samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan

    “Tuliapa kuilinda nchi hii…na tutailinda” - Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mbaruk Mwalimu: Rais Samia anaongoza Tanzania kama chama cha akina mama

    Watangazaji wa Radio 47 ya Kenya Mbaruk Mwalimu na Billy Miya wakiongelea mambo yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania.
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Itachukua miongo mingi sana kuipata tena hotuba hii iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Hakika Uongozi huwekwa na Mungu. Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongea na wazee wa Dar Es Salaam. Hii ni Hotuba nzito sana iliyoonesha Upole, Ukweli na dhamira njema. Hotuba hii imeonesha kuwa Rais yupo well informed. Hotuba hii imetambulisha adui ni nani...
  4. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao maalumu cha Kamati Kuu ya CCM

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Maalumu cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa iliyoketi Kisiwani Unguja, Zanzibar leo tarehe 29 Novemba 2025. Kikao hicho pamoja na Mambo mengine kimefanya...
  5. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Samia aliwahi kusema Ajira za Undugu, Urafiki na upendeleo zinaharibu taasisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aliwahi kusisitiza kwamba viongozi wanapaswa kuacha tabia ya kuwaajiri watu kwa misingi ya kufahamiana iwe ni ndugu, rafiki au upendeleo wa aina yoyote kwani hatua hizo zinaharibu na kudhoofisha taasisi za umma. Kauli hiyo aliitoa...
  6. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kiini cha tatizo pengine kilianza pale 2015 kwenye uteuzi wa Running mate

    Anaandika Roma mkatoliki. Pamoja na yanayoendelea, lakini binafsi huwa napenda sana kuumiza kichwa kuhusu #Codes & #Decodes za hii nchi!! Kuna Dots nikijaribu kuiunga inakataa!! Inavyosemekana shida kubwa ilianza kujitokeza mwaka 2015 pale #Mpoto alipokuwa anamaliza muda wake wa kutawala...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DIPLOMATIC STANDOFF: Tanzania Moves to Block EU Parliament Hearing on "Post-Election Killings"

    BRUSSELS/DAR ES SALAAM — November 25, 2025 A diplomatic row has erupted between the European Union and the United Republic of Tanzania on the eve of a critical European Parliament hearing. In a strongly worded Note Verbale obtained by this publication, the Tanzanian Embassy in Brussels has...
  8. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wakili Peter Madeleka amshtaki Rais Samia kwa kufuta sherehe za uhuru wa Tanganyika, Desemba 9

    Wakili Peter Madeleka amshtaki rais Samia kwa kufuta sherehe za Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika, (Desemba 9) katika Mahakama ya Tanzania Masjala Kuu ya Dodoma. Soma: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Taasisi ya Thabo Mbeki: Tanzania kwa sasa haina Serikali halali, maridhiano ya kweli yatapatikana kwa kukiri kipi hakikwenda sawa ili kirekebishwe

    TAARIFA YA TAASISI YA THABO MBEKI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OKTOBA 2025 Ni wakati wa kufungua haraka Sura Mpya! Taasisi ya Thabo Mbeki inatoa taarifa hii kufuatia tafakari ya kina na yenye maumivu kuhusu Uchaguzi Mkuu uliofanyika Tanzania mnamo tarehe 29 Oktoba...
  10. Mi mi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Matatizo hayatoondoshwa kwa Samia pekee kuachia madaraka

    Matatizo ya Tanzania yanayo pigiwa kelele kwa muda mrefu na wananchi hayato ondoshwa au kupunguzwa kwa Samia pekee kujiuzulu na kuundwa katiba mpya. Kama CCM itaendelea kusalia madarakani basi ifahamike hakuna jambo la maana litakuwa limefanyika na damu za watu zitakuwa zimenda bure...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukweli ni kwamba amri ya kuua waandamanaji wasiokuwa na silaha ilitoka kwa Amiri Jeshi Mkuu, Ndugu Samia Suluhu

    Ukweli ni kwamba amri ya kuua waandamanaji wasiokuwa na silaha ilitoka kwa Amiri Jeshi Mkuu Ndugu Samia Suluhu. Hili hawezi kulikwepa !!!.
  12. JF Member

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnatupa shida kumtetea Samia huku mtaani

    Kila mkihutubia mnasema, kazi na utu, mama ni mtu mwema, mama ana utu. Mkimaliza tu, anapotezwa mtu. Baada ya muda yuko kituo cha polisi. Ukifuatilia ni mkosoaji. Sasa utu ni upi? Tusaidieni basi tupunguze mahangaiko huku kitaa.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Mmenipa heshima kubwa mno! Ulimwengu unauliza, “Kwanini asilimia 97?” Nasema natamani mngekuwepo, mkaona

    Wakuu, Kwani nyinyi mliokuwepo mliona nini? 🤕 == Rais Samia amewashukuru wananchi wa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro kwa imani kubwa waliyompatia katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiahidi kurejea tena Mkoani Arusha kutoa shukrani zake kwa wananchi. Samia amesema hayo Ijumaa Novemba...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ezekiah Wenje: Waliogombea Urais Tanzania hawakupinga ushindi wa Samia

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA na Mbunge wa Nyamagana, Ezekiah Wenje, amesema kuwa uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Tanzania uliendeshwa kwa utulivu mkubwa katika maeneo mengi, akibainisha kuwa wagombea wote 17 wa Urais hawakuwahi kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais ambapo Dkt. Samia Suluhu...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi? Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia aipa Tume Huru kazi nzito: chunguzeni hata kauli za vyama vya upinzani kama vile 'Lazima Kiwake'

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tume ya Uchunguzi ya masuala ya vurugu za uchaguzi haitachunguza tu matukio ya uvunjifu wa amani, bali pia kauli na matamshi yaliyotolewa na baadhi ya vyama vya upinzani kabla na wakati wa uchaguzi. Amesema hatua hiyo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tumeambiwa vijana walioingia barabarani kudai haki walilipwa fedha kwanza

    Rais Samia amesema "Tunaambiwa kwamba vijana wale walioingia kudai haki walilipwa fedha kwanza ndiyo wakaingia barabarani, na wengi wao waliingia barabarani kutokana na hizo fedha walizopewa. Je, fedha hizo zilitoka wapi?" wakati akizindua Tume huru ya uchunguzi wa Matukio ya uvunjifu wa Amani...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia Suluhu kuzindua Tume Huru ya Uchunguzi matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atazindua Tume Uhuru ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya uchaguzi.
  19. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Heche: Tume iliyoundwa na Rais Samia kufanya uchunguzi ni wanachama wa CCM haki haiwezi kupatikana

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema Tume ya kufanya uchunguzi wa uvunjifu wa amani wa vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 iliyoundwa na Rais Samia siyo chombo huru kwani wajumbe wengi wa Tume hiyo waliwahi kuwa...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM: Rais Samia ametoa ajira 12,000 ndani ya siku 11

    "Ndani ya siku 11 tangu Rais Samia Suluhu Hassan alipokula kiapo, ajira 12,000 zilikuwa zimeshatangazwa. Ajira 7,000 ni za walimu, na 5,000 ni kwa ajili ya wahudumu wa afya." - Kenani Kihongosi, Katibu Mwenezi CCM akizungumza na vyombo vya Habari
Back
Top Bottom