sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Je, hii ni hatua sahihi kwa mzazi kuichukua?

    Nauilza tu waungwana
  2. JamiiForums Tanzania Je, utaratibu wa Pre-Form one kuwa lazima kwa baadhi ya Shule Binafsi ni sahihi?

    Baadhi ya Wadau wa Elimu wameomba Mamlaka kudhibiti utaratibu huu, huku Wengine wakiona ni Sahihi. Kwa hoja hizi na nyingine nyingi jiunge nasi Twitter Spaces ya JamiiForums muda huu uweze kuwa sehemu ya mjadala huu. Bonyeza hapa kujiunga > JF SPACES Mkaka Smart Mimi nachukulia positive...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi baba mwenye nyumba naye kupangiwa zamu ya kupika na kuosha vyombo?

    Habari za Muda huu Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo. Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa anashinda Nyumbani na kufanya shughuli za kupika na kuosha vyombo achilia mbali kufua na kufagia uwanja. Je...
  4. JamiiForums Tanzania Saa 11 jioni siyo muda sahihi wa kuanza mechi ya mpira

    Nimefuatilia kuhusu mechi ya kesho ya Simba na Yanga, nimesikia mechi inatakiwa kuanza saa 11:00 jioni. Najua hata huko nyuma, kuna mechi kadhaa zilianza muda huo ila naona hili ni kosa la kiufundi. Mechi ikianza muda huo inamaanisha nusu ya mechi itakuwa wakati wa mwanga wa jua na nusu itakuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya neno mheshimiwa

    MATUMIZI YA NENO MHESHIMIWA (HONORABLE) Yahusu kuheshimisha nyadhifa na majukumu kwa majina ya nyadhifa na kazi zao. Waliosoma vyuo vikuu na kuchukia kozi ya rhetorical language watakuwa wamejifunza pia kipengere hiki na tungetazamia watumie jina mheshimiwa kwa usahihi na mahali pake. Pia...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli nyumba mnazoziita contemporary (Hidden roof ) zinapunguza gharama ya kupaua?

    Hidden roof houses ni Kama hizi hapa Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%. Endapo idadi ya mbao inapopungua basi pia gharama za misumari bati na misumari mbao hupungua kwa asilimia zile zile pia...
  7. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkopesha mke wa mtu hela?

    Yani usiku huu mtu anakutafuta kua umkopeshe, ukaribu uliopo sio sana, sasa ikitokea hajalipa au kusumbua namdai vipi? Kuna aliewahi fanya hivi?
  8. JamiiForums Tanzania Part 2: Ukikaribia Miaka 40 Utagundua Vingi mojawapo ni kuwa Zawadi kubwa Zaidi ni kujaaliwa Akili na kuijaza maarifa sahihi

    Moja ya misafara nilojifunza vitu vikubwa ndani ya muda mfupi , ni huu msafara niloamua kwenda kutalii Falme za kiarabu. Nilianza Sharjah, huko nikakuta ni magodown ya bidhaa used yamejaa. Nikaenda Abuu dhabi kule ni makazi ya matajiri wa kiarabu na ndiko balozi za nchi mbali mbali ziliko...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio Baba na mimi ndio Mama. Je, ni sahihi?

    Baba ni nini? Baba ni mzazi wa Kiume wa mtoto. Baba mzazi ni mzazi wa Kiume wa mtoto yule aliyesababisha ujauzito. Kwa maneno Mengine ni yule ambaye Mbegu zake zilikutana na yai la mama na kutunga mimba. Siku hizi kumekuwa na Trend ya wanawake wa Mjini hasa wenye matatizo na familia zako, au...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi: Trilioni 360 za makinikia haikuwa kodi sahihi, Nilikosea kutumia neno “Jalala”

    Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi. Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ilikua sahihi kuhamisha Wamaasai

    Mahakama ya Afrika Mashariki imesema uamuzi iliyochukuliwa na serikali ya Tanzania wa kuzingira ardhi kwa ajili ya ulinzi wa wanyamapori na kuwaondoa Wamasai ulikua wa kisheria. Dhumuni la serikali ni kulinda eneo la hifadhi lenye kilomita za mraba 1,500 ili kuepuka shughuli za binadamu uamuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga wapo sahihi kwa Ally Kamwe na Privadinho?

    UTEUZI WA YANGA JE WAPO SAHIHI> Nimetama uteuzi wa Yanga kwenye nafasi mbalimbali kuanzi C.E.O mpy mpaka DIGITL MANEGER je wamepatia wapi na wapi wameteza>
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Kulazimishwa kuchanja chanjo ya korona?

    Habari wanajukwaa, Nakuja kwenu wanajamvi kuuliza kama ni sahihi mtu kulazimishwa kuchanjwa hasa hii chanjo ya korona. Nijuavyo mimi mtu anatakiwa aelimishwe kisha ahiari pasipo shuruti. Lakini Hali ni tofauti mkoani RUKWA wilaya ya NKASI kwani kinachoendelea sio uelimishaji wala uhamasishaji...
  14. JamiiForums Tanzania Umri gani ni sahihi kwa dereva wa basi la abiria kustaafu?

  15. JamiiForums Tanzania Matumizi sahihi ya dawa

    Unaelewa nini ukiambiwa umeze dawa kutwa mara tatu? Maduka mengi ya dawa pamoja na hospitali zetu hutumia lugha hii kimakosa pasipo kuwaelewesha vizuri wagonjwa. Kwa kiasi kikubwa, huwafanya wagonjwa wasitumie vizuri dawa wanazopewa. Siku moja ina saa 24, kwa kuzingatia mgawanyiko sawa wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania “Kujigamba” sio njia sahihi ya kuanzisha urafiki na Afrika

    Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...
  17. JamiiForums Tanzania Kuhusu uzazi wa mpango Magufuli alikuwa sahihi 100%

    Myonge mnyongeni Ila haki yake apewa. Haters wote wa magufuli ni wale wenye ajenda zao binafsi hasa za unyonyaji. Ila mwamba alikuwa poa Sana. Binafsi naamini madhara ya uzazi wa mpango ni makubwa zaidi ya faida zake. Akina mama wanateseka Sana na side effects zake.
  18. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwenda kula nyama choma, huku familia ikishindia mboga za majani?

    Kwenda bar nakuagiza; mbuzi, kuku, kitimoto, nyama choma, pamoja na kumwagilia moyo na marafiki; huku familia umeiacha ikila mboga za majani, sio uungwana. Itapendeza zaidi, kama utakuwa na familia yako; wote mkiwa mnatumia kwa pamoja, na si wewe na marafiki wakati huko nyumbani kwako...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi adhabu za faini kwa kila kosa kutoka katika makosa mawili kwenda sambamba?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Rufaa ya Maadili ya TFF, Richard Mbaruku akisoma uamuzi wa Kamati yake katika Rufaa aliyokata aliyekuwa msemaji wa Yanga, Haji Manara, amesema mtuhumiwa alikuwa na makosa mawili na uamuzi wa rufaa kwa kila kosa umebaki hivyo hivyo kama ifuatavyo: 1) Offensive behavior -...
  20. L

    JamiiForums Tanzania “Kujigamba” sio njia sahihi ya kuanzisha urafiki na Afrika

    Mkutano wa kilele wa kutafuta fedha za kukabiliana na mabadiliko ya tambianchi barani Afrika umefanyika hivi karibuni mjini Rotterdam, Uholanzi, na kuhudhuriwa na viongozi wa nchi sita za Afrika, lakini kwa upande wa nchi za Magharibi, ni waziri mkuu wa Uholanzi pekee ndio amehudhuria mkutano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…