samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waraka wa Alex Msama Mwita kwa;MHE. RAIS Samia Suluhu Hassan - (Sehemu ya Kwanza)

    WARAKA WA MOYO KWA MAMA YETU; RAIS DOKTA SAMIA SULUHU HASSAN (SEHEMU YA KWANZA) Na: Alex Msama Mwita 🇹🇿 Julai 26, 2025 UTANGULIZI Mama. Nakuita tena, mama. Leo nikiwa nyumbani kwetu Tarime, mkoani Mara, moyo wangu umenisukuma kuandika waraka huu maalum kwako—waraka wa tafakari, shukrani na...
  2. F

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais ndiye the best option kwa wapinzani

    Hii ni kwa sababu: 1. ataweza kufanya mabadiliko yanayopaswa kwa sababu ni ngwe yake ya mwisho. Mwingine yeyote atasita kufanya mabadiliko yeyote kwa sababu atataka na yeye amalize ngwe mbili. 2. Katiba Mpya ni kipolo chake ambacho angependa kukimalisha kabla haya ondoka. 3. Ngwe ya mwisho ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole: Nataka CCM itafute mgombea mwingine wa u - Rais na sio Bi Samia Suluhu Hassan!!

    https://youtu.be/HHq7hqvxQSY?si=dLD-aa4aBpswt59T
  4. JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wetu Dr. Samia Suluhu Hassan imekuwa maarufu kama Marekani Dunia yote inaiongelea Marekan hii ndo siasa Sasa.

    Umaarufu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA umezidi kukua maradufu Tangu Mwenyekiti wetu jemedali wetu wa siasa za kisayansi DAKTARI Samia Suluhu Hassan aingie madarakani. Tuwe wakweli Jamani Samia anaujua uongozi, anaijua siasa, yupo very focused Hana papara, kwakweli nampongeza sana, sijui bunge...
  5. JamiiForums Tanzania Safi sana mama yangu samia suluhu hassani kwa hili

    Naanza kwa kumpongeza rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania , mama yetu Samia Suhulu Hassan katika raisi aliefanya mambo makubwa pia jina la Samia suluhu hassani haliwezi kukosekana. Leo ukifika kishiri hkuna vumbi tena ni mwendo wa lami ni kuteleza tu mwaaaaaah hakuna kupauka na wasukuma...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Upinzani: kazi aliyoifanya Rais Samia Suluhu Hassan ndiyo inayofanya tutamke wazi kuwa OCTOBER TUNATIKI

    Tanzania tuna Upinzani wenye zero critical thinking skills. Karne ya sasa huwezi ukakubalika kwa kutukana watu, kwa kudanganya watu, kwa kueneza roho ya chuki au kuonyesha uchu wa madaraka au kwa kutumia Hawa manabii wakitapeli akina Gwajima kwasabu watu tunaona na tunajua, tunajua na tunaona...
  7. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu anafaa kuwa mgombea urais

    Jambo moja sielewi, kwamba watu wengine wanataka mchakato wa kumpata mgombea urais CCM urudiwe ili Samia Suluhu athibitishwe au hata abadilishwe. Sioni sababu,kwa sababu Rais Samia amefanya kazi nzuri,na akichaguliwa tena ataendelea kama alivyofanya mwanzo. Anajenga flyover,anajenga daraja...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa Yanga tuhakikishe mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan anashinda kwa Kishindo ili Yanga izidi kuwa tishio

    Nimetafakari sana nimeona kwa maslahi ya Yanga, bora nimuunge mkono mama Samia Suluhu Hassan ili kuendeleza wimbi la mateso kwa watani wetu. Wana Yanga kipindi mnafanya maamuzi fikirieni timu yenu. #NOREFORMS_NO_ELECTION Asante.
  9. JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna ushirikina wala ramli za kisiasa za kumzuia Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania hadi 2030

