samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania UNGA-New York: Samia Suluhu Hassan utakwenda? Basi, get prepared maana utakutana na haya.........

    Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York.. Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..? Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al...
  2. JamiiForums Tanzania UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  4. JamiiForums Tanzania Hongera sana Samia : Ulionesha utu wako kwa vitendo October 29, 2025

    Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake. Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan. Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo. Hata hivyo kifo ni...
  5. JamiiForums Tanzania 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI HATIMAE: Dr. Nchimbi Aonekana Ikulu Usiku wa Manane Kumfariji Rais Samia

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dr. Emmanuel Nchimbi, amefanya ziara ya kushtukiza na ya faragha usiku wa manane katika Ikulu ya jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumjulia hali na kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Ziara hii imefanyika...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Dr Samia na Rais Mwinyi ni wazanzibari wakikutana kujadili maslahi ya muungano Tanganyika anatetewa na nani!?

    Ndugu wanabodi naomba mnisaidie hili swali linanitesa sana. Ziliungana nchi mbili yaani Tanganyika iliungana na Zanzibar. Kila moja iliua baadhi ya stahiki zake kisha tukapata Tanzania. Na baada ya hapo tumekuwa na milolongo ya mambo ambayo yamekuwa yakishughulikiwa bila kuisha yanayohusu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Athari za Lagacy ya kisiasa ya Rais Samia kama Lissu atahukumiwa kunyongwa

    Umebaki muda mfupi kabla ya mahalama haijatoa hukumu kwa ndugu Lissu. Ndugu Lissu anashitakiwa kwa makosa ya uhaini. Si lengo langu kuingilia mahakama na sitofanya hivyo lakini najaribu kuiangalia possibility ya hukumu inayoweza kutokea katika worst case scenario na athari zake kwa Legacy ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza Ajenda ya Afya ya Uzazi Afrika UNGA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kinara wa Umoja wa Afrika wa Masuala ya Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwaongoza Viongozi wakuu wa nchi Barani Afrika na Wadau wa Maendeleo kujadili na kuhamasisha uwekezaji katika afya ya uzazi, mama, mtoto...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kukuza Biashara Tanzania-Marekani

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 📅 22 Septemba 2021 — Mkutano wa Biashara Tanzania na Marekani Tarehe 22 Septemba 2021, akiwa jijini New York, Marekani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alishiriki mkutano wa pamoja kati ya wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ràis Samia atuma Rambirambi kifo cha Mama Fatma Karume.

    Copy and paste Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mama yetu, Mama Fatma Karume, mjane wa Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa Kwanza wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kilichotokeo leo tarehe 21 Septemba, 2026. Kifo chake ni pengo kwa familia na Taifa kwa ujumla...
  12. JamiiForums Tanzania Pole kwa Rais Samia Kufuatia Msiba wa Mama Karume

    Mpendwa Mama Samia Shikamoo Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mama wakati mwingine ninapotazama safari yako, najikuta nikijiuliza ni wapi msichana anayekaribia kukata tamaa anaweza kujifunza nguvu, uvumilivu na moyo wa kusimama tena na jibu ninaloliona ni kwako Mama Rais. Hakuna...
  13. JamiiForums Tanzania CMAG Yamfariji Rais Samia, Yapigia Debe Ushirikiano Tanzania

    Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Amir Hassan. Katika kikao chake cha 74 kilichofanyika New York, CMAG ilifanya dakika moja ya...
  14. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ukitoka Eda uje na majibu haya.

    1. Yuko wapi Humphrey Polepole? 2. Nani aliyetoa amri ya kuua raia october 29 na kuendelea? 3. Iko wapi miili ya waliouawa october 29 na kuendelea? 4. Unajisikiaje kuwepo hapo ulipo kwa hali hii? Baada ya maswali hayo, nakupa pole kwa kufiwa na mumeo, hakika KIFO NI KIFO TU.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?

    Nawaza tu lakini. Hivi akitoe Samia akalifuta Kanisa Katoliki hapa Tanzania, kitatokea nini? Au ni kelele za muda, mwisho mnasahau?
  16. JamiiForums Tanzania Sharon Julius ndo mshindi wa tatu wa Miss Elite World. Ole wake aseme ushindi wa Samia

    Tanzania kumtokea upumbavu fulani. Mtu tunamshika mkono huku chini. Akifika juu anaanza kujimaliza. Sijui ushindi huu ni zawadi ya Mzanzibar Samia sijui bila yeye tusingefika hapa. Ukome na ukisema tunakutia mimba unakuwa singo maza. Japo ni nafuu kuliko mjane. Ipo hivi,Sharon amefanikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kufuru ya Samia Suluhu kukopa Hela za El-nino, ila tunaishia kujengewa madaraja ya Miti. Hela anazipeleka wapi?

    Mzanzibar Samia Suluhu Hela anazokopa za El nino anazipeleka wapi? Wakikopa wanatafuta kama 10% wanawapa Vyombo vya habari viongelee Mvua za El nino, wanaagiza Wakuu wa Walaya na Mikoa kukagua Miundombinu na kutisha watu kuhusu Mvua za El nino. Utawaona barabarani na Mifagio eti wanafanya...
  18. JamiiForums Tanzania Tuunge mkono Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, mipango na vipaumbele

    Tukiacha Mihemko, Ukiangalia Tanzania ya leo, kuna mambo mengi yanaendelea. Kuna miradi inajengwa, huduma zinaendelea kuboreshwa na mipango ya maendeleo inaendelea kuwekwa kwa ajili ya miaka ijayo. Hakuna mradi uliosinama Tukumbuke pia maendeleo ya nchi si jukumu la Serikali pekee. Sisi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Sina shaka Samia ameonja waliyopitia wale wa Oktoba 29

    Duniani kila kumbe kiishicho kitakufa. Kila auawe ima atauawa au atakufa tu. Kila afurahiaye maumivu ya wenzake ataumia Kila asababishaye au kushabikia mateso ya wenzake atateseka Namuonea huruma Samia Anatia huruma Sina shaka, kama kiongozi ameonja kile ambacho ndugu za wahanga wa Oktoba 29...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…