samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mzuri

    Ni ukweli usio pingika kuwa Samia ni mtu mzuri ukiyatazama haya:- Ni mwenye heshima na anajiheshimu mwenyewe mfano utumia kauli za staha, Uongozi ni mzuri zaidi ya mmoja analizingatia ilo mfano amewaagiza viongozi kuwajibika. Anaheshimu sheria na anazifuata mfano ameagiza mara kadhaa polisi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanzo mzuri anga za kimataifa

    Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyo kuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa moja...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia Suluhu kwenye Umoja wa Mataifa yaleta matumaini mapya kwa diplomasia na diaspora ya Tanzania

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu wa Tanzania alifanya ziara nchini Marekani, ambako alikwenda kuhudhuria mkutano wa 76 wa baraza kuu la umoja wa mataifa nchini Marekani. Ziara hii ambayo ni ya kwanza kwa Rais wa Tanzania nje ya Afrika katika kipindi cha zaidi ya miaka sita, imepokelewa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Katika hili la tozo, Sioni hatia yoyote juu Rais wetu, Samia Suluhu Hassan

    Ni ukweli usiopingika hali ya maisha ya watu yamebadilika na imezidi kuwa mbaya zaidi, hali ya uchumi imeporoka sana wala hakuna pa kupumulia, na ni kweli vitu vimepanda bei kuliko mwanzo na Zaidi ya yote wananchi tumetwishwa Msalaba mkubwa wa Kulipia kodi kila huduma tunayoifanya hasa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Tutarajie nini kwenye Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani

    Waungwana, nawasalimu! Leo ndiyo siku ya tarehe 23/9/2021 iliyotajwa kama siku muhimu kwa nchi yetu ambapo Rais wetu na Mama yetu Samia Suluhu Hassan atalihutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa huko Marekani. Kwa yeyote anayefahamu, hotuba ya Mama Samia itakuwa muda gani na itarushwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia, apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo)

    SAMIA SULUHU apania kuibadilisha Tanzania kuwa Mfadhili kupitia gharama za kijamii (Tozo) - (SSH turning Tanzania into a Donor Nation through Social costs). Na Galila Wabanhu. Kwanza watanzania tutambue kuwa, Maendeleo endelevu ni mkakati wa kuboresha hali ya maisha wakati wa kuhifadhi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anaipaisha Tanzania kimataifa kisiasa na kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan alianza na ‘Royal Tour’ kama sehemu ya kui - brand Tanzania katika uso wa dunia, na sasa safari hii ya New York pamoja na kuhudhuria Baraza la Umoja wa Mataifa na mikutano mingine, itatumika...
  8. JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Samia Suluhu Hassan Jijini New York ni ya muhimu kiuchumi

    KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia ameanza safari kuelekea New York Marekani kuhudhuria mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, na...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wa Viongozi wawili

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Yona Killagane kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Ukaguzi na Usimamizi wa Vyama vya Ushirika (COASCO) Pia, amemteua Mathew Modest Kirama kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma (PSC) akichukua nafasi ya Nyakimura Muhoji ambaye amestaafu...
  10. JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais Samia Marekani upoje?

    Nawasalimu katika jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania! Wapendwa tumekua tukiona kwa macho yetu, kwamba Mh Rais Samia ana walinzi wenye mabunduki mazito mazito pindi anapokua kwenye tukio au sehemu yoyote hapa Nyumbani Tanzania! Wale wana usalama ni wenye miili mikubwa,warefu na wamekula...
  11. JamiiForums Tanzania Bora tozo kuliko Kutekana na wasiojulikana

