sahihi

  1. JamiiForums Tanzania Watu wa karibu wasimulia chanzo cha kifo cha Daktari Magreth huko Kilimanjaro

    Naona watu mnazungumza bila kuwa na taarifa za kutosha kuhusiana na kifo cha daktari, na wengi mnazungumza kwa hisia. Kwa kifupi iko hivi , Mzazi wake Dr Magreth pengine ndiyo chanzo cha haya yote. Magreth alishampeleka mchumba wake nyumbani kwa mzee wake akamkataa na alimgomea mara kadhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo na serikali,je haya malipo ya shilingi 20,000/= ni sahihi ili kupata namba ya utambulisho wa makazi (NaPa) ?

    Bodi ya mkopo inapaswa isitishe mara moja kipengere Cha anwani ya makazi yaani National Physical Address (NaPa) kama kigezo kikuu Cha kutoa mikopo Kwa watoto wetu kwani kina changamoto nyingi sana ambazo kuzikamilisha inakuwa ngumu na pengine Kuna mianya ya rushwa. Binafsi nakubaliana na huu...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuoa binti kutoka family friend?

    NAULIZA JE NI SAHIHI MIMI KUOA BINTI KUTOKA KWA FAMILIA YENYE UKARIBU NASI? Wajomba na mamshangazi habari ya Asubuhi, naomba niende moja kwa moja...!! Mimi nimezaliwa na Kuishi Dar ila nina asili ya Mwanza, familia yangu imekuwa na uhusiano mkubwa na familia flani tangu mwaka 2010 yaan...
  4. JamiiForums Tanzania Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?

    Wakuu, Katika maisha kuna mambo ambayo huna budi kuyaamini tu, hata kama umehadithiwa na hukuyashuhudia mwenyewe. Kwa mfano, mtu akikuuliza: “Ulijuaje kama mwaka wako wa kuzaliwa ni sahihi?” Ukweli ni kwamba, wengi wetu hatujawahi kushuhudia siku tulipozaliwa; tunachokijua ni kile...
  5. JamiiForums Tanzania Mkeo kumtumia kaka yake picha ya damu ya blidi,je ni sahihi?

    Mkeo ana tatizo la kutokwa damu muda mrefu sana,Siku ya siku ya anakwambia ameamua kumtumia picha ya damu kakaake ili ajue madhila anayopitia, Huamini unaamua kuchukua simu yake ili ujionee mwenyewe kweli unakutana na picha sambamba na ujumbe unaosema "Hii ndio hali ninayopitia dada yako kwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Muda sahihi wa kumpandisha ng'ombe

    --- 🐄📌 ELIMU KWA WAFUGAJI ⏱️ MUDA SAHIHI WA KUPANDISHA NG’OMBE --- 🔍 Kwa nini ni muhimu? Kupandisha kwa wakati sahihi huongeza nafasi ya kushika mimba na kuepuka kurudia mara kwa mara. --- ✅ NG’OMBE JIKE ANAPOTAYARI KUPANDWA: 1. Dalili za Joto: - Kutokwa na ute mweupe wa kunata -...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Vitafunwa sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo

    Wakuu nauliza vitafunwa vipi sahihi kwa mtu mwenye Madonda ya tumbo,atumie vitanwa Gani kwa ajili ya chai
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu kanisani kwa Mwamposa. Asema 'Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?'

    Shekhe aibua sakata la kesi ya Tundu Lissu wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la kanisa la Mwamposa. "Mtu anasema tukinukishe, haya kukishanuka hapa wewe unaenda wapi?" anaeleza Shekhe Mohammed Mawinda
  10. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

    Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani. Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu yupi ni sahihi? Karibu tujadili

    Uchambuzi wa kina 1. "Kama Mungu ni mmoja mbona kuna dini nyingi?" Kihoja: Hili linauliza juu ya mkinzano kati ya dhana ya Mungu mmoja (monotheism) na uwepo wa dini mbalimbali duniani. Kiuhalisia: Dini hutofautiana kwa sababu ya tamaduni, historia, siasa, jiografia, lugha, na mapokeo ya watu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Agrey Mwanri mtu sahihi ukirudi bungeni

    Huyu mtu Kila anapokaa anatia alama,ni Mtendaji haswa nakumbuka enzi hizo akiwa waziri TAMISEMI alikuwa anaitwa encyclopedia ya bunge alikuwa hakosi majibu sabu ni mfuatiliaji na msimamizi na mtekelezaji.Wana Siha huyu mtu sahihi kabisa mrudisheni tena Ukienda Tabora imekuwa Toronto na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna Taarifa zinasema Chaz Lee amekamatwa naomba uongozi wafatilie hizi taarifa kama ni sahihi.

    Chaz Lee inasemekana amekamatwa . Naomba uongozi wa JF ufatilie hili swala. Sehemu za kufatilia ni kwa Malisa GJ n.k
  14. JamiiForums Tanzania Motivational Speakers wako sahihi: Bidhaa yao ni hayo maneno yao

    Kuna vuguvugu la kuwaponda wazungumzaji wahamasisha maisha " motivational speaker '' KWA Wanaongea mambo ambayo wao wenyewe hawajayafanya". Nimegundua wako sahihi. Wao hayo maneno wameyatafuta na ni Bidhaa kama zilivyobidhaa nyingine sokoni. Hawana haja ya kufanya, wewe unayesikia ndio...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, kwa umri wa miaka 65 ya Kassim Majaliwa ni sahihi kwake kuendelea kuwa Mbunge Kweli?

    Eti wakuu , umri wa miaka 65 ni sahihi MTU kuendelea kuwa Mbunge . Maana kwa kumtazama Majaliwa amechoka Sana ukiachana na Super Black kichwani Ila sifikirii Kama ni sahihi Sana .
  16. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani. Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali itafute njia sahihi ya Magari ya Mizigo yaliyopo eneo la DUCE

    Pale eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu (DUCE) na karibu pia na ulipo Uwanja wa Benjamin Mkapa kuna magari makubwa yanaziba barabara na mbaya zaidi magari hayo yanageuzia kwenye geti la uwanja huo. Watu waonaotumia barabara ile kuelekea Mbagala na kwingineko wamekuwa na changamoto kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Je haya ni majibu sahihi kumjibu Mbunge aliyeuliza swali Bungeni ?

    Ufafanuzi. https://www.facebook.com/share/r/189pYZfp5v/
  19. JamiiForums Tanzania Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  20. JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…