saidi lugumi

Saidi Lugumi
Who is Saidi Lugumi?

Said Lugumi (Saidi Hamad Lugumi) was born in Magu, Mwanza Tanzania in 1972. He was born from Christian parents but later converted to Islam. He was never educated beyond Tanzania’s Primary School System which is a 7 years elementary education.

As a young man he grew up as a shoeshiner in Mwanza and later made his way to Dar es Salaam (Tanzania’s main commercial capital) in early 1990s. In Dar es Salaam, Said Lugumi lived in a couple of third class suburbs including Mwananyala area going on with his earlier “profession” (shoe shinning).

A lucky man?

Through lucky, Said Lugumi met Said Mwema’s daughter and the two fell in love and eventually married. With influential inlaws Said Lugumi was led to establish Lugumi Enterprises initially dealing with corporate printing and fumigation and later diversified to forensics and ICT. Pictured, Air Tanzania House Dar es Salaam city centre where MESSRS Lugumi offices are located.

Said Lugumi has also been rumoured to take part in drug trafficking allegations that are putting him in close scrutiny by the US Department of State and other international law enforcement agencies. In Dar es Salaam he’s known for his lavish lifestyle, sexual scandals with hundreds of women among other controversies. Pictured, company officials donating equipment to schools in their struggle in CSR. A new strategy by another MESSRS Lugumi subsidiary RAN IT to harness new markets.
  1. Carlos The Jackal

    DOKEZO Kwa Lugumi na Miss Rwanda 2016, Dola isiruhusu mahusiano ya Lugumi na Viongozi waandamizi nchini na asipewe kazi yoyote ndani ya Majeshi!

    Unaweza kushangaa hizi kampeni zote za Lugumi akimwaga Pesa, mara watoto Yatima n.k zina lengo gan na kwanini nguvu kubwa inatumika kumtakatisha !!. Rais Paul Kagame, ni Rais alojaliwa kua na Taasisi ya kijasusi ilofanikiwa Hapa Africa na Duniani, na Huenda baadhi ya Oparesheni za Rwanda...
  2. Common Folk

    Saidi Lugumi azama kwenye penzi zito na Miss Rwanda 2016, Jolly Mutesi

    --------------------------------------------- For days now, social media users have been wondering who is dating Miss Mutesi Jolly, since she is one of those famous girls whose personal life is difficult to know from social media as we are used to with many celebrities. Now, people are starting...
  3. Cute Wife

    DOKEZO Hili chapuo analopigiwa Lugumi ili kumsafisha linatia shaka. Mamlaka zisichukulie kama jambo la kawaida!

    Wakuu, Kama mmeona sasa hivi karibu kila siku Lugumi yuko kwenye media, mara katoa msaada kwa watoto yatima, mara anajengea yatima nyumba, mara kaalika watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu kufanya dua, mara sijui kaenda kulisha wapi, yaani ni heka heka mtindo mmoja. Na Millard kama kawa...
  4. figganigga

    Vyombo vya Habari Tanzania vyawekwa Mfukoni mwa Lugumi. Taarifa zake za Ufisadi zaondolewa Mitandaoni

    Salaam Wakuu, Tanzania tuna safari ndefu sana. Tulitegemea Vyombo vyetu vya Habari na hizi online TV wawe mbele kwa uzalendo kwa kutetea Nchi. Lakini wanatumikia Mafisadi. Nimetafuta Video za Ufisadi wa Lugumi, zote zimeondolewa Mitandaoni. Ni aibu kwa TEF, na MISA-TAN na Washika dau waao...
  5. Mr Why

    Asiyeunga mkono juhudi za tajiri Saidi Lugumi za kuwasaidia watoto yatima hana tofauti na muuaji wa watoto yatima

    Tajiri Said Lugumi amewekeza Mabillion ya fedha kusaidia watoto yatima, asiyeunga mkono juhudi zake hana tofauti na muuwaji wa watoto yatima Tajiti huyu amewezeka fedha nyingi kujenga vituo vya kulelea watoto yatima lakini haishii hapo tu anaenda mbali kwa kuhakikisha watoto hao wanapata elimu...
  6. Cute Wife

