samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Akamilisha Uwanja wa Ndege Tabora

    Rais Samia akamilisha ujenzi wa Uwanja wa Ndege Tabora Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan imefanikisha kukamilika kwa ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Tabora, hatua inayolenga kuboresha usafiri wa anga, kuchochea biashara, utalii na kufungua fursa zaidi za...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Awasili Uganda kwa Uapisho wa Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu wa Tatu wa Uganda Mhe. Rukia Isaya Nakadama mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini humo tarehe 12 Mei, 2026. Rais Dkt. Samia amewasili nchini Uganda kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aelekea Uganda Kwa Uapisho wa Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Yoweri Kaguta...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Samia ana 'options' tatu, tumsaidie kufanya maamuzi sahihi, kila moja ina faida na hasara zake

    Chaguo la kwanza, Samia akiri kilichofanyika Oktoba 29 kilikuwa sio sahihi, aombe radhi, akubali hukumu yeyote kutoka kwa wananchi, aidha kusamehewa au kuwajibishwa, 'kila aombaye husamehewa', ataishi kwa amani. Kifupi: MUNGU NDIYE HAKIMU MKUU. Chaguo la pili, Samia akubali kuwajibika mwenyewe...
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Kashaugawa Mradi wa Gesi Asilia Kimiminika (LNG), Tanzania kupewa 03% tu!

    Ikishangaa ya mafuta utaona ya Gesi asilia. Tayari kashaigawa gesi yetu yote ya Kusini. Nna Makubaliano ni kwamba Tanzania itapewa Mgawo wa asilimia 3 tu ye Gesi yote itakayo kwa matumizi ya ndani. Huyu Mzanzibari Samia Suluhu anataka aache ametufilisi kabla hajamaliza miezi yake ilobaki...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Dangote kamchoka Mama Samia, tumtume Nchimbi kuokoa uwekezaji!

    Nasikia Dangote ndiye sababu ya Samia kutokualikwa Kenya asingeenda Kenya kama Mama angekuwepo. Wakina Kikwete wamekuwa wanamsumbua sana kwenye kiwanda chake cha cement na kuomba omba rushwa. Dangote hajawahi kumpenda fisadi Kikwete na familia yake. Wakina Mama wameshaanza kuomba omba 10%...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania kamwe hatafikiria kama Samia na Machawa wake

    https://youtu.be/sZv8yMHKNII?si=MjFJqevJHzHcN9bi warioba kasema yote
  8. L

    JamiiForums Tanzania Upendo na Moyo Wa Huruma: Rais Samia Amsaidia Profesa J Million 30. Asema anafuatilia Kwa Karibu maendeleo yake kiafya. CHADEMA wao ni Majungu tu

    Ndugu zangu Watanzania , Kiukweli Rais Samia amejaliwa Moyo wa Huruma na upendo sijapata kuona. Ni Mama Mwenye Kuguswa na shida za watu. Ni Mama na Rais Mwenye Upendo wa Agape . Maisha ya Rais Samia hapa Duniani ni Kwa ajili ya Kugusa watu. Anaishi kwa ajili ya kusaidia watu. Amefanyika Baraka...
  9. JamiiForums Tanzania President Samia Remarks on SA: Fabricated!

    Ignore this misinformation. The President of the United Republic of Tanzania, H.E. Dr. Samia Suluhu Hassan, has not made these remarks. This statement is fabricated with the intention of misleading the public and damaging the good relations between Tanzania and South Africa. Please ignore...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia Azindua Upanuzi Mkubwa Muhimbili. Utagharimu takribani Sh. Trilioni 1.2

    𝙍𝘼𝙄𝙎 𝙎𝘼𝙈𝙄𝘼 𝘼𝘼𝙉𝙕𝘼 𝙐𝙅𝙀𝙉𝙕𝙄 𝙈𝙆𝙐𝘽𝙒𝘼 𝙃𝙊𝙎𝙋𝙄𝙏𝘼𝙇𝙄 𝙈𝙐𝙃𝙄𝙈𝘽𝙄𝙇𝙄. SAMIA AANZA UJENZI MKUBWA HOSPITALI MUHIMBILI Context: Rais Samia Suluhu Hassan ameweka jiwe la msingi la upanuzi wa Hospitali ya Muhimbili unaolenga kuboresha huduma za afya nchini.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia ameonyesha utu kwa vitendo kutembelea magereza

