sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuachana na mwanamke uliyemzalisha watoto wawili?

    Habari zenu wakuu? Kwa wale wakatoliki poleni sana kwa msiba wa papa Francis. Issue yangu iko hivi,kuna mwanamke nilikua naishi nae,huu ni mwaka wa 7 au 8 kama sikosei,tumebahatika kupata watoto wawili.hatuna ndoa but nilitaka mwaka huu tubariki. Huyu mwanamke kwa suala la uaminifu sina shaka...
  2. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanyia ngono na mwanamke meingine kwenye kitanda ulichokua unalalia na mkeo?

    Mke kanikimbia siku ya tatu leo,niko tu mwenyewe hapa home,naona ugwadu umenikamata sio poa.nafikiria kuvuta manzi mwingine tu hapa mtaani nimgongee hapa hapa home. Je ni sahihi kulala na mwanamke mwingine kwenye kitanda mnacholalia na mkeo?
  3. JamiiForums Tanzania What do you with a research paper after its been published?

    I was just wondering what actions are taken once you finish and publish a research paper. I'm not all that experienced nor informed, so I'm just genuinely curious what could be done with one's research after it's finished. I'm talking more so about humanities research, so it's not necessarily...
  4. JamiiForums Tanzania Haji Manara yupo sahihi, Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo

    Wakuu wanawake wana njaa Sana . Na hawana akili za kuwaza mbali Hajji Manara yupo sahihi , Wanawake wana tabia ya kuwanyima chakula watoto au kuwalisha makombo .
  5. JamiiForums Tanzania Jitahidi kuficha maumivu yako kwa watu ambao sio sahihi ila pia onesha maumivu yako kwa watu ambao ni sahihi. "Law of power"

    Success can sometimes draw unkind judgments from low-minded people. When you achieve great things, they may claim that you did it through witchcraft (uchawi), or if you face challenges, they could say you are cursed (umerogwa). According to the 48 Laws of Power, achieving great things...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 G55 & COVID 19, kipimo sahihi cha kumpima Tundu Lissu kiuongozi

    Hali ya sasa ndani ya CDM inahitaji leadership character kuliko mihemuko, shutuma na visasi. Inahitajika utulivu mkubwa sana wa kiuongozi kufanya reconciliation ndani ya chama otherwise chama kinaweza kuparaganyika zaidi. Hivyo kwa hali iliyopo kwa sasa ndio itakuwa kipimo sahihi cha kiuongozi...
  7. H

    JamiiForums Tanzania WAAFRIKA walio waislam na wakristo wooote ni MATAHAIRA

    Waafrika hao ndivyo walivyoelewa na siyo kwamba wao ndiyo wako sahihi kwa walivyoelewa hakuna Mwafrika mwenye akili aliye muislam au mkristo wote wanaoishi humo ni MATAHIRA kwani wanaishi kwa hofu ya moto kwa mambo ya kuhadithiwa na watu waliowatawala na wasiyokuwa na utu
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

    Wakuu, Yamenitokea Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa waislamu wote; Alichokifanya huyu Sheikh ni sahihi au amekosea? Sheria za kiislamu zinasema atapewa hukumu gani kwa Allah ?

    leo hii april mwaka 2025 huko somalia kuna maandamano makubwa, sababu shehe ameoa mtoto wa miaka nane na kuishi nae kinyumba kwa miezi sita. wanaoandamana kupinga ni waislamu pia, ila shehe amejitetea kwa kusema dini yake inaruhusu kuoa mtoto wa miaka nane, na hivyo hajakosea. naomba...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kocha Fadlu ameuza hii mechi dhidi ya Al Masry kutokana na kukosa maamuzi sahihi

    Wazee hivi inakuwaje mwenyeji wako anafanya Sub Sita kubadili mabeki, viungo na washambuliaji wake halafu kocha wetu fadlu anang'ang'ania wachezaji wale wale waliochoka? kulikuwa na ulazima gani Ateba kiroba Mbida kucheza dakika zaidi ya 70 kwenye hii mechi? Fabrice konokono Ngoma pale kati...
  11. JamiiForums Tanzania Je, huu ni mlio sahihi kwenye engine?