    Ni kujidanganya tu kwa wanasiasa waliopoteza uelekeo na kukosa hoja kuwaza na kupiga mayowe eti kuna mahali kinaweza kutokea hiki au kile ili Dr.Samia Suluhu Hassan asiwe Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanazania kwa muhula wa pili. Hiyo ni ndoto ya mchana my friends, ladies and gentlemen...
  11. JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Samia Suluhu asema hana wazo la kuwania Urais 2025

    Katika kumbukumbu za Siasa za Tanzania, Rais Samia Suluhu aliwahi kusema kwamba hana wazo la kuwania Urais 2025. Habari hiyo ikachapishwa na Gazeti la CCM linaitwa Gazeti la Uhuru. Japo Gazeti watendaji wake walipata Misukosuko kwa kuandika nukuu ya kweli. Swali langu kwa Samia leo Tarehe 19...
  12. JamiiForums Tanzania Mimi Ponjoro wa Kinondoni October Sitamuunga mkono Samia Suluhu Hassan. Namwomba Apumzike kama Philip Mpango na Majaliwa Majaliwa

    Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake. 1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia Suluhu anakuwa mgombea wa kwanza kuingia madarakani kupitia CCM bila kupitia mchakato wa Uchaguzi. Je, wameogopa nini kumshindanisha na wenzie?

    wahuni wameogopa kumshindàisha maza na makada wengine, Ivi hili lina chochote cha kutueleza juu ya uwezo wa maza kwenye Medani husika za uongozi na siasa kiujumla ?? Na je, hii haileti ishara mbaya juu ya sirikali yetu kupigwa copy, kwamba wale wanaopromote uwepo wa maza wana ulaji wao pale...
  14. JamiiForums Tanzania Safari ya Samia Suluhu Hassan: Mwanamke wa Kawaida Aliyeandika Historia ya Taifa

    Samia Suluhu Hassan alizaliwa tarehe 27 Januari 1960 katika kijiji cha Makunduchi, kilichopo Zanzibar. Alizaliwa katika familia ya walimu, baba yake akiwa mwalimu wa shule na mama yake mama wa nyumbani. Alikulia katika mazingira ya kawaida, akipitia changamoto za maisha ya visiwani kabla ya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia amkumbatie sana Makonda, akitoswa hata na Makonda atakuwa na shughuli nzito sana

    Makonda angalau ana ushawishi 60-70% anaweza akamsaidia katika mambo fulani fulani. Kama Makonda naye akiamua kukaa pembeni, aisee shughuli itakuwa pevu.
  16. JamiiForums Tanzania Bonge la Ngoma: Nikki Mbishi Fit Mama. Sikiliza mwenyewe hapa

    https://youtu.be/WDTZHBAdsv4?si=NlySPzTCFWaIXiUd
  17. JamiiForums Tanzania Majaliwa aliokua kuitamka "Dakta" Samia Suluhu Hassan

    Mwamba aliipatia Sana kila mara akiongea lazima achomekee Dakta Mama yetu. ila ndo vile kapigwa pin
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Katiba mpya itatekelezwa miaka 5 ijayo

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amelihutubia Bunge rasmi Bunge la nchi hiyo na kutoa ahadi mbali mbali. Bunge hilo linatarajiwa kuvunjwa rasmi tarehe 3 Agosti ili kutoa fursa kwa taifa hilo kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Akihutubia Bunge 12 la...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu Wiki Hii:Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia katika wiki

    #IkuluWikiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii 📆 16 - 22 Juni, 2025.
  20. JamiiForums Tanzania Rais anaamini nchi ni mali ya CCM ndiyo maana hataki kusikia reform

    Mwaka huu navyojuwa hakuna uchaguzi kila mtu anajuwa jambo moja mama kajiteua kupeperusha bendera na wabunge anao mfukoni ! Niliwahi kusema nchi hii inataka kutawaliwa na kundi dogo linalojiona linafaa kuamua kila kitu katika nchi sasa majibu taratibu mtayaona ya makundi hayo ambayo yapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…