samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  2. D

    Nachoka Mimi; ujinga wa kishirikina umeenea lakini wasomi wa 'piechi di' wapo na serikali ya Samia tu.

    Na kale kambaumbau kao kule duniani kako bize na 'vimbavu' vyake eti "hizo ni drama tu kupotezea kupanda mafuta". Hivi wapi hakujapanda mafuta?!!!! Nyambaaaf
  3. Samia atosha tukutane2030

    Majambazi hawana nafasi tena ndani ya majiji ya Tanzania. Samia kaweka vyuma vya kutosha kila kwenye makutano

    Kama wewe jambazi tafuta kazi nyingine tu. Kwa mfano, hapa Dar es salaam ukiifanya ujambazi huna pa kutokea sasa. Dk 5 tu watu wanakuzimisha na vyuma. Halafu hivi vyuma vingi vinatengenezwa hapa hapa. Ingawa wajinga bado wanadanganywa mara Abdul kaleta container la silaha, mara upuuzi gani...
  4. L

    Rais Samia Akutana Na Wagombea Urais Wa Vyama Zaidi Ya 16 Uchaguzi Uliopita. Anyoosha Na kukunjua Mkono Wa Maridhiano. Wakoshwa na uchapakazi wake.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe na aliyepewa kibali na Mungu kuongoza Taifa letu. Anaendelea kuonyesha kuwa yupo kwa ajili ya ustawi...
  5. H

    Hongera Dkt Samia kwa tuzo hii

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imemtunuku tuzo ya heshima ya udaktari bingwa bobezi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwa ni kutambua na kuthamini mchango wake mkubwa katika mageuzi ya huduma za Afya Nchini. Tuzo hiyo imetolewa kwenye hafla iliyowakutanisha...
  6. M

    Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  7. R

    Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  8. figganigga

    Eti Samia anataka kuacha tabasamu kwa Watanzania. Kwani anaenda wapi?

    Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi? Mbona kama kakata tamaa? Je anataka kutukimbia watanzania? Anataka kwenda wapi?
  9. figganigga

    Samia Suluhu Hassan ndo kielelezo cha Upendo wa Wazanzibari kwa Watanganyika

    Salaam Wakuu, Mnavyomuona Samia Suluhu wa huko Tunguu, ndivyo walivyo Wazanzibari na Waislam walio wengi.l hasa Wanawake. Upendo Samia anaoonesha kwa Watanganyika ndo upendo Wazanzibari hasa Waislam walio nao kwa Watanganyika na Wakristo. Samia ndo kielelezo cha upendo wa Wazanzibari...
  10. M

    Mufti ataka Rais Samia aombewe

    Mufti ataka Rais Samia aombewe
  11. L

    Hii ndio maana ya mama mwenye huruma na upendo. Rais Samia awagusa na kuwapa tabasamu watoto yatima na wenye mahitaji maalumu mkoani Songwe

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Anafanya Kazi ya kitume ,kazi yenye Thawabu mbele za Mwenyezi Mungu,Kazi impendezayo Mwenyezi Mungu,Kazi yenye Kugusa Maisha ya Watu ,kazi yenye kuleta tabasamu na furaha kwa watu. Kwa hakika Rais Samia ni Mfariji wa Taifa . Ni kiongozi mwenye Moyo...
  12. Idugunde

    Je, rais mstaafu Kikwete aombe radhi kwa kumbeba kwa mbelelo Rais Samia ambae WanaCCM 80% hawamkubali kama chaguo lao?

    Unaweza ukadhania ni utani au mdhaha. Lakini ukweli ni kwamba wanaCCM wengi hawamkubali Rais Samia kama kiongozi anayefaa kuwa rais wa taifa hili. Huu ukweli kutowekwa wazi ndio tatizo kwenye taifa hili. Na ni Matatizo ambayo yanaligharimu taifa letu. Sababu wanaCCM wanatamka hadharani Kikwete...
  13. The Father of All

    Asiyekuwepo na lake halipo Samia kukwepa kumbukizi la Magufuli

    Kwa namna hayati John Pombe Magufuli alivyomtengeneza Samia Suluhu Hassan kIsiasa, wengi walidhani angekuwa mstari wa mbele kuhudhuria kumbukumbu yake. Kweli, binadamu tu viumbe wenye kusahau kirahisi na haraka. Kwanini Samia hakuhudhuria kumbukumbu ya mwendazake? Ama kweli, asiyekuwepo na...
  14. instinct desire

    Tunaiomba Serikali yetu sikivu ya Samia Suluhu Hassan ianze kuitambua shahada ya Pili kimuundo na kimasilahi kwa walimu

    Sisi watumishi wa umma tunatambua mchango mkubwa wa Mh Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwetu sisi tangu alipoingia madarakani aliongeza mishahara na kupandisha madaraja yaliyokuwa yamesimama kwa maelfu ya watumishi wa umma. Leo Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, tunakuja kwa unyenyekevu mkubwa...
  15. R

    Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  16. S

    Wanaomlilia Magufuli na kumchukia Samia, ni wanafiki wakubwa

    Naomba niweke wazi Simpendi Samia kama ambavyo sikumpenda Magufuli ila nschukizwa ns unafiki wa watu wanaomchukia Samia huku wakimlilia Magufuli. Kiongozi yoyote alie tayari kutesa watu, kuziba watu midomo, kudhibiti vyombo vya habari, kufunga jela wapinzani, kuonea watu, n..k kwangu hafai...
  17. M

    Je, ni Dkt. Samia ndio haliamini Jeshi au kuna hali ya hatari ndani ya Jeshi?

    Kuna jambo inabidi tulifatilie. Samia anafuatilia mienendo ya Jeshi au Ni suala la kukaa mguu sawa? Wafanyakazi wa ofisi ya Rais wanaimarisha ulinzi wa Mkunda?
  18. ngara23

    Akitoka Samia anaingia Mchengerwa 2030

    Hili liko wazi Samia Mzanzibar akitoka zamu ya Rais kutoka Tanganyika anaingia mwamba kabisa Mchengerwa Mohamed Mchengerwa anatoka kwenye ukoo wa wanasiasa kumbuka bibi yake ni Bibi Titi mwanaharakati na muasisi wa uhuru wa Tanganyika. Mchengerwa amehudumu kama mbunge wa Rufiji na Waziri...
  19. M

    Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  20. K

    Nuru ya Mama Samia haitaweza kung'ara tena bila kubadilisha vitu hivi!

    1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia 2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika 3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
Back
Top Bottom