samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu someni kitabu hiki kitaikomboa nchi nchi yetu

    Why Nations Fail: A Summary Why Nations Fail: The Origins of Power, Prosperity and Poverty (2013) by D. Acemoglu and J.A. Robinson. Overall Summary… Developed countries are wealthy because of ‘inclusive economic institutions’ – Basically a combination of the state and the free market in which...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

    Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia. Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hotuba ya Nape na Makamba ni ya kutupumbaza watanzania. Wana jambo lao

    Mh. Rais Samia. Nimesikiliza hotuba za hawa watu wawili, Makamba Jr (Jana) na Nape(Leo). Hawa watu wanajua kucheza na siasa ili mambo yao yakubirike kwa jamii. Ukiteleza kidogo tu wana wewe. Ukiwaangalia kwa nje ni kama kondoo lakini kwa ndani wanalo jambo lao. Ni vile mimi nimeanza...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais Hussein Mwinyi kuwa wageni Rasmi Kongamano la Viongozi wa Dini nchini

    Kongamano hilo kubwa la Viongozi wa Dini litafanyika Aprili 18, 2021 katika Ukumbi wa Chimwaga Dodoma. Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi watahudhuria wakiwa wageni rasmi
  6. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu hali ya haki jinai nchini

    Tito Magoti SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini. Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
  7. JamiiForums Tanzania Sio fair, Wanaoshinikiza Rais Mama Samia afikiri kama Magufuli sio uungwana

    Nashukuru Mungu kwamba angalau Tanzania ya hoja kwa hoja inarejea taratibu. Kumeibuka kundi la watu linaloshinikiza Mhe. Rais Mama Samia afikiri kama Hayati magufuli. Haieleweki vyema kwa nini wanafikiri hivyo ila kimsingi sio fair kabisa. 1. Mzee Mwinyi hakufikiri kama Nyerere, Mzee Mkapa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kabla ya kubadili Wakuu wa Mikoa/Wilaya na Wakurugenzi mulika hili chaka

    Na Thadei Ole Mushi. _______________________________ January mwaka (2020) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof Palamagamba Kabudi alisema bila juhudi za Rais John Magufuli, fursa za kufundisha lugha ya Kiswahili Afrika Kusini ingetupita… “Fursa hiyo ingepita si...
  9. JamiiForums Tanzania Watanzania tukubaliane na Zitto Kabwe, kumpa muda Rais Samia

    Ni ukweli usiopingika kuwa mfumo uliopo sasa hivi unaoongoza nchi yetu ni mfumo uliosukwa na hayati Magufuli, hivyo siyo rahisi kwa rais aliyepo kuoneasha mabadiliko makubwa na ya kushangaza yanayoweza kuwa tofauti na mtangulizi wake. Hivyo baada ya muda fulani ambapo atakua kafanya mabadiliko...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Makamba: Kurekebisha alichofanya Hayati Magufuli sio usaliti. Dalili nilizoanza kuziona si nzuri

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti ya Utawala wa Hayati Rais Magufuli na Rais Samia

    Uhuru naona umezidi sana, na siku zote uhuru ukizidi sana Adabu hupungua, naona viongozi wengi sasa hivi wanajitutumua kila mtu anajionyesha yeye ndio yeye wakati kipindi cha Magufuli hawakua hivyo. Sijui ndio wanaita freedom of speech ila Naona hii freedom itatupeleka pabaya sana kama nchi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021. -- Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua...
  13. JamiiForums Tanzania Nukuu (Quotes) mbalimbali za Rais Samia Hassan Suluhu

    Salaam Wakuu, Thread hii iwe ndo thread kuu itakayosheheni Nukuu za Amri Jeshi na rais wa JMT Samia Suluhu. Usisite kuweke nukuu yake ukikutana nayo. “Kwa wale ambao wana mashaka Mwanamke huyu ataweza kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nataka niwaambie aliyesimama hapa ni Rais...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la wasaidizi wa Rais Samia, namtetea Rais Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

    Mheshimiwa Jakaya Kikwete Rais wa awamu ya nne amekuwa akishikwa uchawi siku za karibuni baada ya kifo cha Rais wa awamu ya Tano John Magufuli. Zinatembea mitandaoni sauti za kurekodiwa (audios) pamoja na zile za Youtube zikimshambulia Mzee wa Msoga kama vile ni mhusika wa yaliyolikuta taifa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Lusinde: Wabunge wanaomshambulia hayati Magufuli wakome, wengine walikuwa hawachaguliki Magufuli akawakingia kifua. Lusinde kupewa Udaktari

    Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

    Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wanataka kuzuia Rais Samia Suluhu asiende kinyume na Hayati Magufuli?

    Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi wake JPM. Mkakati huo unaoendeshwa kimahesabu sina hakika kama Rais ameshaushtukia au kwa vile...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatagombea Urais Uchaguzi mkuu 2025

    Mnahitaji kulijua hilo, kilichotokea WaZanzibari wanakiita ngekewa, baada ya kufariki mpendwa wao Rais Magufuli, budi haikuwepo ni lazima Mh. Samia Suluhu akamate sukani na kulivusha Taifa hili la Tanzania, hakutegemea ila alijua akifa anarithi Urais hadi hapo 2025 kama atakuwa hai...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Serikali yako mmejipangaje ili kukomesha watu wanaoendelea kumchafua Hayati Magufuli?

    Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu. Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza...
  20. JamiiForums Tanzania Mtego wa Rais Samia Suluhu Hassan ni upi kwa mawaziri

    Rais alipohutubia mara ya pili na mara ya Tatu alipokuwa akiwahotubia Mawaziri na Makatibu wakuu alizungumzia habari ya Uonevu, kesi na kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua maramoja, akaongeza bango litakalo onekana DC au Mkurugenzi hawana kazi sisi hatujamuelewa vizuri hili swala la bango...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…