuhalisia Mama ni type ya watu ambao wakiwa focus ni wafanisi wazuri lakini wamezaliwa wavivu tu. Sasa wakati ule alikuwa anachukulia kazi ya Uraisi kwa umakini sana na alikuwa makini. Kuanzia 2024 uvivu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je wasio julikana nguvu yao imemzidi Raisi Samia?

    Tunaona wanafanya vitu ambavyo havina maana je Raisi amesha zidiwa nguvu au ni yeye anawatuma?
  11. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais Samia

    Uzi huu utumike kuonesha upande wa pili ambao Rais Samia pengine hauoni. Naamini huwa anapita humu jamvini na akiuona huu Uzi hawez acha kufungua. Kwa upande wangu kama ningekuwa Rais Samia.. 1. Ningemuachilia huru Tundu Lissu.. maana kumuweka ndani ni kumuongezea umaarufu na siku mtu huyu...
  12. Sijali

    JamiiForums Tanzania NEED TO DE-ICE SAMIA!

    Needless to say, of all Tanzanian presidents, Samia is the most maligned, prone to skepticism and to bearing a tag of leading a government of Kakistocracy. Although in comparison with her predecessor, she is of unmatched democratic credentials; being a restorer of a semi-political open space. It...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma: Pesa za Mama Samia walizokopeshwa Wasanii, wameolea na kununulia Magari

    Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma "...Mheshimiwa mfuko wa wasanii pesa alizotoa Mama Samia leo tukiuliza kuna shilingi ngapi au mliowakopesha wamerudisha shilingi ngapi wapo hapa kuchukua hela leo wengine na kuoa kununua magari, starehe zingine zimewaua na kuwaua..."
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

    Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan, Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000 sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa unayajua Makundi mangapi ya 'Kujipendekeza' kwa Rais Samia?

    Ninayoyajua Mimi mpaka sasa japo nasikia yapo kama 25 hivi ni haya yafuatayo..... 1.Mama Ongea na Mwanao 2. Samia Squad 3. Mama tutakutetea hadi Umauti 4. Mama Samia Tunakupenda Haya nanyi endeleeni na mengineyo ila mnisaidie tu kuniambia ni wapi Fedha za Kuwalipa hawa Chawa zinatolewa?
  17. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hizi ni events zenye Jina la Samia mpaka sasa

    Samia music festival Samia comedy Samia jogging Samia kalamu awards Samia nyama choma Samia film awards Samia cup Samia media awards Nimechoka kutaja... Mpaka kufikia mwezi wa 10 walah wabilah kazi itakuwepo
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi mwaka huu hamkuwa na matatizo hadi mkaamua kumfanyia Kampeni Rais Samia?

    Wakuu, Katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi), yaliyofanyika kitaifa mwaka huu mkoani Singida, ujumbe uliobebwa na mabango ya wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO) umenisikitisha sana kama mdau...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Yanga hatuchezi Derby, tukishushwa tunashuka Na Mama Samia Octoba

    Sisi ndio wananchi, tuna nguvu na ushawishi na tupo wengi kuliko hata takwimu za wananchama wa CCM na Chadema Kwa pamoja. Kiuhalisia wingi wetu sisi yanga ndio unaamua nani awe Rais wa Nchi hii, panapokuwa na uchaguzi huru na WA haki. Tunajua madudu ya Bodi ya Ligi na madudu ya Marefa...
  20. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chonde kuna Makada wenzako CCM wanataka kukuharibia nchi mkose wote! Tafakari

    https://youtu.be/auju_W7Vb7s?si=Wuj4m10xKf-8OHSX Kama Raia Mzalendo ninaye ipenda nchi yangu, kwa heshima na taadhima naomba nimshauri Mama yetu, Rais wetu na Shangazi yetu anaye upiga mwingi, akae chini na atafakari kinachoendelea ndani ya Utawala wake kwa sasa kuelekea GE-2025. Hali...
Back
Top Bottom