saini

Saini (pronunciation ) is a caste of North India who were traditionally landowners (zamindars) and farmers. Sainis claim to be descendants of a king, Shurasena, as well as of Krishna and Porus, and to be related to the ancient Shoorsaini clan, noted in Puranic literature. The Saini community is given representation in government jobs and educational institutes under Other Backward Class (OBC) category in states of Uttar Pradesh, Punjab, Haryana, Rajasthan and Madhya Pradesh. The 1901 census noted that people using the Shoorsaini name were by then found only in Punjab, Haryana, Jammu and Kashmir, Himachal Pradesh and Delhi. Mali Rajputs also claim themselves to be Sainis.As both a statutory agricultural tribe and a designated martial race during the British Raj era that followed the Indian Rebellion of 1857, Sainis had been chiefly engaged in both agriculture and military service since then until recent times. However, since the independence of India, Sainis have diversified into different trades and professions other than military and agriculture. Sainis are now also seen in increasing numbers as businessmen, lawyers, professors, civil servants, engineers, doctors and research scientists, etc.Sainis profess in both Hinduism and Sikhism. They have a national organisation called Saini Rajput Mahasabha located in Delhi, established in 1920.

View More On Wikipedia.org
  1. Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3

    Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja la simiyu (m 150) pamoja na barabara za maingilio yenye urefu wa kilometa 3.
  2. Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara za Mtili - Ifwagi (KM 14) na Wenda - Mgama (KK 19) Mkoani Iringa kwa Kiwango cha Lami

    MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe tarehe 20 Juni, 2023 ameshuhudia utiaji saini Mikataba ya Ujenzi wa Barabara...
  3. Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  4. Zaidi ya KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F. Serikali yasema hazitalipiwa Tozo

    Kwa mara ya Kwanza baada ya Uhuru Tanzania imepata Rais Samia apewe maua yake. Serikali ya Rais Samia imeandika Historia nyingine ya ubunifu kwa kusaini kuanza ujenzi wa barabara za kuu za lami kwenye mikoa 13 kwa pamoja zenye jumla ya urefu wa KM 2035 kwa mtindo wa EPC+ F (Engineering...
  5. Utiaji Saini Mikataba ya Miradi ya Maji Mkoa wa Dodoma

    WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI ASHUHUDIA UTIAJI SAINI MIKATABA YA MIRADI YA MAJI KWA HALMASHAURI ZA MKOA WA DODOMA Waziri wa Uwekezaji Viwanda na Biashara (Mb) Mh Dkt Ashatu Kijaji tarehe 12 Juni, 2023 alishuhudia tukio la utiaji saini Mikataba ya Miradi ya Maji katika Mkoa wa Dodoma. Tukio hili la...
  6. Hata hili za saini lako waheshimiwa wabunge hamkuliona?

    Mkataba wa Mbarawa umebainika kuwepo dosari kubwa za saini kwa pande zote mbili Tanzania na Dubai. Swali je waheshimiwa wabunge hili nalo hamkufanikiwa kuliona?
  7. S

    Tuhuma za kughushiwa saini mkataba wa kuuza bandari mbona hazijadiliwi?

    KUNA tuhuma nzito zinazoendelea kwenye umma kuhusiana na baadhi ya saini za mkataba wa Tanzania na Dubai kuwa zimeghushiwa...na inaweza kutuletea shida baadae upande mmoja ukaja kusema hautambui mkataba huo. Hizi tuhuma kwanini wengi hawazingumzii zaidi wanabishana kuhusu kauli ya Mbowe...
  8. Okoa Tanzania Bara: Saini Petition ya kuzuia ubinafsishwaji wa bandari zote za Tanzania Bara

    Hili jambo halijakaa sawa katika angle zote, na limelenga sehemu nyeti ambayo inaweza kudhoofisha nchi yetu hasa Tanzania bara na kufungua ukurasa mpya wa ukoloni mambo leo. Saini petition kwenye website ya change kupaza sauti dhidi ya uhalifu huu uliopangwa kutokea mbele ya macho yetu...
  9. UZEMBE; Kwa nini Makame Mbarawa alikosea sehemu ya kutia saini kwenye makubaliano ya Mkataba wa bandari? Aliusoma kweli?

