samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mbio za 29 za mwenge wa Uhuru kumaliza siku 150 na wilaya 150 kesho Wilayani Chato | Mhe Rais Samia Suluhu Hassan mgeni rasmi

    Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa, " Chato tunasema Asante " Mtakumbuka Mwenge wetu wa Uhuru uliwashwa rasmi tarehe 17|05|2021 Makunduchi Zanzibar na leo tarehe...
  2. Tetesi: Usajili wa Mabasi ishirini mapya ya Abood

    Asee wakuu kumbe kuna watu wana jax sana hii nchi. Nimeona huko Twitter kuwa huu ni usajili wa mabus 20 mapya ya Abood. Tutafute hela wakuu.
  3. Rais Samia, makandarasi tunakupa Big Up!

    Tunasema tena kwa dhati, mama Ubarikiwe kwa kutukumbuka sekta hii iliyokuwa inaenda kufa kwa upande wa makandarasi wazawa. Tulianza vizuri sana na mentor wetu katika Awamu ya 5. Baada ya hapo sijui lilitokea sintafahamu lipi, maana tukapigwa tanchi tusielewe. Mara hakuna kumpa kazi mzawa ati...
  4. S

    Rais Samia tafuta fedha au ingia mkataba na sekta binafsi wajenge uwanja wa Mpira wa kisasa Dodoma

    Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na kukamilika kabla ya 2025. Kwa ukimya uliopo na muda uliokwishapita, ni vigumu sisi wananchi...
  5. F

    Je, Muungano Bridge inawezekana Tanzania?

    Taswira kwa hisani ya Google Hii haiwezekani Tanzania? Kwanini isiwezekane? Nadhani hii ya juu tunaweza ila ya chini ya bahari ndiyo hatuwezi.
  6. Serikali: Chaguo la pili na tatu kidato cha kwanza kuwa historia, wanafunzi kuanza masomo kwa pamoja

    Leo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu ameeleza kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu inakwenda kuandika historia kwa kufuta suala la wanafunzi wanaoingia kama changuo la pili na la tatu (Second and Third Selection) kutokana na upungufu wa madarasa...
  7. Tunajua Mengi tunanyamaza, Lissu kudharau Mamlaka ya Ikulu kumefanya kufifisha juhudi zilizopangwa na Rais Samia kuleta maridhiano

    Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado niwe wazi Leo ntafunguka bila kuegemea upande, Samia naye aliona si vema kukutana na vyama vya...
  8. Je, Rais Samia huyu Waziri wako Mwandamizi aliye nyuma ya hii Timu ya DTB ya Championship hizi Pesa anazoweka huko siyo kwamba huwa anakuibia?

    Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
  9. Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Rais bado ananua ndege cash wakati uchumi unapumlia mashine? Rais anakopa kujenga madarasa ambayo hayalipi Kodi Wala kulipia mikopo. Unakopa pesa ili kununua barakoa seriously pesa za kulipa huo mkopo zitatoka wapi? Unatakiwa kukopa kutengeneza project kubwa kama SGR na Bwawa la umeme Rufiji...
  10. Kibonzo: Mzee Kikwete hapa atakuwa ndio yupi na Rais Samia ndio yupi. Serikali inanichanganya

    Naombeni msaada maana naona kama hapa kuna shida. Jamaa kajichorea watu na kaandika jina la mtu mmoja kuwa ni Kiwete. Polisi wanasema kakosea huyo siyo Kiwete ni Kikwete. Na huyu anayechezea maji kwenye beseni wanasema ni Rais Samia. But mchoraji yeye anasemaje? Kwanini wao waone hivyo na hii...
  11. Rais Samia, tafadhali usiogope kuliamua hili, litakufanya ukumbukwe na vizazi na Pepo utaiona haraka

