salum mwalimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Samahani JF, Askofu Bagonza hapa ana maana gani? Nini kimetokea kwa Salum Mwalimu?

    Picha inaeleza swali langu. === WAJALUO MMESHINDIKANA Wajaluo hawajui Kwaresima wala Ramadhani. Wanasema, “Rafiki yako anayekusindikiza kwenda kwa mchepuko wako, usimweke karibu na mkeo”. Siendelei, tuna msiba. Askofu Bagonza (Facebook) - Februari 20
  2. Inside10

    Salum Mwalimu amuoa, Moza Ally aliyekuwa mgombea ubunge CHAUMMA Kinondoni

    Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Salum Mwalim amefunga ndoa na kada wa chama hicho Moza Ally. Taarifa kutoka chanzo kinachoaminika kimetueleza kuwa Salum na Moza walifunga ndoa Ijumaa ya Februari 13, 2026 japokuwa picha zimeachiwa leo mtandaoni. Kupitia ukurasa wake wa...
  3. R

    GE2025 Salum Mwalimu: Naiona hatari ya kazi ya bodaboda kuzidiwa na itakuwa si msaada tena

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema kuwa licha ya pikipiki za biashara maarufu kama bodaboda kuwa mkombozi wa ajira kwa vijana wengi nchini, ipo hatari kubwa sekta hiyo kupoteza maana kama suluhisho la ajira endapo serikali haitatafuta mbadala wa kudumu...
  4. PAYE

    GE2025 Salum Mwalimu: Sitataka wabunge machawa wa kunisifia

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema akiingia Ikulu atarejesha hadhi ya Bunge madhubuti lenye hoja, usimamizi na uwajibishaji wa serikali, badala ya kuwa la kusifia. Amesema hataki kuona bunge la “machawa” wanaomsifia rais muda wote badala ya kuikosoa...
  5. McLaren

    GE2025 Salum Mwalim atoa ahadi ya kukataza kupiga marufuku magulio akishinda Urais

    Mgombea Urais wa Chama Cha Ukombozi wa Umma, Salum Mwalim amesema akipewa ridhaa ya kuongoza Tanzania ataboresha miundombinu ya masoko ya vyakula Dar es Salaam na kujenga masoko ya kisasa ili kusaidia wafanyabiashara kukuza mitaji yao Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  6. DuaZaMama

    GE2025 Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha

    Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha, huu ni mwaka wetu tujitokeze kupiga kura ya ukombozi." Ameyasema hayo akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za kuomba ridhaa ya kuaminiwa kuwa rais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu mwezi huu. Pia Soma: Salum...
  7. Mafyangula

    GE2025 Salum Mwalimu alivyowasili Mbagala kunadi sera, alijiona kama kashakuwa rais wa Tanzania

    Nimeitazama hii video ya Mgombe urais kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu nikabaki kucheka fulani hivi Maana jamaa amejiona tayari ameshakuwa Rais, yani ulinzi mwingi bwebwe kibao, Kweli madaraka matamu na hivi wanatembelea gari za bure basi balaa tupu!
  8. Waufukweni

    GE2025 Vijana Mlimba wasukuma gari la mgombea urais wa CHAUMMA, Salum Mwalim

    Vijana wa Jimbo la Mlimba, mkoani Morogoro, wameonyesha mshikamano mkubwa kwa kumsukuma gari la Mgombea Urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalim, mara baada ya kumaliza kunadi sera za chama hicho. Akizungumza na vijana hao akiwa njiani kuelekea Ifakara kuendelea na...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mwalimu: Morogoro ni mkoa wa kimkakati kwa ajili ya viwanda kwa sababu uko katikati ya Bandari ya Dar na Tanga

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewataka wananchi wa Mkoa wa Morogoro kujiandaa kunufaika na neema ya sera ya viwanda, kikiahidi kurejesha hadhi ya mkoa huo kuwa kitovu cha viwanda kama ilivyokuwa enzi za Mwalimu Julius Nyerere. “Morogoro ni mkoa wa kimkakati kwa ajili ya viwanda kwa...
  10. DuaZaMama

    GE2025 Gari la mgombea urais CHAUMMA Salum Mwalimu lapigwa jiwe Mafinga

    Gari analotumia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha CHAUMMA Salum Mwalim, limepigwa jiwe kwenye kioo cha nyuma na Mtu asiyejulikana muda mfupi baada ya kumshusha Mgombea huyo Hotelini Mafinga, Mkoani Iringa. Mkuu wa msafara huo, John Mrema amesema tukio hilo...
  11. McLaren

