Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.
MIRADI MIKUU YA KIMKAKATI CHINI YA UONGOZI WA MHESHIMIWA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN, 2021 – SASA
Uongozi wa awamu ya sita umewekeza katika uendelezaji wa miradi ya kitaifa yenye tija kwa uchumi, huduma za jamii na ushindani wa Tanzania kikanda. Ifuatayo ni orodha ya miradi 11 mikuu:
1...
"Serikali imeratibu upatikanaji wa fursa za ajira nje ya nchi, na vijana wa Kitanzania 7,593 tumewapatia ajira. Mwisho wa kunukuu.
Hayo ameyasema Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani.
MY TAKE:
Tanganyika awamu hii tumepatikana. Hakuna Mzanzibar mwenye huruma...
Gazeti la The Economist la Aprili 30, 2026 limechapisha makala yenye kichwa: "Is Samia Suluhu Hassan Africa's most disappointing president?" — yaani "Je, Samia Suluhu Hassan ndiye rais aliyekatisha tamaa zaidi barani Afrika?"
Katika makala hiyo, The Economist inaelezea Ukatili wa dola...
From The Economist April 30 2026
Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?
Photograph: Xinhua News Agency/Eyevine
Apr 30th 2026
|
3 min read
Tanzania has had dramatic ups and downs. In the 1970s the government of this east African country forced farmers into collective...
Hivi huyu Bibi kweli anaitakia Mema Tanzania? Ile ni meli ya kuzinduliwa na Rais? 🤣🤣🤣
Yaani Tanzania ndo tujivunie ile Meli? Hii awamu inatia aibu hadi wamekosa vya kuzindua
White Elephant..
Specification zake zinabaki kuwa mali ya Rais🤣🤣🤣
Dau lililozindua wakaliita meli.. Eti ni kijimeli...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026.
#UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
hafla
kuchunguza
kupokea
matukio
rais
rais samia
rais samiasuluhu
rais samiasuluhu hassan
ripoti
ripoti ya tume
samiasamiasuluhusamiasuluhu hassan
suluhu
tume
tume ya rais
uchaguzi
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia..
Kila mtu ashinde mechi zake. Hakuna kuungana mkono.. Pambaneni na misiba kama mnavyofurahia raia...
Salaam Wakuu,
Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake.
Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo.
Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
Jana nimekutana na balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Suzan S. Kaganda hazina ya Taifa.
Baada ya kumsikiliza vizuri, nimeamini kumbe Nchi yetu bado ina Wazalendo. Tatizo Wazalendo CCM hawataki wakae karibu na Wananchi. Mfano Balozi Polepole alipelekwa Cuba, Balozi Suzan kapelekwa and Zimbabwe...
Nimewaza tu. Hawa wanafaa sana kuongoza nchi kama Iran. Je kwa nini Iran isije kuazima wakawapa nafasi za juu kule nchini kwao? Na je hawawezi pia kumchukua na IGP wetu naye akaenda kuwa Mkuu wa kikosi cha Bajis?
Nadhani katika kipindi hiki Iran ingepata viongozi wa karba hii tulio nao...
Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma.
Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
CCM ni alama ya Utanzania wetu.
CCM ni alama ya uzalendo
CCM ni alama ya Uafrica.
CCM ni maisha yetu ya Kila siku
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Nyinyi mawakala wa mabeberu mliotelekeza wake zenu na watoto wenu kwa mabeberu warudisheni.
Tanzania imefungua vizuizi vya utafutaji wa mafuta ndani ya Ziwa Tanganyika, mojawapo ya maziwa makubwa zaidi ya maji safi duniani yaliyyo kati ya Tanzania, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Burundi na Zambia.
Ziwa hilo linamiliki 17% ya maji safi duniani, lina zaidi ya spishi 1,500, na...
Jalida kubwa kabisa duniani, limemwelezea Samia Suluhu Hassan kama kiongozi aliyeiletea matatizo makubwa sana Tanzania toka nchi ipate uhuru.
The Economist wanasema chini ya Samia, Serikali imeua watu wengi kuliko watu waliouliwa na Mjerumani kwenye Majimaji War.
Chini ya Samia kumeshuhudiwa...
Ndo maana CAF hawataki Serikali kujihusisha na Mpira.
Wasaidizi wa anayejiita Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, waomba AFCON iahirishwe hadi 2028.
Wanadai Viwanja na maandalizi hayatakuwa yamekamilika. Wanadai eti Kenya itakuwa kwenye Uchaguzi Mkuu kwamba kunaweza kukatokea Vurugu...
The party that has ruled Tanzania since independence from Britain in 1961 is a strange beast. Under Julius Nyerere, the country’s founding father, Chama Cha Mapinduzi (ccm), which translates as “party of the revolution”, forced millions onto collective farms. Yet faced with a wrecked economy and...
Samia Suluhu Hassan has caused Tanzania’s most dangerous crisis since independence.
"Hundreds, possibly thousands, of people were killed by state security forces. As Tanzanians died in the streets, Mrs Samia claimed a ridiculous 98% of the vote.
Dan Paget, a British academic specialising in...
Today president Museveni visited the United Republic of Tanzania on a working visit at the invitation of H.E. Samia Suluhu Hassan a visit aimed at strengthening cooperation and deepening the long-standing relations between our two countries.
While at the meeting they agreed to deepen...
Salaam Wakuu,
Tangu kilichoitwa uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 kumalizika, Samia Suluhu ameshindwa eti kufanya kazi zake sababu ya unyanyasaji kijinsia. Inadaiwa watanzania wanamsononiesha kwa kumzushia mambo ambayo hajawahi fanya.
Martha Mlata Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida
Kwamba Watanzania...