UTENGUZI
Kupitia kurasa Rasmi za Crown redio na Televisheni wamethibistisha kuwa Rais wa Crowm media ametengua uteuzi wa Kikeke kama kiongozi wa Kipindi cha " Kasri".
"Rais wa Crown Media Bw. Ali Salehe Kiba ametengua uteuzi wa Salim Kikeke kama Mtangazaji kiongozi wa kipindi cha Kasri kuanzia...
Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza leo Novemba 27, 2025 amerejelea Mkutano wa Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba na wahariri wa vyombo vya habari uliofanyika Novemba 25, 2025, mkutano uliowapa fursa waandishi wa habari kuuliza maswali...
Wanabodi
Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown Media azungumzia jinsi alivyoweza kufanya mahojiano mara mbili na Rais Samia, huku kuna foleni kubwa ya walioomba mahojiano.
https://youtu.be/NEsg2KU_-hc?si=UPUwi11CBZronl-w
Karibu
Paskali
Salim Kikeke ambaye ni mtia ya Ubunge jimbo la Moshi Vijijini imembidi kudangaya mahali alipozaliwa ili kushinda mioyo ya wajumbe. Huko nyuma wakati anahojiwa alisema kazaliwa mkoani Mbeya, hivi juzi akiwa mkoani Kilimanjaro wakati akijinadi akasema kuwa kazaliwa KCMC mkoani Kilimanjaro.
Mimi...
Kada wa ccm ndugu Salimu Kikeke ambaye pia ni muumini lialia wa dini ya pendwa ya mnyezi mungu (Islam) ameahidi kutanua WiGo wa soko la Nguruwe hapo Moshi vijijini,ikiwa atachaguliwa kuwa mbunge.
Swali langu kwenu ndugu zangu waisalmu , je hii ni sawaa kwa muislamu kuhanikiza biashara ya...
Mashallah! Kiukweli Salim Kikeke ni kama baraka ya Allah kwa wananchi. Yaani Allah huwa anamtuma mtu spesho kabisa kuwasaidia watu — na kwa sisi wa Moshi vijijini, Kikeke ametokea kuwa mkombozi hasa.
Huyu jamaa atatufungulia milango ya masoko ya nguruwe kule Zanzibar ambako soko bado liko wazi...
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa...
Huyu mtu, ni mgombea hewa,kwani hajui kiongozi hata mmoja ndani ya Jimbo aliloomba kutia nia,ila ameteuliwa.
Kuanzia shina,tawi, Kata na hata Jimbo,hafahamu mtu hata mmoja na hatujui kura atazipsta kutoka wapi.
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia rizki , kuwezesha kulipa kodi na...
Baada Ya Kutia Nia Salim Kikeke Ameanza Kupitia Spana Kwenye Mtandao Wa Twitter.
Kwenye Moja Kati ya Chapisho Lake Ameandika Kuwa ........................
Sometimes change has to be fought from within. Albert Einstein once said “Doing the same thing over and over again and expecting different...
Habari ya wote humu ndani kama
kichwa kinavojieleza hapo juu,salim kikeke ni moja ya watangazaji nguli wa mda mrefu wa masuala mbalimbali yanayohusu mambo mbali mbali kuhusu nchi yetu hata alipokuwa BBC.
Baada ya kutoka huko ughaibuni kikeke alikuja na kuendelea kazi yake ya utangazaji na...
Mwandishi wa habari mkongwe na mtangazaji Salim Kikeke amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Moshi Vijijini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa...
Hii ni sehemu sahihi ya kuwekeza, au ni upigaji mpya.
=================
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck kwa kutumia utafutaji wa maneno muhimu (Key word search) umejiridhisha kuwa video hiyo imepotoshwa kutoka kwenye video halisi ambayo ni sehemu ya matangazo mbashara ya kipindi cha...
Leo katika posti yake katika mtandao wa Instagram Salim Kikeke amesema akitoka kwenye majukumu yake nje ya nchi atakuja kugombea moja ya jimbo, licha ajaweka ni jimbo gani
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
Ni kuhusu alichokiandika mtangazaji Salim Kikeke katika mtandao wake wa Instagram (Insta story) ambapo ameandika ujumbe ufuatao.
"Nimeongea na Bi Mkubwa kwa simu Leo kwa urefu Sana akaniambia "Salim Mwanangu hii ni 'off record' lakini nasikia kinachosemwa mitandaoni. Nalifanyia kazi Jambo...
Kama ilivyo ada Waswalihi walisema kufa kufaana. Baada ya Mwendazake Mzee wa Macha ranga..(Mzangi zangi) Nafasi ipo wazi.. Watajwa hapo juu ndiyo walikuwa karibu naye kuka ribiana
Wasifu.. Je Kuna mmoja wao ataokota Dodo?? Let's wait....
TAREHE 2 MEI, 2025 | KIBAHA
Kwa heshima kubwa, Klabu ya Uzalendo Wilaya ya Kibaha ilipata fursa adhimu ya kukutana na kufanya mazungumzo na Mtangazaji Kinara Mstaafu wa BBC na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Crown Media, Ndugu Salim Kikeke.
Katika mazungumzo hayo ya kihistoria, Mwenyekiti wa Klabu...
Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema.
Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.