    Wakuu Kwema!!! Tutozane. Tukamuane, Tuzinguane, Tuchapane, Tuchanane, Lakini tusiuane. Kwa kweli Mimi Taikon naona ni mara elfu Tozo kuliko Kutekana, kuuana, kupotezana Kwa kisingizio cha Uzalendo, sijui maendeleo, sijui vitu gani. Nchi sasa inaenda Sawa Sawa, mambo yamenyooka. Mapungufu...
  12. JamiiForums Tanzania Habari picha: Makamu wa Rais na Waziri Mkuu wakutana na kufanya mazungumzo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, hii leo Septemba 15,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma.
  13. JamiiForums Tanzania Siku ya Demokrasia Duniani (2021): Rais Samia azungumza na Wanawake wa Tanzania, jijini Dar es Salaam

    Siku ya Demokrasia Duniani huadhimishwa kila Septemba 15, ikitoa fursa ya kuangalia hali ya Demokrasia ulimwenguni kote. Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni kuheshimu #HakiZaBinadamu Umoja wa Mataifa (UN) umesisitiza Nchi kuheshimu na kulinda Uhuru wa Kujieleza, Uhuru wa Habari pamoja...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wameanza kuandika kwenye vigazeti kwamba sitasimama 2025, nani kawaambia?

    Rais Samia Suluhu Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani Mkoani Dar amesema wanawake bado hawajamuweka Rais mwanamke bali aliyekuwepo amepatikana kwa kudra ya Mungu na matakwa ya katiba. Amesema walichofanikiwa wanawake ni kusukuma mpaka kumpata makamu wa Rais mwanamke...
  15. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam yatajwa miongoni mwa majiji kumi Afrika yanayokua kwa kasi zaidi

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Haki huinua Taifa, Nchi yetu imeanza kuingia midomoni mwa Watu kila kona duniani kwa sasa, Kwa Taarifa hii tu, Dar es salaam itapokea wageni lukuki toka nje na ndani, Kila Mzalendo lazima aone kazi nzuri na njema anayoifanya Rais Samia Suluhu Hassan kwa Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor

    Hii ndio habari ya kuvutia kwa vyombo vya habari vya Magharibi kuhusu cabinet reshuffle? ----- Tanzania leader reinstates minister sacked by predecessor Mon, September 13, 2021, 4:06 PM Hassan put Makamba in charge of the strategically important ministry of energy (AFP/-) Tanzania's...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, ahsante kwa nilichokisia wakati wa uapisho wa viongozi

    Leo nimesikia maneno mazuri kutoka kwako ambayo nilihitaji kutasikia kwa muda mrefu sana, nakushukuru sana sasa naona umeamua kazi kazi Tafadhali Rais wangu usicheke na kima hapa tutavuna mabua, kwakweli kwakweli niseme wazi upole wako unawafanya watu wakuone dhaifu na kukudharau. Lakini...
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi: January Makamba ateuliwa kuwa Waziri wa Nishati. Ndugulile, Kalemani, Chamuriho na AG Kilangi watenguliwa, Feleshi ateuliwa

    Rais Samia Suluhu kafanya mabadiliko madogo kwenye baraza la Mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali kama ifuatavyo Rais Samia Suluhu amemteua Dkt. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, anachukua nafasi ya marehemu Elias Kwandikwa Dkt. Ashatu Kijaji ameteuliwa kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi: The Royal Tour, filamu ya Rais Samia inayolenga kukuza utalii

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya ziara zake kurekodi The Royal Tour, 2021 Tumesikia na kuona Rais Samia akiwa katika kile kilichojulikana kama The Royal Tour, lakini huenda kuna baadhi yetu hatujaelewa ni kitu gani hiki. Wapo wanaodhani Rais kajitungia jina na kutafuta wapiga...
  20. JamiiForums Tanzania Magu, Mwanza: Rais Samia ashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania, atawazwa kuwa Chifu wa Machifu

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 8, 2021 atashiriki Tamasha la Utamaduni, Mila na Desturi za Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) katika Viwanja vya Redcross - Magu, mkoani Mwanza. UPDATES - Katika Viwanja vya Redcross - Magu tukio linaendelea huku Machifu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…