    Muda wa kujisafisha na Ufisadi: Lugumi kuwajengea maghorofa sita watoto yatima Dar

    Wakuu, Bilionea Saidi Lugumi amesema kwa sasa kuna watoto yatima zaidi ya 800 kutoka maeneo tofauti ya jiji la Dar es Salaam ambao anawahudumia kwa kila kitu ikiwemo chakula, mavazi, malazi, elimu, afya nk, na hiyo inatokana na wito alionao kutoka kwa Mwenyezi Mungu na si vinginevyo. Lugumi...
  7. Kusini pride

    Nimependa majibu ya Lugumi, kumbe jamaa ni darasa la saba tu. Je, Hayati Magufuli alikuwa na personal conflict naye?

    Wakuu ama hakika nimeipenda interview ya Millard Ayo na Saidi Lugumi na anasema yeye hajawahi kumtapeli mtu, hajawahi kumfitini mtu, hawajahi kumdhulumu na anaamini pesa alizonazo sio za kwake na kingine eti jamaa ameishia darasa la saba nimeshangaa ujanja ujanja ya huyu jamaa duu kweli ujanja...
  8. B

    Saidi Lugumi aita watoto 700+ nyumbani kwake kufanya ibada, kula, kunywa na kucheza pamoja kwa siku nzima

    Mfanyabiashara Saidi Lugumi ( @lugumisaidi ) hapo jana November 23 ameendeleza utamaduni wake wa kusaidia Watu wenye mahitaji kwa kujumuika na Watoto yatima wa Vituo vitano nyumbani kwake Masaki Dar es salaam ambapo awamu hii amewakusanya zaidi ya Watoto 700 na kufanya ibada, kula, kunywa na...
  9. Huihui2

    Saidi Lugumi kuringishia Magari yake, Ni Ulimbukeni au Utajiri?

    Kuna clip inatembea kwenye magroup ya WhatsApp. Anaonekana Said Lugumi akimkabidhi hela Chief Godlove na kumuonyesha garage ya magari ya kisasa ambayo Lugumi anamiliki kama G-Wagon, Bentley etc. Huyu mtu ali TREND sana wakati Magufuli alitaka kuuza nyumba zake kwa sababu ya kutomaliza zabuni ya...
  10. britanicca

    Lugola: Tumegundua Lugumi hakuwa na kosa, ila Serikali ndio ilikuwa na matatizo

    Kayasema hayo kwenye video akihojiwa Kuhusu Tuhuma Juu ya Lugumi, na kusema kwamba waligundua kwamba Lugumi hakuwa na kosa ila serikali ndo ilikuwa na Matatizo juu ya suala ilo, Ni kuhusu kufunga alama za utambuzi wa vidole amesema kwamba Lugumi alijitetea na akaona kweli utetezi wake uko...
  11. Donatila

    Lugumi anaidai serikali, mnada wa mali zake unaweza usifanyike

    NYUMBA za mfanyabiashara Saidi Lugumi zilizotangazwa kupigwa mnada na kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart huenda zisiuzwe kwa sababu mfanyabiashara huyo naye anadaiwa kuidai serikali, Raia Mwema limeambiwa. Hivi karibuni, Yono ilitangaza kuuza nyumba tatu za Lugumi zilizopo jijini Dar es...
  12. P

    Mali za Lugumi zilizopo Mbweni na Upanga kupigwa mnada na YONO, anadaiwa na kodi na TRA

    Mytake: Magufuli endelea kunyosha hawa mafisadi. Wananchi wote tuko nyuma yako ====== Kampuni ya Lugumi Enterprises Ltd iliyotajwa katika sakata la zabuni ya Sh34 bilioni ya kuweka mashine za kielektroniki za kuchukua alama za vidole ya Jeshi la Polisi, iko hatarini kupoteza mali zake...
  13. King Kong III

