samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Samia: Kila Mtanzania atakuwa na shughuli ya kumuingizia kipato

    Bi mkubwa anaendelea kutupangilia. Mimi nipo siti ya mbele kupata hizo fursa za kupata vipato ==================== Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya chama hicho ikipata tena ridhaa ya kuongoza dola...
  2. R

    GE2025 Rais Samia: Oktoba 29 Tokeni kapigeni kura hakuna jambo baya litatokea

    Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni leo Septemba 18, 2025 katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar amesema kuwa nchi yetu Tanzania ipo vizuri kwenye masuala ya Ulinzi na Usalama na kuwataka wananchi kuondoa hofu...
  3. GE2025 Rais Samia: Nimekuza Diplomasia, tunatembea kifua mbele. Ukitaja Tanzania wanakuuliza Mama Samia?

    Mgombea wa nafasi ya Rais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni unaofanyika tarehe 17 Septemba, 2025, Kusini Unguja, Zanzibar amesema, "Watanzania huko duniani tunatembea kifua mbele, ukitaja Tanzania mtu anakuuliza ‘Mama Samia..?'
  4. GE2025 Rais Samia: Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimejipanga, hutaki ‘Kishindo’ kapige kura urudi nyumbani

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Onyo kwa wale wanaotaka kuvuruga Amani siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 na kwamba "Vyombo vya Ulinzi na Usalama JTM na vya Zanzibar vimejipanga vyema kulina nchi yetu, sasa hutaki 'Kishindo' kapige Kura rudi nyumbani tulia, tumejipanga vyema..."
  5. GE2025 Rais Samia: Tutaanzisha kituo cha kuenzi tunu za Muungano wetu

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wakazi wa Mkoa wa Kusini Unguja kuwa endapo watampa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itajenga Kituo cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa ajili ya kuenzi na kulinda...
  6. R

    GE2025 Paresso: Samia ameonesha jitihada kubwa za kupambana na maadui wakubwa wa nchi hii ambao ni maradhi, ujinga na umasikini

    Kuna wakati hawa Wanasiasa wanatakiwa kuchuja maneno kuhusu mambo wanayoyanadi kwa wananchi kabla ya kukurupuka na kuropoka vitu ambavyo kiuhalisia wananchi tunajua na tunaviona Kama ni umasikini ni tatizo kubwa kwenye familia na imeongezeka kwa awamu hii ya uongozi ambapo deni la Taifa pia...
  7. GE2025 Muhogo Mchungu: Msiniulize Sanaa, niulizeni kuhusu kampeni za Mama

    Mzee Muhogo Mchungu akataa kuhojiwa kuhusu mambo ya Sanaa badala yake aulizwe kuhusu kampeni za Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan
  8. GE2025 Katibu wa Madereva Bodaboda: Sisi tuna amani chini ya uongozi wa Dkt. Samia, ndiyo maana mambo yanaenda

    Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda Manyoni atoa tamko la kutunza Amani na Ushiriki Uchaguzi Mkuu 2025 Katibu wa Umoja wa Madereva Bodaboda (Maafisa Usafirishaji) Wilaya ya Manyoni, Edward, amesisitiza kuwa madereva wa pikipiki wilayani humo wamejipanga kuhakikisha kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka...
  9. GE2025 Samia: Huwezi sikia mtu wa CCM akisema tukiwashe kwa fujo, wakisema tukiwashe ni King'amuzi cha Azam

    Mgombea urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akiendelea na kampeni Kasulu Mjini, Kigoma leo Septemba 13, 2025), amesema chama chake hakina utamaduni wa vurugu. "Humsikii Mtu kwenye Chma Cha Mapinduzi (CCM), anasema tukiwashe, wakisema tukiwashe ni kile King'amuzi cha Azam, lakini sio tukiwashe...
  10. GE2025 Samia: CCM tunataka ushindi wa heshima tuwazibe midomo wale wengine

    Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewaomba wananchi na wanachama wa CCM kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la upigaji wa kura Oktoba 29, 2025 ili kukiwezesha chama hicho kupata ushindi wa heshima na wa kishindo. Dkt...
  11. GE2025 Elibariki Kingu: Kuna Watu wanakuzodoa Mama, eti CCM imekosea kukuteua, nampa Polepole taarifa tulisema tunakuhitaji

    Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu amefunguka kuwa "Kuna watu wanakuzodoa, eti CCM imekosea kukuteua, nampa Polepole taarifa CCM, tulisema tunakuhitaji"
  12. GE2025 Samia: Nitawaboreshea usikivu wa TBC Taifa hapa Singida ili iweze kusikika vizuri

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan akiendelea na Kampeni ya Uchaguzi Manyoni Mkoani Singida leo tarehe 09 Septemba, 2025 ameahidi kuboresha usikivu wa Redio ya Taifa (TBC Taifa) ili wananchi waweze kupata habari zenye ukweli na uhakika.
  13. GE2025 Iringa: Wazee wa Mila wadai Rais Samia anapendwa kwa asilimia 199

    Wazee wa Mila katika eneo la Kalenga Mkoani Iringa wameeleza matumaini makubwa waliyonayo kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwamba tayari wamemkubali kuendelea na wadhifa wake baada ya Uchaguzi Mkuu. Pia, wamewaasa vijana kuweka imani kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ili waendelee kunufaika na...
  14. GE2025 Kasesela: Kama unataka kumnyima kura Rais Samia, usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu

    Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amesema kama una mpango wa kumnyima Kura Mgombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani basi usiende hospitali, usipite kwenye barabara zetu
  15. GE2025 Samia awajibu wanaodai CCM inatumia nguvu kubwa kwenye kampeni

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho. Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
  16. GE2025 Kijo Bisimba: Ahoji Mgombea wa CCM alipewa vipi fomu, kesi ya Lissu niya kisiasa anasema kwa sasa hakuna upinzani

    Mwanaharakati mkongwe wa haki za binadamu nchini Tanzania Bi. Kijo Bisimba amehoji namna mgombea wa CCM alivyopewa fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho huku akibainisha kwa sasa nchini hakuna vyama vya upinzani kwani pamoja na ukongwe wake kuna vyama vya siasa anavisikia kwa mara ya kwanza...
  17. N

    GE2025 Dkt Samia Suluhu Hassan Mkoani Njombe kwenye Kampeni za uchaguzi

    RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025 ameendelea kuonesha uongozi thabiti na dira ya maendeleo alipohutubia maelfu ya wananchi wa Makambako...
  18. Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  19. GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Agosti 27, 2025 Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu...
  20. K

    Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…