    Rais sema tu kuwa kuanzia sasa hakuna Wanafunzi wa Vyuo Vikuu kukopeshwa Pesa na kwamba kuanzia sasa Wanafunzi wote wenye Sifa za kwenda Chuo Kikuu Serikali itawasomesha bure na kuwapa 100% ya Mahitaji yao. GENTAMYCINE nimekuomba hili nikijua kuwa liko ndani ya Uwezo wako, Uchumi unaruhusu na...
  12. Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan mapema leo amesema yeye hapendi Ukanda ila yeye ni "Mzanzibar!" Kiukweli Rais kakosea sana kukemea ukabila huku yeye akitamka bayana ni wa mahali fulani. Samia umekosea sana! ==== Samia Suluhu ninapotoka hatuna makabila. Kwetu kule Zanzibar tunajuana...
  13. Kodi ya Majengo kupitia luku rasmi Vijijini

    Jana nilikuwa kijijini kwetu ndani ndani huko, umeme umefika pongezi kwa REA. Sasa hapa kwa bibi yangu huwa wananunua umeme wa 2000 kila unapokwisha. Walikuwa wanafanya hivyo kabla na baada ya tozo ila jana imeshindikana. Ikabidi mimi niongezee niwape elfu 10, ile kulipia tu wakakatwa deni la...
  14. Rais Samia kama kweli uko makini na lugha ya Kiswashili basi anzia nyumbani - Tanzania ndio inaongoza kwa kuharibu lugha ya Kiswahili

    Mimi kama Mtanzania nipendaye lugha yangu ya Kiswahili nasikitika sana kuona lugha hii ikiharibika. Chakusikitisha zaidi ni kwamba hakuna kiongozi yeyote wa juu kuanzia Rais, waziri wa utamaduni n.k. anayefanya jitihada madhubuti ya kukienzi Kiswahili. Kwenye hotuba yake ya Mpango wa Maendeleo...
  15. Viongozi wa BAVICHA waliokuwa wanaelekea Ukerewe, washindwa kupata huduma ya kivuko

    Viongozi wa Bavicha waliokuwa wanaelekea Ukerewe wameshindwa kupata huduma ya kivuko kwa sababu za uongo kwamba kivuko ni kibovu . Jambo hili la kishamba ni marudio ya ukakasi uliofanyika wakati wa kampeni za urais wa mwaka 2020 , ambapo Mgombea aliyependwa kuliko wote Tundu Lissu alifanyiwa...
  16. Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  17. Waziri Mkuu Majaliwa ana maana gani kusema Rais Samia atakuwa Rais hadi 2030?

    Kauli hii kutoka kwa Waziri Mkuu akiwa kwenye uzinduzi wa mpango wa maendeleo na kampeni ya UVIKO ni ya kufikirisha sana sana, ametangaza kuwa Rais Samia atakuwa Rais wa Tanzania mpaka 2030, binafsi na laani kauli hii na inafanya wapenda Democrasia na Maendeleo wawe na maswali mengi sana ya...
  18. Rais Samia Suluhu aongeza bajeti kwa asilimia 230 Ujenzi wa JN-HPP

    Ujenzi wa bwawa la JN-HPP pamoja na Usambazaji wa umeme vijijini Rais Samia ameongeza bajeti kwa 230% kutoka TZS 1.01T FY2020|21 hadi TZS 2.34T FY2021|22, === Tufahamu lengo la Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ni ifikapo mwaka 2026 Tanzania iwe na umeme wa Uhakika unaofikia...
  19. U

    Mariam Ditopile: Tegeni sikio Jumapili Rais Samia ana jambo zito sana

    TEGENI SIKIO JUMAPILI RAIS SAMIA ANA JAMBO ZITO SANA-MBUNGE DITOPILE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile leo amejumuika na wanaCCM wenzake katika Kata ya Bulungwa kumuombea kura Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani huku akiwataka...
  20. Rais Samia Hassan anamwambia nani kazi iendelee na ni kazi gani hiyo?

    Mara tu baada ya kushika kiti cha Urais kwa kula kiapo, Mhe. Rais Samia Hassan Suluhu alisema 'kazi iendelee'. Na kufanya msemo huo kuwa mwitikio wa salamu ili msemo huo udumu na kusikiksa mara kwa mara. Sasa kuna maswali yafuatayo: Kwa kuzingatia lugha ni kwamba kazi hiyo si zaidi ya moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…