samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tanzania namba 2 kwa uzalishaji wa mazao Afrika 2025, yazilisha Tani milioni 10 za mahindi

    Mgombea Urais kwa Tiketi ya CCM, akiwa Vwawa, Songwe, Sept 3, 2025 ameisifa Tanzania kuwa kinara wa Uzalishaji mahindi. Ndani ya nchi watanzania wanazalisha zaidi mahindi ikifuatiwa na mpunga. Wataalamu wa kilimo wanasema 60% ya mazao ya Afrika ni ngano, mahindi na mpunga, hata hivyo wanashauri...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tangu hawa watatu waondoke, Rais Samia kapwaya sana

    Tatizo la kuondoa vipaji na kuweka machawa ndiyo kunaonyesha mapungufu ya Raisi. Yule Raisi wa 2021-2022 sio huyu
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, hii ahadi ya kuondoa tatizo la umeme mpaka lini?

    Moja kati ya mambo yanayokera katika nchi hii ni changamoto ya kukatika kwa umeme. Nakumbuka nikiwa kule kusini mwaka jana, nikiwa kwenye hotel Moja, umeme ukikatika ghafla. Pembe yangu kulikuwa na wazungu wanne wakipata vinywaji. Mara umeme ulipokatika walisikika wakisema, " welcome to...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Wakuu, Uchawa unaendelea Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe. Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tutazalisha umeme mwingi wa uhakika, unaobaki tutawauzia Zambia

    Wakuu, Samia akiwa anazungumza leo, huko Songwe kasema akichaguliwa atahakikisha umeme utakuwa mwingi na wa uhakika kiasi kwamba kutakuwa na umeme mwingine ambao watauuza kwenda huko Zambia
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Daniel Chongolo: Kabla ya Rais Samia hatukuwa na Ruzuku ya Pembejeo za Kilimo

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mgombea wa ubunge wa jimbo la Makambako amesema mwaka 2020/2021 hatukuwa na ruzuku ya pembejeo za kilimo, lakini ni Samia Suluhu aliyekuja na maamuzi makubwa ya kuweka pembejeo. Ameyasema hayo katika kampeni ya Samia Suluhu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Yule Mgombea anayependwa zaidi Duniani kwa sasa Dkt. Samia Suluuhu Hassan Kutikisa Songwe

    https://www.youtube.com/live/oKhmY026yws?si=5-O75s2JdtUZjczD Angalia hii Live yanayoendelea Songwe-MLOWO Leo, macho na masikio ya Watanzania yameelekezwa Mkoani Songwe ambako mgombea urais anayependwa zaidi duniani kwa sasa, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea...
  8. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Coaster Kibonde: Polepole anatuita wanasiasa uchwara kisa nimesema nitampa kazi Rais Samia

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Makini, Coaster Kibonde katika uzinduzi wa kampeni za kitaifa za chama hicho uliofanyika Septemba leo 02, 2025 Manzese Jijini Dar es Salaam amvaa vikali Humphrey Polepole kisa kauli yake ya akishinda Urais atampa kazi Rais...
  9. Anthony Kabeho

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kafanya Makubwa na anaelezea kwa uzuri sana Mipango yake Mikubwa na mizuri kwa Tanzania yetu

    Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea. Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kangi Lugola: Samia ni jembe si jembe?

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alphaxard Kangi Lugola amepanda jukwaani kuzungumza na wananchi wa Mkoa wa Mara waliojitokeza kumpokea Mgombea Mwenza wa nafasi ya Makamu wa Rais Dkt. Emmanuel Nchimbi leo Agosti 30, 2025 mara baada ya kuwasili mkoani Mara...
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Naomba CV ya Abdul mtoto wa Rais Samia

    Abdul mwana wa malkina anajadiliwa sana. Kama yupo mwenye cv yake aturushie.
  13. Patriot

    JamiiForums Tanzania Ajira kwa vijana, Samia hana lolote! Mmiradi inayotajwa ilianzishwa na Hayati Magufuli

    Tunauliza mkakati wa ajira kwa vijana wa TZ. Hiyo ni kazi ya serikali duniani kote. Hatutaki kusikia eti vijana wajiajiri. Eti tunaweka mazingira mazuri ya ajira, NOOO! Ktk kipindi cha miaka 4 akiwa madarakani nini amekiona ktk ajira na nini atafanya? Hatujasahau yaliyofanya na Magufuli...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Shida ni Facts au nini? Kama Rais Samia alisema uchumi wetu ni zaidi ya USA, CCM wakaitikia ndiyoo..! Akisema gesi ya Cuba ni milioni watabisha?

    Polepole ndiye wa kuaminiwa kwa sasa kuliko kiongozi yeyote wa CCM na au mwanachama na mkereketwa yeyote kote nchini Kama tu Rais wetu alisema mbele ya wana CCM na Watanzania wote kwamba, uchumi wetu kwa sasa ni mzuri kuwashinda hata wamagharibi na Wamarekani watashindanaje na hoja za polepole...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Urgently: Rais Samia nakuomba fanya jambo hili haraka sana uwasaidie wazazi wanao somesha Kayumba

    Walimu wa shule za Kayumba wamegeuza watoto mitaji.. Mtoto bila kwenda shule na Mia tano ya chakula plus Mia tano ya mitihani anapigwa sana au haruhusiwi kuingia darasani. Shule zingine bila buku getini mtoto haruhusiwi kupita getini. Mbaya zaidi hadi wakati wa likizo kama huu walimu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Wasema wangeandamana na kugoma kabisa Kushiriki Uchaguzi kama CCM isingempitisha Rais Samia Kugombea Urais.

    Ndugu zangu Watanzania, Hayo ni Maneno yanayotamkwa Kwa Sauti kubwa na watanzania wote huku Mitaani ya kuwa wangegoma kabisa kushiriki Katika Uchaguzi na kufanya maandamano Makubwa sana ikiwa CCM isingempitisha Rais Samia kugombea Urais Mwaka huu. Wanasema kwa kuwa Ni Rais Samia pekee ndiye...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama angekuwa na roho ya kisasi kama Magufuli Polepole na wenzake waliotaka kupindisha katiba Samia asiwe Rais leo hii tungesema mengine

    Magufuli alikuwa na roho mbaya na ngumu. Ndiyo maana tunasema ni mtsusi. Ukimkosea hana msamaha Ndio maana tunaomjua Magufuli tunasema Polepole ni muongo na tapeli wa kiasiasa. Eti Membe alipanga mipango ya kumuua Magufuli na Magufuli na Magufuli amekaa tu anasubiri kuuwawa. Magufuli huyuhuyu...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Mkinipa kura mtatibiwa figo bure

    Hivi kwani Sasa Rais ni nani? Anasubiri Nini kutibu hao wagonjwa wa figo? Wagonjwa wa figo wa Sasa wafe hadi Rais atakapokuwa Rais tena? Rais Samia anaweza kuwatibia hao wagonjwa bure, maana wanateseka. Binafsi sikuelewa hii kauli
  19. Griss

    JamiiForums Tanzania Wekeni hapa ahadi zote za Samia 2025-2030

    Tunataka tuje tumkamate kwa uongo 1: Amesema atanunua ma tractor milioni 10 akichaguliwa kuwa Rais
  20. K

    JamiiForums Tanzania Chaguzi za Rojo: Samia vs Mwalimu🤦🏾‍♂️😂

    Yaani Mama kamuogopa hata mgombea fake Mpina sasa anamuamini Royo mwenzake tu Mwalimu
Back
Top Bottom