salary

  1. D

    JamiiForums Tanzania PRSS 1.1 Salary Scale

    Habari wakuu.Nimejaribu kutafuta hii scale salary ya PRSS 1.1 ila nimeshindwa kupata jibu kwenye thread zilizopita.Kwa anayejua tafadhali naomba anisaidie inaanzia ngapi.Natanguliza shukrani zangu.
  2. Sychbh

    JamiiForums Tanzania Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Back
Top Bottom