samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania So Samia gorvement is blackmailing meta?

    Tanzania threatened to block Facebook, Instagram and WhatsApp in the whole country if Meta refused to block accounts of 3 activists. Meta banned two of them and restricted the third
  2. JamiiForums Tanzania Bada ya ukombozi D9, Kama Uganda wasivyompa heshima Idd Amin Dada,nashauri Samia na awamu yake isikumbukwe,mabaya yake yasimuliwe vizazi na vizazi.

    Wakuu hamjambo!!? Huku tukielekea kwenye maandamano ya amani D9 nikiwa naamini awamu hii nduli Samia anaenda kuondoka kabisa, nashauri rais wa awamu ijayo na kama taifa hatupaswi kumtambua huyu Samia kama rais aliye wahi kuitawala Tanganyika kutoka na unajisi wa nchi yetu alioufanya...
  3. JamiiForums Tanzania Katuni hii ya samia na mauwaji anayofanya kinyume cha sheria inakupa picha gani?

    sa
  4. JamiiForums Tanzania Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9

    Samia anapigana na watanzania inamaana anaenda kupigana na taifa lake kwa kusudi la kulinda taifa lake hiyo D9. Kweli washauri wake ni akina kingwendu.
  5. JamiiForums Tanzania Sio Wikipedia tu, hata tovuti nyingi kubwa Samia hatambuliki kuwa ni Rais

    Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake. Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe. Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
  6. JamiiForums Tanzania Samia Ageuka kuwa kituko cha dunia nzima.

    Aisee hii ni maajabu sijaona raisi anayedharaulika kama huyu. Haheshimiwi na yeyote
  7. JamiiForums Tanzania Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

    GT Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo. Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania. Mauaji. Utekaji na utesaji...
  8. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Samia na wadini wote juu ya dhana ya udini uchwara

    Tangu tupate uhuru, Tanzania imeongozwa na viongozi sita toka dini kuu mbili za kikoloni yaani Ukristo na Uislam. Watatu walikuwa Wakristo yaani JK Nyerere, Ben Mkapa na JP Magufuli ilhali waislamu ni Ally Hassan Mwinyi, Jakaya Kikwete, na sasa Samia Suluhu Hassan. Sikumbuki kuhisi udini katika...
  9. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia ulichokiogopa sana ndicho kimekutokea

    Samia ni raisi aliye ogopa sana kuchafuka, kwa ndani alitumia wasio julikana na wanao julikana Huko nje sasa kumeanza kuchangamka na yupo out of control sijui atafanya nini. Karata zake zote ndani kasha zicheza iwe kutumia vikundi visivyo rasmi kunyamazisha wakosoaji wake au kesi za mchongo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia kuwa Mgeni rasmi Mkutano wa umoja wa Mabunge duniani (IPU) jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano mkubwa wa Mabunge unaotarajiwa kufanyika kwa siku sita mkoani Arusha na kuhusisha Maspika, Wabunge na Viongozi zaidi ya 1500 kutoka kote duniani. Hayo yameelezwa ikiwa ni maandalizi ya...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya Women first ndo sababu ya Samia kutufokea

    Haya mambo ya Women first ndo sababu ya Samia Suluhu kutufokea. Walisema tuwawezeshe. Lakini baada ya kuwawezesha wametugeuka. Wanatubananga na kutubalagaza. Ni wakati wa wanaume kujitambua na kujitetea.. Hawa wanawake wanatutoa roho. Mtu anatoka kizi. Kizimkazi huko siju Makunduchi anakuja...
  12. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Samia anavyoongelewa huko Oman

    Nimekutana na hii post katika mtandao mmoja Instagram mkubwa wa Oman ikimuongelea Samia. Mtandao huo umeripoti jinsi Samia anavyotrend kwa kujaza ndugu zake wa karibu katika nafasi nyeti za serikalini. Ila nimejiuliza inakuwaje hadi Oman inaposemekana amejijengea mazingira fulani fulani na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mzee wa Upako: Wanaosema Rais Samia anakosolewa sababu Muislamu, wamefilisika kimawazo. Wajibu hoja, wasiingize mambo mengine

    Mzee wa Upako Anthony Lusekelo amewataka wanaosema kuwa Rais Samia anakosolewa sababu ni Muislam, wajibu hoja na siyo kuleta mambo mengine ya udini. Ameongeza kuwa Udini ni mbaya na haufai kwenye nchi yetu, huko tumeshavuka Lusekelo amesema, katika kura 98% alizopata Samia kuna kura za...
  15. JamiiForums Tanzania “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  16. JamiiForums Tanzania Nashauri CCM na Samia na wenzake wajifunze toka kwa wafuatao

    Muammar Gaddafi, dikteta wa zamani wa Libya, alipoambiwa kuwa karibu serikali ya nchi jirani ya Misri ingeangushwa na waandamanaji, ajibu "kumbuka hii ni Libya." Omar Bashir dhalimu wa zamani wa Sudan naye alipokaribia kuanguka, aliamuru wanajeshi kupiga risasi yoyote wakafanya hivyo kwa baadhi...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia anasema wapiga kura wa CHADEMA walimpigia yeye

    Sikusikiliza hotuba nzima ya jana kwa hiyo kila ninapopata vipande vipya napata mshangao mpya. Katika hotuba yake ya jana, Samia aliwakosoa watu wanaoshangaa na wanaosema 98% alizopata hawezi kuwa amezipata kwa sababu mwitikio wa wapiga kura ulikuwa mdogo sana. Akasema 98% ni ya kura...
  18. JamiiForums Tanzania Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu

    Watanzania wote waishio UK kuandamana D9 kushinikisha serikali ya Samia iachie nchi yetu. Aidha tunataka watanzania duniani kote kuandamana pamoja kusimamisha dunia.
  19. JamiiForums Tanzania Chanzo cha tatizo (root cause) ni Samia na genge lake; mkitaka kuamini hilo, Dr. Mwinyi aje huku na Samia aende Zanzibar, nchi itatulia

    Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE...
  20. JamiiForums Tanzania Sikiliza maneno ya mwananchi kuhusu hotuba ya Samia ya jana

    In short huyu dada kaongea mawazo yangu 100%. Samia hakupaswa kuongea maneno yasiyo na busara vile. Tatizo wanawake ni watu wa visasi sana. Katonesha tu vidonda vya watu badala ya kuponya. Hata sielewi nchi yetu inaelekea wapi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…