samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

    Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma. Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Wanaomlilia Magufuli na kumchukia Samia, ni wanafiki wakubwa

    Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli. Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
  5. JamiiForums Tanzania Akitoka Samia anaingia Mchengerwa 2030

    Hili liko wazi Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi mwanaharakati na muasisi wa uhuru wa Tanganyika. Mchengerwa amehudumu kama mbunge wa Rufiji na Waziri...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nuru ya Mama Samia haitaweza kung'ara tena bila kubadilisha vitu hivi!

    1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia 2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika 3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
  8. O

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Samia: Ngorongoro tumewapa Ndugu zetu waarabu wawekeze

    Samia anasema tuna undugu na Waarabu; lakini ni tangu lini tumekuwa na undugu na Waarabu? Kwahiyo hapa anataka kusema kwamba amewapa waarabu wawekeze kwasababu ni ndugu zake!? Kwanini Rais wa hii nchi akili zake zimejaa undugu na nepotism kwenye kufanya maamuzi ya msingi ya nchi !? Hafai kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  10. JamiiForums Tanzania ‘Tanzania ya Samia’ - Nani yupo nyuma ya ujinga huu?

    Ni nani engineer wa huu ujinga? Zile Billion 2 hii ndio kazi yake? https://www.facebook.com/share/v/14bYdCSajNd/
  11. JamiiForums Tanzania Samia tunakupenda, piga kazi

    Tunakuombea na tunakupenda Rais wetu. Piga kazi , tupo nyuma yako madame.
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza: We told the UN Representatives, that CCM and its government, under Samia, are behind the 29th of October 2025 Massacre

    We categorically told the UN Secretary General 's Envoy, Parfait Onanga-Anyanga, that CCM and its government, under Samia, are behind the 29th of October 2025 Massacre. They used the Police and other armed outfits to kill unarmed protesters demanding free and fair elections. That was not an...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa Mzee Zahir Zorro Tsh. Milioni 10

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia. Katika ziara...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Jaji Mtembwa: Samia Ardhi Kliniki, Chachu Ya Kupunguza Migogoro Ya Ardhi Simiyu

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Simiyu inaunga mkono juhudi zinazofanywa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kuanzisha Kliniki Maalumu ya Wanawake “Samia Ardhi Kliniki” ambayo ni chachu ya kupunguza migogoro kabla ya kufikishwa Mahakamani. Jaji wa Mahakama Kuu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia amzawadia Gari Mama Kanumba

    Katika kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemzawadia mama mzazi wa marehemu Steven Kanumba gari jipya aina ya Harrier New Model. Hatua hii imekuja kama ishara ya kuthamini mchango mkubwa wa marehemu Kanumba katika kukuza...
  17. JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026

    Arusha: Rais Samia akishiriki Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Machi 7, 2026 https://www.youtube.com/live/3RbAlFDqO8o?si=HGGpUx5hggEDEQa6 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize kwanini Samia haongelei Rushwa tena

    Mama Samia sio yule wa 2021-2022 ndiyo maana haongelei rushwa kabisa.
  20. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…