sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Vipi hapa Rafiki yetu Msema Ukweli yuko sahihi au leo kakosea?

  2. JamiiForums Tanzania Kuna muda kukimbia pia ni USHAJAA. Chadema kukimbia uchaguzi ilifanya uamuzi sahihi

    Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa. If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita. Kwa hiki...
  3. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi huyu mwamba kuwapa watoto wake adhabu ya namna hii?

    😂
  4. JamiiForums Tanzania Marekani sio sehemu sahihi zaidi Kwa malezi

    Habari wakuu. Hapa kariakoo nina marafiki kadhaa ambao Kwa asilimia kubwa wameishi Marekani tabia/mwenendo yao inasikitisha na kutisha at the same time they have a Terrible/Awful/Terrifying/Horrible Behavior. Further more hata baadhi ya watoto wao wa huko nao ni vile vile mfano watoto wa Will...
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha kiwanda upoje, je ni sahihi mtu kuweka kiwanda katikati ya makazi ya watu ambacho kinazalisha environmental pollution?

    Leo , nipo kawe katika Siasa . Ila nimefika mtaa fulani nimekuta kuna kiwanda kipo na kina zaidi ya mwaka mmoja kinaleta environmental pollution. Je ni sahihi naomba watu wa mazingira tuwasiliane haraka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Polepole yuko Sahihi. TUME inataka kumpa Mwalimu kura kadhaa za Bure

    Kuna mpango wa ovyo wa Kumpa Salum Mwalimu kura kadhaa za kubumba huyu mtu ili wapate wabunge wa viti maalum kadhaa na wabunge wa ovyo ovyo Ndugu Watanzania sio Siri tena kwa namna yoyote Mpina angekuwa ana kura nyingi sana kuliko huyu mgombea wa Chauma na pengine angemzidi mgombea wao kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Jana pameandikwa uzi kuwa wanaume wengi siku hizi hatupigi mswaki wala kuoga, je ni sahihi pia kusema wadada nao wamekuwa wachafu kwenye maungio yao?

    Msnipige ban kabla sijaoga jamani..
  8. JamiiForums Tanzania Kulikoni mradi wa kilimo Cha mahindi wa Jakaya Kikwete wayeyuka?

    Huyu mzee si akalime Kama zamani? Hapa ni 2017 alijifanya analima kumbe anapanga mambo yake. Huyu mzee😀😀
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu yangu Acha kusema Repeat again what you said ! tulia na useme Repeat what you said ndiyo utakuwa sahihi na kimombo!

    Wadau Repeat again sio sawa kabisa jihadhari na lugha za wakubwa duniani jifunze taratibu na usijaribu kutafsiri native language yako kwenda kimombo sio sawa kabisa
  10. K

    JamiiForums Tanzania With reference ya hii message kutoka ccm,nadhani ndugu polepole yuko sahihi kuhusu integration ya mifumo ya ccm,nida na inec.

    Mimi ni mwanachama halali kabisa wa ccm,niliomba kubadilishiwa kadi yangu iwe katika mfumo mpya. Mwezi july walinitumia ujumbe kuwa kadi yangu iko tayari,wakaniambia niende na kadi zangu za nida na inec.ingawa bado sijaenda kuichukua ila niliwaza mara mbilimbili hizo kadi zangu wanazitaka za...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Sahihi kuwa na Pesa nyingi kwenye account ya Benki ikiwa ndugu zako ni hohehae?

    Habari ya asubuhi waungwana Dependency ratio inachukua nafasi kubwa sana Huku kwetu Afrika. Unaweza Kuta Mtu anapesa Ila kunae ndugu anaumwa, anasomesha mtoto wa marehemu shangazi yake, Anauguza Baba yake wa Kambo huku Pia ana mlea Mtoto wa Baba yake mdogo aliyepewa ujauzito na kijana...
  12. JamiiForums Tanzania Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi?

    Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service. Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
  13. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mwanaume kunyonywa chuchu wakati wa kufanya mapenzi?

    Wanajamvi salaam! Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sahihi wanamuzuki watu wazima kuimba wakiwa wamevaa mavazi ya wanafunzi wa shule?

    Nimewahi kumuona Zuchu anaimba akiwa kama na mavazi ya wanafunzi, pia nimewahi kuona Bangor la picha ya maigizo bongo muigizaji kavaa sketi kama mabinti wa shule. Hii ni sahihi
  15. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  16. JamiiForums Tanzania Jematangazo ya pombe katikati ya habari ni sahihi kimaadili?

    Ipo kero ambayo isiposemwa basi itaonekana ni utamaduni na desturi.Je uwepo wa matangazo ya pombe yanayowekwa na kuikatiza taarifa ni sawa kimaadili?
  17. U

    JamiiForums Tanzania CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua hili la plate no SSH, nimelikuta mahala sijapata jibu sahihi

    3D ilionekana namba isio rasmi tukaambiwa camera hazisomani na plate namba lakini leo hii kuelekea uchaguzi zimezagaa gari zenye namba za SSH, je hizi camera zinasomaje? Na pia huwezi kukuta zimesimamishwa na trafic, je haziwezi kutumiwa na watu waovu kufanya mambo yasio faa kwa plate za SSH??
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini hukumu ya kesi ya Mwana FA dhidi ya TIGO imeripotiwa kwa makosa?

    Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO. Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
  20. JamiiForums Tanzania Je? Umri wako ni sahihi na watu wanavyokudhania?

    Mm ni kijana wa 96 hivi lakini watu wengi huniona na kunikadiria mm kama kijana wa 80.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…