samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.” Awali ya yote nakutakia maisha marefu yenye afya njema na furaha tele ili...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafugaji, Rais Samia kuifufua NARCO

    Mwenyekiti wa kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO), Mhandisi Luhemeja ameeleza kuwa Serikali inakwenda kufumua muundo wa NARCO ili kila mkoa uwe na Ranchi yake pamoja na Meneja wa NARCO wa Mkoa na hivyo ameitaka menejimenti ya NARCO ikae hataka kufumua mfumo uliopo sasa Luhemeja ameeleza kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

    Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
  4. JamiiForums Tanzania Ajali ya treni Tabora, Rais Samia aagiza uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe

    Rais Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi kutokana na tukio la treni ya abiria kuanguka na kusababisha vifo vya watu kadhaa eneo la Malolo Mkoani Tabora, pia ameagiza uchunguzi ufanyike kubaini chanzo na hatua zichukuliwe. Ajali hiyo ilitokea jana Juni 22, 2022 ambapo baadaye Mkurugenzi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wako watu wanaofikiria Rais Samia hapendi Dodoma, wanamsingizia. Hana kusudio kurudisha makao makuu Dar

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilifanya maamuzi ya kuhamia Dodoma mwaka 1973 na sasa taasisi zote muhimu zinakamilisha ujenzi wa majengo yake Dodoma ikiwemo Ikulu na wizara zote zimetengewa bilioni 20. Simbachawene amesema zipo taasisi zinazosita kuhamia Dodoma na wako watu...
  6. JamiiForums Tanzania Mwinyi alileta upinzani uliofutwa, Samia anaenda kuileta katiba mpya, Kwa hili inabidi niweke hisia zangu pembeni kwa wazanzibari

    Yes, mimi kiukweli ni mmoja wa watu ambae huu muungano sijawahi kuupenda hata kidogo hasa pale ninapoona uongozi wa bara tunachangiana na wazanzibar lakini huko kwao ni wao wenyewe wanajiongoza, huwa inaniuma mno. Ila kuna kitu nimetafakari hapa juu ya mchango wa hawa wenzetu wanaposhika...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - leo jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Uzinduzi Zanzibar akosoa kuchukua waliofeli kuwa walimu asema ndio wanadumisha elimu nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

    Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati Ulaya wakikusanya kodi ya miaka 20 iliyopita, Tanzania Samia anauliza miaka iliyopita mlikuwa wapi, msikusanye

    Wakati mwingine unajiuliza kama kiongozi wetu anaelewa anachokifanya ama haelewi chochote kabisa. Juzi rais akiwa Kagera akasema kodi inayopaswa kukusanywa ni ya mwaka mmoja nyuma tu, miaka ya nyuma mamlaka zilikua wapi. Hapo ndio palinifanya kujiuliza kama rais wetu ana ufahamu hata wa sawa na...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali: Watumiaji wa Daraja la Tanzanite, Barabara ya haraka Kibaha - Morogoro, Igawa - Songwe -Tunduma kuanza kulipia ushuru

    SERIKALI imesema magari yataanza kulipia fedha yanapopita kwenye Daraja la Tanzanite na katika barabara nyingine mbili za haraka ya Kibaha - Mlandizi - Chalinze - Morogoro (Expressway) na ile ya Igawa - Songwe -Tunduma (Expressway) kwa kuwa zote zina sifa za kutozwa fedha. Kwa jinsi Pesa...
  13. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

    Picha na maelezo vinajieleza. Kongole mtukufu Rais ibada muhimu.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi: Madiwani Zanzibar kulipwa mishahara huku wa Tanzania bara wakitumika kwa posho ya vikao

    Nchi ni moja na rais ni mmoja kwa nini madiwani wa Zanzibar walipwe mishahara huku hawa wa bara hawalipwi? Huu ni ubaguzi usiofaa. Bajeti Zanzibar Sh2.59 trilioni. ======= Madiwani Z’bar kulipwa mishahara Jesse Mikofu Unguja. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) jana imewasilisha...
  16. JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
  17. JamiiForums Tanzania BAJETI: DStv yaunga mkono TOZO ya king'amuzi. Yataka 'Free chanels' zisiwepo ili Serikali ikusanye zaidi

    Jana kwenye bajeti iliyopendekezwa na Serikali, wamependekeza tozo ya shilingi 1000-3000 kwenye ving'amuzi kulingana na kifurushi mtu ananunua. Serikali tayari inakusanya kodi kwenye haya makampuni na pia inakusanya VAT kila mteja anaponunua king'amuzi au kifurushi, kumuongezea tozo itakuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

    Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
  19. JamiiForums Tanzania Ubingwa wa Rais Samia na Uchumi Shirikishi

    Katika uchumi, sera ya Mhe. Rais Samia Suluhu ni sekta binafsi kufanya biashara na Serikali kuwa mwezeshaji. Hiyo ndiyo njia pekee mataifa makubwa yanajijenga hivi. Manufaa ya uchumi shirikishi. Kukua kwa mzunguko wa fedha Kuboresha biashara kwa wananchi kupitia ushindani na huduma kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

    Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi. Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari. Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie. Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…