samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Angella Kizigha ni nani kwenye kampeni za Samia?

    Huyu ni Nani anafanya logistics zote kuliko hata TISS? Je usalama wa taifa mmebariki ili?
  2. JamiiForums Tanzania Kigogo wa X (Twitter) ni kielelezo tosha kuwa walikuwa wakimhujumu Hayati Magufuli, sasa wako pamoja na Samia

    Huyu bwana alikua akitoa siri nzito nzito za serikali, watu tulidhan ni mpenda haki, lakini kumbe ni kikundi cha wahuni kilichokatiwa mirija yao ya ulaji. Baada ya Magufuli kufariki, akawa rasmi mpiga kampeni na mapambio wa Samia, hakuna tena kutoa siri za serikali wala kutetea wananchi...
  3. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Samia ameamua kukaa upande wa walaghai na wanafiki, watamgeuka soon tu baada ya uchaguzi

    Habari za muda wakuu.. Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max. Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
  4. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Rais Samia alitekeleza mapendekezo ya CHADEMA lakini bado wakasusia uchaguzi

    Aliyewahi kuwa Mbunge wa Nyamagana na Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amesema Rais Samia Suluhu alitekeleza mapendekezo yaliyotolewa na CHADEMA, lakini bado chama kikasusia uchaguzi. Pia Soma GE2025 - Wenje: CHADEMA kutoshiriki uchaguzi ni hofu ya kushindwa GE2025 -...
  5. JamiiForums Tanzania Hesabu chini - zimebaki siku 14! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Kwa kawaida, madikteta mara nyingi huathiriwa na kuungwa mkono na viongozi wenzao wabaya kutoka ndani ya eneo hilo, majirani na baadhi ya wageni ambao wanaweza kulazimika kulinda uporaji, maslahi au faida. Hawajali wananchi, watafanya kila aina ya uonevu dhidi ya wazawa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  7. JamiiForums Tanzania Samia ameutia aibu sana umma wa Kiislam Tanzania.

    Uongozi chini ya waislam ulisifika kwa utulivu na upole, watu waliamin nchi rais akiwa muislam inakuwa tulivu, ukijumlisha na yeye kwenda kumuangalia Tundu Lissu Nairobi, basi watu walifurahi sana na alipokea sifa kedekede. Kumbe ni vile hakuwa na power, sasa amepata power, ameharibu sifa zote...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Ukatili wa Samia: Kama wanaosukumana tu kwenye kampeni anataka polisi wawashughulikie, wanaomkosoa je?

    Yani suala la kusema tu hapo mbele msisukumane, anaona suluhisho ni police. Yaani Samia ana kiburi kikali sana kilichochanganyika na unafiki, akiongea utadhani mwema, yaani anahisi kuwa yeye ni mtu special sana, and nothing come close to her. Si ajabu aliechoma picha yake haonekani. Mungu nipe...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Abdul Samia na Ridhiwani Kikwete ni ndugu?

    Kichwa cha habari kinajieleza na kujitosheleza. Karibu tutafakari pamoja kujibu swali hapo juu.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Majaliwa: Rais Dkt. Samia yupo tayari kufanya mambo makubwa kwa wenye ulemavu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan yupo tayari kuendelea kufanya mambo makubwa kwa watu wenye ulemavu ili kukuza ustawi wa jamii hiyo kwa kuwawezesha kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Amesema hayo Oktoba 11, 2025 wakati wa hafla ya kupokea...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Masanja Mkandamizaji: Mama Samia malizia Code kwa Gwajima

    Kwa Sasa Kuna Chapisho Linalo Sambaa Kwenye Mtandao wa Kijamii Ususani Facebook Ikionesha Ukurasa wa Massanja Mkandamizaji ukitoa Pongezi Kwa Samia suluhu Hassan kumuweza Polepole. Je Taarifa Hiyo ina Usahihi Kiasi Gani.
  13. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Salome Makamba asema waliotaka kushindana na Rais Samia wameishia kutekwa

    Wakuu nimekutana na hii video lakini ni kama kilichoandikwa ni tofauti na kinachozungumzwa.
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Biteko: Samia ni msikivu, atawapa Katiba mpya

    "Mgombea wetu umetufundisha mengi na umethibitisha kwamba utu kwako ni kipaumbele na pia kazi ndiyo msingi wa maendeleo kwamba hata kama tutakaa kama Taifa tukazungumza mambo mengi tutakavyo kama hatufanyi kazi maendeleo ni ndoto na maendeleo yoyote hayawezi kutokea kama hakuna utu...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kibati kikipasuka, oktoba 29 tuko nao

    Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, amewatoa hofu Watanzania kwamba, wasiogope kwenda kupiga kura Oktoba 29, 2025, kwamba yeye ni Amiri Jeshi Mkuu wa nchi na kibati kikipasuka wako nao. Dk. Samia ametoa kauli hiyo leo Oktoba 10, 2025, katika mkutano wa kampeni...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaojua uhusiano wa Kikwete na Samia watusaidie kabla ya kujadili wake na Daudi Albert Bashite

    Kichwa cha habari kinajieleza. Tanzania kuna wato wawili ambao kwa rais Samia siyo wana ushawishi mkubwa bali ni maalum ambao ni Jakaya Mrisho Kikwete na Daudi Albert Bashite. Kwa wanaojua undani wa wandani hawa watujulishe lau tujue kwa sababu rais ni public figure.
  17. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia: Wasiwatishe kwenda Kupiga Kura ,Tumejipanga Kuwalinda

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge. Ametoa kauli nzito na yenye kuleta furaha na tabasamu kwa...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Mkichagua Mbunge wa Upinzani hamtaona Maendeleo

    Samia Suluhu awauzia uoga Watanzania:"Mkichagua Mbunge wa upinzani, hamtaona maendeleo sababu mimi siwezi kuongea na wabunge wa upinzani. Chagua Wabunge wa Chama changu ndio mufanyiwe maendeleo"
  19. JamiiForums Tanzania Napendekeza tujue historia na makuzi ya viongozi wetu kabla ya kuwateua au kuwachagua urais

    Katika kuwachunguza na kuwatathmini viongozi waliowahi kuongoza taifa letu, kuna kitu nimeona. Historia na makuzi yao vina mchango mkubwa katika ubora au uhovyo wao. Mfano, Mwalimu Nyerere alisifika kwa kuleta uhuru, kujenga huduma za jamii na za kiuchumi thabiti kama vile miundo mbinu hasa...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wanafamilia ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipozuru katika Kijiji cha Mwitongo Butiama Mkoani Mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…