Tunasoma sakata la Jezi ya timu ya Taifa kama drama vile.
Makonda kama Waziri wa Michezo ana lake
Hamis Mwinjuma , aka mwana FA, Naibu Waziri Michezo naye ana lake
Ndumbaro, aliyekuwa Waziri wa Habari na Michezo 2023, naye ana lake.
Cha kushangaza ni kwa nini sakata jhili liko mbele ya umma...