    Mali za Said Lugumi zakamatwa na TRA kwa kudaiwa Kodi ya Sh. Bilioni 14

    Umofia Kwenu Wana JF, Kampuni ya Yono Kupitia TRA yamekamata majumba matatu ya Lugumi yaliyoko Ndege Beach Mbweni kwa kudaiwa kodi ya zaidi ya Bilioni 14. Nawasilisha kutoka MINJINGU. ======= Kampuni ya udalali ya Yono, imefanikiwa kukamata mali za wafanyabiashara wanaodaiwa kodi ya...
  14. BAK

    Huyu ni Lugumi tena? Kwanini asitajwe hadharani?

    Magufuli afichua ufisadi wa bil. 60/- Jeshi la Polisi WAKATI sakata la mkataba wa Sh. bilioni 37 kati ya polisi na Kampuni ya Lugumi Enterprises wa zabuni ya kufunga vifaa vya kutambua alama za vidole likiwa limeanza kupoa, Rais John Magufuli, amenusa ufisadi mwingine kwenye jeshi hilo wa...
  15. Mwanahabari Huru

    Kitwanga atoa ufafanuzi wa suala la Lugumi na uhusiano wake kuhusu kutumbuliwa kwake

    CHARLES Kitwanga, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amesema kuwa, hajutii ‘kutumbuliwa’ na Rais John Magufuli, anaandika Moses Mseti. Ametoa kauli hiyo wikiendi iliyopita jimboni kwake Misungwi jijini Mwanza ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kung’olewa kwenye nafasi hiyo...
  16. TataMadiba

    Jeshi la Polisi lapewa siku 90 kuhakikisha mitambo ya LUGUMI inafanya kazi vituo vyote

    Ni baada ya Kamati ya Bunge iliyopewa kazi ya kufuatilia Sakata la Lugumi kuthibitisha kuwa vifaa mashine hizo zimefungwa katika vituo vyote. Agizo hilo limetolewa na Bunge kupitia kwa Naibu Spika, Dr. Tulia Ackson wakati akiahirisha Bunge la 11 leo mjini Dodoma ========== Habari wakuu, Leo...
  17. S

    Sinema sakata la LUGUMI: Mashine za utambuzi wa alama za vidole zaanza kufungwa kimya kimya

    Wakati sakata la kampuni ya LUGUMI Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita. Uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha kwamba juzi mashine hizo zilifungwa katika vituo vya polisi vya wilaya za Mpwapwa...
  18. ally ngomanzito

    Kama Rais ni mtetezi wa wanyonge na mtumbuaji majipu maarufu, kwanini hajamtumbua Said Lugumi?

    Baada ya kuwasilishwa Hotuba ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ndani ya Bunge la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, ilitakiwa kuwasilishwa Hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, ikitakiwa kuwasilishwa na Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani katika...
  19. barafu

    Mama wa Lugumi afariki kwa mshituko wa "tuhuma" za mwanae

    Breaking News : Mama wa Said Lugumu afariki dunia akiwa njiani kuja Dar kwa matubabu zaidi ,alipata tatizo la moyo baada ya tuhuma za kutisha za ufisadi kwa mwanae . Mr Lugumi kwa sasa yuko njiani kuelekea Mwanza kuandaa maazishi . Mungu amlaze marehemu mahali pema peponi , Amin! Akielezea...
  20. benzemah

    IGP Mangu: Lugumi ilitekeleza mkataba wake na Jeshi la Polisi

    Mkuu wa Jeshi la Polisi – Inspekta Jenerali (IGP), Ernest Mangu amekanusha madai ya wabunge na hata taarifa zinazosambaa mitandaoni na kwenye vyombo vya habari kuhusu kampuni ya Lugumi kushindwa kufunga mashine kwenye vituo vya Polisi 108 kama mkataba wake ulivyomtaka. Akizungumza mwishoni mwa...
Back
Top Bottom