    Inanipa kuamini ya kwamba huyu Makame Mbarawa hakusoma au alilazimishwa au alikuwa amechoka na ya kwamba ni uzembe tu na mazoea ya wanaojiitaa wasomi wetu wakati wankusaini mikataba ambayo unaweza kuliingiza taifa pabaya. Tizama screenshot ifuatayo uone uzembe mkubwa wakati wa kutia saini...
  10. Rais Samia ashiriki Utiaji saini Mikataba ya Kupeleka Huduma ya Mawasiliano Vijijini - JKCC, Dodoma, Mei 13, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla ya utiaji saini Mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya Simu katika kata 763 nchini katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, tarehe 13 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  11. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa: Baada ya ujenzi Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga utakuwa wa kisasa

    Salaam, Hatimaye ile ndoto ya siku nyingi ya Uwanja wa ndege sumbawanga uliokuwa hautumiki imetimia. Leo Serikali inayoongozwa na rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Samia Suluhu Hassan imetia saini kuanza kwa ujenzi wa Uwanja. ILIKUWAJE? Awamu ya kwanza ya Upembuzi yakinifu na...
  12. Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 na Kivuko cha Buyagu-Mbalika. Aprili 23, 2023

    Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na maoni ya Rais Dkt. Samia ni kuwa ili Tanzania iendelee moja ya kitu muhimu ni kujenga na kuboresha...
  13. Kampuni ya Tanzania yasaini mkataba wa ugavi wa madini na Tesla ya Elon Musk

    Wakati maombi yake ya leseni ya kutoa huduma za intaneti kupitia kampuni yake ya Starlink yakiwa yamewekewa kigingi na masharti ya serikali, Bilionea Mmarekani Elon Musk amepenya kwenye soko la Tanzania ambapo atanunua malighafi ya kutengenezea betri za magari ya umeme. Taarifa iliyotolewa kwa...
  14. Je, mikataba inayosaini Serikali inapitia bungeni?

    Habari za saa members wote. Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. SWALI: 1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni kujadiliwa ? i, Kama jibu ni hapana, kwa nini haipiti katika bunge kujadiliwa ? ii,Je, sheria za nchi...
  15. Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  16. Tanzania na kampuni ya UAE zatia saini Mkataba wa Makubaliano (MoU) wa mafuta kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta

    Serikali jana ilisaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na kampuni ya Falme za Kiarabu (UAE) kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya kupokea na kuhifadhi mafuta ya petroli. Mkataba huo ulitiwa saini na Wizara ya Nishati na wawakilishi wa Shirika la Emirates National Oil Company Group (ENOC) lenye...
  17. Tanzania na Qatar watia saini hati za makubaliano kuimarisha biashara na uwekezaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Chemba ya Biashara ya Tanzania, Zanzibar na Chemba ya Biashara ya Qatar. Kwa upande wa Chemba ya Biashara ya Tanzania, mkataba ulisainiwa na Rais wa Chemba hiyo Paul...
  18. Rais Samia ashiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki hafla utiaji saini Mkataba wa Usimamiaji wa Shughuli za Lishe leo tarehe 30 Septemba, katika Jengo la Kitega Uchumi jijini Dodoma Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya Lishe bora ni msingi wa afya na uchumi wa mtu mmoja, familia...
  19. Noti yako ya kwanza kutumia ilikuwa na saini ya Gavana yupi?

    Wakati unaanza kupata ufahamu wa kujua noti za Tanzania na kuzitumia, zilikuwa na saini ya gavana yupi?
  20. Tanzania imetia saini fomu ya kujiunga na muungano wa Chakula Shuleni

    Naibu Waziri Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga (Mb) amesema utoaji wa chakula na lishe kwa wanafunzi wakiwa shule ni suala muhimu kwa kuwa upo uhusiano mkubwa kati ya afya ya mwanafunzi na maendeleo yake kitaaluma. Mhe. Kipanga amesema hayo jijini Dodoma katika hafla ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…