    Mamb vp wakuu Gari yangu inamlio Kama siuelewi hivi nahisi Kama engine Haitoi mlio sahihi Kama nilivyoambatanisha kwenye video hapo
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hawa wanaotangaza wanatafuta wachumba mitandaoni wajaona njia ambayo sahihi kama hizi:

    kama muislamu au mkristo ukifika eneo lako la ibada ukitangaza kuwa unataka kuoa au kuolewa watajitokeza wengi na utafanya kuchagua. Kama unaangaishwa nenda kijijini kwenu huko kuna watu wapo tayari kuoa au kuolewa wakisubiri. Kwenye maharusi,misibani na sheree za ccm mnaweza kuwapata kibao...
  13. JamiiForums Tanzania Natamani kujua muda sahihi wa Wakristo kufuturu

    Habarini wakuu, mimi uhuru one nataka kujua muda sahihi wa wakristo kupata kifungua kinywa baada ya fungwa ya kutwa nzima. Tukumbuke Ramadhani hii imeambatana na ndugu zetu nao wanatimiza funga ya kwa RESMA ila nataka kufahamu namna ya kufuturu, kwanini nimeuliza hivi??? Nipo kariakooo pale...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi huyu Lilian Mwasha nae ni Mchungaji? Haya wale Wanawake ambao bado hamjatupata wa Kuwaoeni mwenzenu kasema Umri sahihi wa Kuolewa ni miaka 40

    Mchungaji lilian_mwasha alipoulizwa kuhusu umri sahihi wa binti kuolewa ni umri gani. Kwa upande wake amesema kuwa umri sahihi wa mwanamke kuolewa ni miaka 40. Chanzo Taarifa: officialmkaliwenu Ninavyojua tu ni kwamba Wanawake wa huu Umri wa 40 Idara zao zote huwa tayari zimeanza Kuchoka na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Kauli ya Manara Je alikuwa sahihi au atupwe rumande ya Michezo?

    Wote tumesikia jinsi Manara alivyomvaa Rais wa TFF Ndugu W.Karia kwa lugha ambazo kimtizamo hazina staha ukilinganisha na alicho kisema Rais wa TFF ukweli kwa sasa kumekuwepo baadhi ya watu wanaleta sanaa katika mpira wa nchi hii! Hivyo lazima yeye kama kiongozi wa mpira wa nchii lazima akemee...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Ni sahihi mwananchi kukamatwa/kulipa faini kwa kutohudhuria mikutano Serikali za mitaa,Kuchangia ujenzi madarasa?

    Nimegongewa mlango asubuhi ya leo, na watu waliojitambulisha kuwa ni balozi, mwenyekiti na askari mgambo, Wakieleza kwamba natakiwa kulipa faini jumla sh 12,500/= ambapo 10,000/= ni kwa kushindwa kuhudhuria mkutano walioutangaza hivyo nilipaswa niwepo au nitoe sababu za dharura ya...
  17. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikisema kuwa unahitaji Akili ya kama ya Mwendawazimu kuhangaika kufuatilia Siasa za Afrika, kuumizwa nazo na kuzipenda huwa nakuwa sahihi

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya, Raila Odinga amewajibu wakosoaji wa Serikali ya Rais William Ruto wanaotaka aondoke madarakani huku akisema wanataka atoke aende wapi. Kauli ya Odinga inakuja zikiwa zimepita siku chache tangu asaini makubaliano ya kufanya kazi na Rais Ruto nchini Kenya...
  18. JamiiForums Tanzania kwa uwekezaji huu nlioufanya, Je niendelee na ajira nilipoajiriwa?

    kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa kupiga kazi, duka ni la mangi tu la kawaida, je no sahihi au niachane na kufundisha nije kusimamia...
  19. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuwaita TFF matapeli na walaghai

    Ikiwa wanaruhusu kughairishwa kwa match na kuchukua pesa za viingilio kwa wale waliokata ticket na kutoweka njia yeyote ya kufidia, basi ni sahihi kuwaita matapeli tu. Na kudhihirisha ulaghai wao, walitoa tangazo kabisa la kuhakikishia watu uwepo wa match na kuwa waendelee kukata ticket...
  20. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mtu kujiita Kiboko ya Wachawi?

    Kimaandiko, kujiita "Kiboko ya Wachawi" sio sahihi kwa sababu inahamasisha kiburi na kujitwalia mamlaka ambayo ni ya Mungu pekee. Sababu za Kimaandiko: Yesu ndiye anayeangamiza kazi za shetani 1 Yohana 3:8 – "Kwa sababu hii Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Shetani." Yesu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…