samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  2. JamiiForums Tanzania Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

    Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia. HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !! Kwa akili ya Samia na Genge lake maana...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Swali la kufikirisha: Inakuwaje Samia anaona Sherehe za kuzaliwa kwake ni za lazima kuliko Sherehe za Uhuru wa Tanganyika?

    Watanganyika bila kuamka huyu bibi amedhamiria kuifuta Tanganyika ipotee kabisa au atuachie migogoro na vita vya wenyewe kwa wenyewe: Soma comment ya mdau:
  4. N

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Rais Samia kwenye Baraza la Mawaziri

    Naanza kwa kutanguliza interest zangu kuwa naipenda Tanzania na Samia nakutakia umalize Urais wako salama 2030 utuachie nchi ikiwa salama. 1 . Baraza lako la mawaziri kuna watu umewaacha ambao walikuwa watendaji wazuri sana , hii nchi yetu inahitaji viongozi wakali na katili tu . Mfano wizara...
  5. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu ni Rais Haramu, Serikali ya Hofu, na Teuzi za Kujinusuru

    Hakuna namna ya kuficha ukweli huu kwa mapambo ya maneno: udhaifu wa Rais wa sasa unatokana moja kwa moja na ukweli kwamba hana uhalali wa kisiasa wala wa kimaadili. Huyu si Rais wa ridhaa ya wananchi, bali ni Rais wa nguvu, vitisho, na damu ya raia. Msingi wa madaraka yake haukujengwa kwa kura...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  7. JamiiForums Tanzania Naona kidogodogo Ikulu ya JMT inahamia Zenji. (Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar)

    Tunaelekea mwezi wa 3 sasa. Mambo ya nchi mengi yanafanyikia huko Zenji Ikulu ndogo🤔
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia Suluhu Hasani ni Enemy of the State

    Tungekuwa na strong National intelligence kama USA au UK, Samia hasingekalia icho kiti,, SSH amegeuka kuwa adui wa taifa, amelitia aibu taifa, amelivuruga,amelibananga, amelitindinganya taifa letu. Why Samia Suluhu Hassan ni Enemy of our state. 1. Samia ameua maelfu ya watanganyika kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Donald Trump, Samia Suluhu alikuita "WHO ARE YOU?"

    Wakuu, tumchongee Samia Suluhu kwa Trump Baba Donald Trump, Huku Tanzania kuna Mwanamke anaitwa Samia Suluhu Hassan aliikuita who are you.. Mvutie pumzi.. Kwa sasa yupo huko Tunguu Zanzibar. Siku mkimtaka ntatoa Ushirikiano.. Yaani mtamkamata kama kuku wa Kisasa.. Naye anatakiwa apokee unyakuo...
  10. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Siku Samia Suluhu akifa, tufute Majina yake kwenye Miradi yote ya Serikali

    Kwa yaliyotokea 29 Oktoba 2025, ni laana kwa Nchi. Jina lake libaki kwenye Misikiti alojenga pekee. Kwenye Utawala wake aliruhusu Watanzania kuuana wao kwa wao ili yeye asalie madarakani.. Katiba akaiita kijitabu.. Kijitabu akakitumia kuapa asalie madarakani bila ya kuchaguliwa na yoyote...
  11. JamiiForums Tanzania Nilimpenda sana Samia alipoingia madarakani

    Kiukweli Magufuli alipofariki niliumia sana, lakini pia nilifurahi kuona Tanzania inapata Rais mpya wa kike. Nilikuwa niko curious kujua uongozi wake utakuwaje na nilikuwa na matarajio makubwa sana juu yake Kwa kuwa Magufuli alikuwa anapenda sana kuanzisha megaprojects nyingi za kutatua matatizo...
  12. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu utatuambia nini Watanganyika? Huna

    Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu? Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya Kagera. Samia anataka kumhutubia nani? Ili iweje? Salaam za Mwaka mpya ambao Waislam hawauttambui...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera kwa Rais Samia katika kuitekekeza sera ya kutofungamana na Taifa lolote

    Tanzania ilijitanabaisha hapo awali na kipindi cha muasisi wetu wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwamba tutakuwa ni nchi isiyofungamana na upande wowote yaani NON ALINGNMENT MOVEMENT. Mwalimu Nyerere na washauri wake wa kipindi hiko aliona mbali na Mungu ambariki na hatimaye...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Kunyamaza kwa Samia Suluhu kumepunguza kwa sehemu kubwa hekaheka mtandaoni

    Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2. Mbinu hiyo inafanya kazi haswa tena ni mbinu kamilifu hasa ukiwa upo upper hand. Lakini ukiwa lower hand...
  15. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali: Good News, vita ya Samia na Dr. Nchimbi inaelekea kileleni

    https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- • Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... • Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na communication za kila kiongozi ziko highly monitored... • Kilichowashitua hawa monitors, ni kujua...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Nimeota Samia Suluhu Hassani analazimisha watu walale

    Ndugu wana jamvi, hii ndoto sijui ina maana gani! Nimeota eti watu wengi tuko darasani pamoja na huyo raisi fake. Na alikuwa anawalazimisha wote waliokuwa naye darasani walale usingizi na yeye akalala usingizi mzito sana. Lakini mimi nikakataa nikatoloka kwa siri. Hii ndoto inaweza kuwa na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Boxing day iende kwa Rais Samia Suluhu

    Boxing day leo siku ya zawadi sisi wakristo wakatoliki wa huku Kilimanjaro tuna idedicate kwa gamer changer,kipenzi cha waTanzania,mpenda haki na mbeba maono kwa waTanzania Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupambania sisi waTanzania hadi tone la mwisho ili kuifanya Tanzania kuwa big country in the...
  18. JamiiForums Tanzania Wewe Samia Suluhu Hassan unajua alipo Mteule wako Humphrey Polepole?

    Nakuagiza ututangazie alipo kama tulivyo tangaziwa alivyo teuliwa. Hii ni amri sio ombi.
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa Tundu Lissu ametolewa kinyemela Gereza la Ukonga kukutana na ujumbe wa Rais Samia, akataa masharti yao

    https://youtu.be/r7Q3c52fIOw?si=vKArWlvV0I3OjLJa Huyu mama na watu wake are so pathetic na wana mioyo migumu kama mawe.... Hawataki kuwajibika kwa makosa yao yaliyosababishwa na ujinga na upumbavu wao wenyewe na badala yake wanatafuta mahali na watu wa kuwatwisha gunia la hatia na uovu wao...
  20. JamiiForums Tanzania Ni kweli "Katiba ni kijitabu tuu" katiba ya kweli ni mimi na wewe kubadilika kuwa waadilifu. Hiyo ndio katiba mpya

    Ni kweli "KATIBA NI KIJITABU TUU" KATIBA YA KWELI NI MIMI NA WEWE KUBADILIKA KUWA WAADILIFU. HIYO NDIO KATIBA MPYA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kisheria Katiba ni zaidi ya kitabu. Hii ni kweli. 2. Lakini Kifalsafa Katiba ni kijitabu tuu. Haina tofauti na Biblia au Quran. Kwamba ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…