    Watanzania tujisikie farari kumpata mama anatujari na ana utu
  12. JamiiForums Tanzania Hata yule Mfungwa wa Kike kumbe naye ni ASKARI !! Haya Majama yanayomzunguka Samia ni Majinga ,yanafanana Kila kitu

  13. JamiiForums Tanzania Maigizo ya “MFUNGWA WA SAMIA”

    Hii nchi ya ajabu sana na hatujui lengo la haya maigizo ya yule mfungwa hususani wa kiume yanamaanisha nini. Binafsi, namfahamu yule jamaa na kama kuna mtu wa Newala anaweza akawa anamjua yule jamaa. Yule jamaa wa kiume sio mfungwa na hajawahi kufungwa popote. Namjua na anaishi Newala...
  14. JamiiForums Tanzania Mikwaju ya Samia Suluhu ya 29 Oktoba 2025. Hakutosheka?

    Kenya Msikubali maelekezo ya huyu Mwanamke Wa Zanzibar ya kutumia mikwaju kwa Wananchi wenu hata Watanzania. Aliyeonja nyama ya Mtu haachi. Hawa ni Gen Z waliopigwa mikwaju na Utawala wa Samia 29.10.2025. Kamwe hatutasahau vifo vya Watoto wetu. Kizimkazi ilizaa laana?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia hana washauri? Habari ya kupata Katiba Mpya inahitaji elimu ya miaka mitatu inatoka wapi? Tume ya Jaji Kisanga na rasimu ya Jaji Warioba?

    Nimeshangaa kusikia anasema eti ili mabadiliko ya katiba mpya wananchi wanatakiwa kupata elimu kwa miaka mitatu . Wajue nini kinafaa ndani ya katiba hii ya sasa na nini hakifai. Iliundwa tume ya Jaji Kisanga mwaka 1998 ikakisanya maoni ya Wananchi kupitia White paper. Serikali ya CCM chini ya...
  16. JamiiForums Tanzania Hizi Drama zilizofanyika Ukonga Prison zitasaidia rais Samia kupunguza kuchukiwa na wananchi?

    Nimeona wanataka aonekane ni rais wa watu na kiongozi mwenye huruma. Lakini kila kona Watanzania wanasema ni maigizo ten ya kitoto. Mfano rais Kumuwekea mfungwa sikio ili anog'onezwe. Kupiga picha na wafungwa wakiwa wamekaribiana. Lakini kidonda cha Oktoba 29 hakiwezi kumalizwa kwa drama...
  17. JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kiusalama kwa watekaji na genge lao kuendelea kutumia "Plate Number" zisiofuata mfumo rasmi wa nchi

    Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka . Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba. Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli. Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA . Leo hiii...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wema wa rais Samia usiooonekana

    Rais Samia mwema sana , alimtembelea Nairobi, alikutana naye Ubelgiji wakati wasaidizi wa ikulu walimwambia ampotezeee akagoma, mwishoni Lisu akamtenda ubaya kwa kumtukana balaa 2. Rais samia aliamua kuwaruhusu warudi na aliwaliapa malipo yote ya Lisu na wapapmbe wote wa chadema laini cha ajabu...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mwingine wa jalalani ni huyu Benson Bana: Anasema we are in the right track to democracy kwahiyo Samia alikuwa sawa yalitokea Oktoba 29?

    Sikiliza kipindi cha Live on viusasa.com citizen Tv Bana anasema Samia alikuwa sawa kufanya aliyoyafanya October 2025, 29th!
  20. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutua kwa Kishindo Mkoani Songwe hapo kesho. Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini Na Maelfu ya Waumini. Asubiriwa kama Masia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anatarajiwa Kutua kwa kishindo kikuu Mkoani Songwe Hapo kesho . Ambapo Rais wetu Mpendwa na Moyo wa Taifa letu anatarajiwa Kupokelewa na Mamia ya Viongozi wa Dini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…