samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la mikopo umiza:Raisi Samia, unda Chombo au Taasisi maalumu itayohusika kusimamia na kudhibiti biashara ya kukopesha fedha

    Tatizo la mikopo umiza maarifu kama "kausha damu", linazidi kushika kasi hapa nchini huku Benki Kuu yenye dhamana ya kusimamia na kuendesha hii biashara, ikiionekana kushindwa kabisa kudhibiti uholela wa hii biashara japo teyar kuna sheria na Kanuni za kusimamia uendeshaji wa hii biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Bunge halina manufaa yoyote kwa Watanzania. Lifutwe, ofisi ya DED ichukue majukumu ya wabunge

    Katika vitu ambavyo vinameza fedha za JMT ni bunge. Kuhudumia wabunge zaidi ya 300 pamoja na ofisi za majimbo yao ni mzigo mkubwa kwa wananchi wenye uchumi wa kusadikika. Hawa wamachinga na bodaboda wanaoahindia mihogo na wali wa buku ndio wahanga. Majukumu ya wabunge wapewe wakurugenzi wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 Mkoa wa Tanga Kura Zote Tutamchagua SAMIA SULUHU HASSAN

    MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN "Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Waziri wa Maji Nchini Mhe...
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia ingilia kati rushwa zinazofanywa na hakimu wa wilaya Chato. Mkurugenzi wa PCCB amefeli kuchukua hatua. Ni juu ya uvuvi haramu Rubondo

    Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote. Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kesho Lissu akiwa Rais unadhani ni kipi cha kwanza atafanya kuhusu Muungano?

    Tuseme kesho Tundu Lissu ameamka kaupata Urais, ni kipi ataanza nacho kuhusu Muungano? Akiwa na Salama kwenye kipindi cha mkasi alidai Tanganyika tunaiibia Zanzibar sasa hivi msimamo wa gwiji hili la sheria umebadilika kutokana na elimu ya siasa ambayo amekuwa akiitoa kwenye mikutano ya...
  7. JamiiForums Tanzania ACT kumfukuza Uanachama Zitto?/ Kumpigia Kampeni Samia 2025/Dorothy Semu

    https://www.youtube.com/watch?v=JXhfs3y4FiY Chanzo: Dar24
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tazama kijana anayeweza kuongea kama Rais Samia

    Kijana ambaye anauwezo wa kuongea kama mama Samia akionesha kipaji chake katoka moja ya kikao cha vijana kilichokutanishwa na rebby foundation mnamo Aprili.
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge Fyandomo: Rais Samia Alitoa Ruzuku ya Mbolea Bei Ikashuka Kutoka 150,000 Mpaka 60,000 kwa Kilo Moja

    MBUNGE SUMA FYANDOMO: RAIS SAMIA ALITOA RUZUKU NA BEI YA MBOLEA IKASHUKA KUTOKA TSH. 150,000 MPAKA TSH. 60,000/KILO "Nampongeza sana Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amir Jeshi Mkuu kwa kazi kubwa nzuri ambayo aliwaona wakulima maana walikuwa kwenye kipindi kigumu sana ambapo Mbolea...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 KITETO: Kata ya Engusero yapokea ambulance mpya, wananchi wamshukuru Rais Samia

    Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo litawaondolea adha ya Usafiri wa wagonjwa katika Kata hiyo na Tarafa nzima ya Matui. Pia, Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuendesha NHIF

    Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general". Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is being mishandled. Tatizo moja nimeona NHIF ni kwamba mtu anaweza kuondoka na dawa nyingi (far more...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Rais Samia ndio aliruhusu shughuli za kisiasa kuendelea, kwanini hamkuhoji wakati ule huyu ni Mzanzibari?

    "Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka niwakumbushe wakati nchi yetu ilipopita kipindi kigumu cha COVID-19 wakati Dunia yote ilijifungia...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, CHADEMA wakikashifu mamlaka waonywe, wakiachwa wanajenga usugu, watasumbua

    Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini, Salaàm! Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni. Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO...
  14. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Sijui ilikuwaje CHADEMA tukamualika Rais Samia, ila mbeleni tutaelezana

    Akiwa mkoani Iringa katika mkutano wa hadhara Lissu amesema hajui ilikuwaje CHADEMA ikamualika mama kwenye mkutano wa CHADEMA maana huwa hawaji wenyewe ni mpaka waalikwe. Aidha Lissu amewatahadharisha wanaCHADEMA kuwa makini maana kwenye uchaguzi wa ndani ya Chama kuna hela nyingi inatumika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atahadharisha uchaguzi ndani ya chama kuingiliwa na fedha za Rais Samia na mwanae Abdul

    Kuna fedha za ajabu ndani ya Chadema ambazo chanzo chake hakijulikani. Hizi hela kama siyo za Abdul na mama yake, ni za nani? Kuna fedha za ajabu, Iringa, njombe na kwingineko. Pesa za Abdul na mamake zitatuangamiza. Chagueni viongozi ambao hawatatuangamiza. Kuweni macho na hizo pesa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jinsi Rais Samia alivyomsaidia Lissu kutoka mafichoni

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini. Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu. Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura. 1. Hana kambi ya kumpigania kufa...
  18. JamiiForums Tanzania Kelele za Serikali ya mama Samia ni nyingi kuliko maendeleo

    Imefika wakati tupigeni kelele mambo ya ajabu yatokomee 1. Vyombo vya habari vimekuwa na uhuru tu wa kusifia Serikali ya mama Samia pekee ila huwezi kukuta chombo cha habari kikihoji maendeleo ya kijamii kama kukatika katika ya umeme, uhaba wa maji, mafuta, vyakula bei juu, kuadimika kwa dolla...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwana CCM ajilipua, alaani mama Samia kutengewa fomu moja

    Watu ndani ya CCM wamechoka sasa na kuondoa uoga uliotanda. Mwana CCM ameamua kumwaga mboga bila kujali nini yatamtokea mbele ya safari. Amchana Nchimbi na viongozi wote waliopo nyuma ya uchaguzi ujao kuwa wanavunja Sheria ya CCM.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…