Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 19 Novemba, 2025.
Wahadhiri wa dini ya Kiislamu nchini wamesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akipingwa kutokana na asili yake ya Uzanzibari, jinsia yake ya kike, pamoja na dini yake ya Kiislamu. Wameeleza kuwa baadhi ya watu kutoka Bara wamekuwa wakitoa lawama zisizo za msingi na kuhusisha changamoto...
Rais Samia!
Unateua makada wa CCM, waliotumikia serikali ya CCM, waliokuwa wateule wa Rais ambaye ni Mwenyekiti wa CCM, wanaolipwa pensheni na serikali ya CCM, ambao ni 'askari wa akiba wa CCM na serikali yake; unawafanya wajumbe wa tume uliyoiita Tume Huru ili ichunguze matukio ya uvunjifu wa...
Uongozi uliopita uliokuwa unatuhumiwa kwa mambo kama ya sasa na kudhoofisha mifumo ya haki ndio waje kufanya uchunguzi wa mauji haya yaliyofanyika kwenye serikali ya sasa (yako)? Juma, Tax, Mwema ndio the best you could do kweli?
Ripoti iliyotolewa na Jaji Chande juu ya ukatili wa polisi...
Kwa maneno mengine hapa Rais Samia ni kwamba anasema hizo taasisi za nje zitapiga kelele tu kuhusu mauaji yaliyotokea ndani na wahusika kuwajibishwa na uchaguzi wenye matobo mengi ambao umempa yeye ushindi lakini hakuna kitu wanaweza fanya, na wakimaliza watakuja kutia pesa kama kawaida mambo...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri akisaidiwa na Wanu Hafidh.
Pia Soma: Mchengerewa ateuliwa kuwa waziri wa Afya
Msikilize Mbunge wa Kilosa Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi amesema hotuba aliyotoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Bunge la 13 imewapa Watanzania mwanga mpya na kuongeza imani juu ya safari ya maendeleo kwa miaka mitano ijayo.
Nini maoni yako.
Kwenye hotuba yake amesema kama taifa tunapenda tuheshimiwe kama sis tunavyoheshimu mataifa mengine, na katika kulinda maslai ya nchi hakuna mbadala ni lazima tuhakikishe tunalinda heshima, utu na uhuru wetu"
"Tutaendelea kuongozwa na misingi ile ile ya sera ya nje iliyoasisiwa na waasisi wetu...
Rais Samia amesema tumeamua kuwa na wizara kamili badala ya kuwa na idara ndani ya wizara yenye mambo mengi, vile vile ninafikiria kuwa na washauri wa masuala ya vijana ndani ya ofisi ya rais.
Rais Samia amesema ataunda tume ya maridhiano na upatanishi na kuanza mchakato wa mabadiliko ya Katiba baada ya kujua kiini cha vurugu kwenye uchaguzi mkuu.
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake amesema tayari ameshaielekeza Wizara ya Afya kusimamia maelekezo ya kutozuia maiti kwenye vituo vya kutolea huduma za afya, wakati familia zikiendelea na taratibu za kulipa deni la gharama za matibabu zinazolinda utu wao.
Hata hivyo, amesema...
Nimefuatilia uapisho huu wa Waziri Mkuu na jambo moja limejionyesha wazi kuliko yote, ni sura za wageni waalikwa, na hata za viongozi waliokuwa karibu naye, hazikuakisi ile furaha ambayo kawaida huambatana na tukio la kihistoria kama hili.
Wageni wengi walionekana wakiwa na nyuso zilizokosa...
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
abdulkarim
bakwata
kati
maelfu
mauaji
mkono
novemba
oktoba
oktoba 29
rais
rais samiasamiasamiasuluhuhassan
serikali
serikali ya rais samia
taasisi za kiislamu
uchaguzi mkuu 025
watanzania
Today, we heard from AFP , which is the one of the respected and reputable news agency in the world that, according to its reliable sources in Tanzania, there are mass graves in Mabwepande and Kondo forests in Kinondoni district in which thousands of human remains are buried there by state...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atamuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb.) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari, amesema mchakato wa kidemokrasia umeonyesha kwa dhahiri kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ni chaguo la walio wengi katika nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Amesema hayo leo tarehe 13 Novemba, 2025 Bungeni Jijini Dodoma wakati...
Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa kwa Bunge la Tanzania ili kupigiwa kura na wabunge.
Baada ya pendekezo hilo, wabunge watapiga kura...
Katika kongamano la African Renaissance lililofanyika Lukenya University nchini Kenya, Rais wa zamani wa Botswana, Ian Khama, alitoa kauli yenye mguso akisema “hamtambui Rais Samia Suluhu Hassan kama kiongozi halali wa Tanzania.” Alieleza kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 ulitawaliwa na vitisho, vifo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.