    GE2025 Salum Mwalimu: Nikishinda barabara ya Uyole tutaijenga

    Mgombea urais kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Salum Mwalimu ameahidi endapo atachaguliwa kuwa Rais katika uchaguzi wa Oktoba 29, atafanya uboreshaji mkubwa wa Uyole, mkoani Mbeya, kwa kujenga kituo cha kimataifa kitakachokuwa lango la biashara kwa nchi za Kanda ya Kusini mwa...
  12. Just Pray

    GE2025 Salum Mwalimu: Nikipewa nchi, napiga marufuku kampuni zote zinazoleta kausha damu kwa wananchi

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema iwapo atachaguliwa kuingia madarakani atapiga marufuku kampuni zote zinazowaingiza wananchi kwenye mikopo ya kinyonyaji maarufu kama kausha damu. Mwalimu amesema haiwezekani taifa kuendelea kuendesha uchumi wake...
  13. Mafyangula

    GE2025 Mwalimu: Tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao watakuwa watetezi wetu

    "Tusifanye makosa hayo, kwa sababu tukifanya hivyo tutakuwa tumewaambia CCM watambe lakini pia ukiachilia nafasi ya urais, tutaacha bunge la wapiga makofi bungeni na hakutokuwa mtu wa kuwatetea wananchi," amesema Mwalimu. "Tusifanye hayo makosa, tukapige kura tuchague viongozi wa upinzani ambao...
  14. DuaZaMama

    GE2025 Salum Mwalimu aahidi 'Flyovers' Tunduma

    Mgombea urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, ameahidi kujenga barabara za juu (flyovers) katika mji wa Tunduma ili kupunguza msongamano wa malori katika eneo hilo la mpakani. Mwalimu alitoa ahadi hiyo leo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Tunduma, kabla ya kuelekea...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Salum Mwalimu, amempa 'maua yake' Aida Kenani, Amepambana sana jimbo la Nkasi Kaskazini

    Haaa! Mwalimu umeyatoa ya moyoni kwa Aida, ila furshi huyu dada alijatihdi sana kuwatumikia wananchi wake wa Jimbo Nkasi Kaskazini na ukizangatia katika uchaguzi wa 2020 yeye ndiye alikuwa mgombea pekee aliyeshinda ubunge kutoka vyama vya upinzani Tanzania nzima. Anarekodi yake...
  16. McLaren

    GE2025 Salum Mwalimu: Vijana wenzangu najua mnavyohustle. Nipeni kura msela mwenzenu tukatusue

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Kata ya Guruka, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma, ameahidi kuwa serikali yake itaweka nguvu katika kupambana na umaskini kwa kuanzisha viwanda vya kuongeza thamani ya...
  17. DuaZaMama

    GE2025 Salum Mwalimu: Nitamwaga Matrekta mtaacha kazi ya Boda Boda

    Sera za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Salum Mwalim Akiwa Nyakanazi, Biharamulo mkoani Kagera, wakati akielekea mkoani Kigoma, ameahidi mageuzi makubwa katika sekta ya kilimo. Amesema, endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha...
  18. DuaZaMama

    GE2025 Salum Mwalimu: CHAUMMA hakuna atakayenyanyaswa kwa sababu ya uraia

    Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kimewaahidi wananchi mkoani Kagera na maeneo mengine ya mipakani kuwa, kikipata ridhaa ya kuongoza dola, kitahakikisha hakuna raia anayebughudhiwa au kunyanyaswa kwa sababu ya uraia. Chama hicho kimesema kitaunda Serikali itakayothamini rasilimali watu kwa...
  19. R

    GE2025 Salum Mwalimu: Mpambano wa CCM na CHAUMMA ni Mustakabali wa Maisha yetu siyo Mchezo wa Simba na Yanga

    Mgombea Urais wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika eneo la Nyankumbu, mkoani Geita, Septemba 16, 2025 alisema Mpambano uliopo kati ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) uchaguzi wa mwaka huu...
  20. Waufukweni

    GE2025 Salum Mwalimu: Endapo nitaingia madarakani, nitafuata nyayo za Magufuli, nitarudisha heshima ya Pamba

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atafuata nyayo za Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa kusimamia maslahi ya wakulima kwa kuhakikisha zao la pamba linarejea kwenye heshima yake...
Back
Top Bottom