safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Muziki sio safari nyepesi: Wasanii wengi huanziaga huku

  2. JamiiForums Tanzania Safari za Kielimu za viongozi wa Polisi na TISS zaelezea matokeo yao ya utendaji

    LENGO hapa ni wote tuone Kwa namna gani Safari za Elimu zinaathiri utendaji kazi wa vyombo hivi, na hii itatupa Mwanga kwenye Katiba Mpya, Watu wa aina gani waongoze Vyombo vyetu vya Usalama. Mimi dakika ninaamini, Ujinga wa MTU yaan Uwezo wake Mdogo wa Akili huenda sambamba na Roho Mbaya na...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijue safari ya ufunguaji kesi katika Mahakama ya Kimataifa ya uhalifu (ICC) kwa muktadha wa hali ya Tanzania

    UFUNGUAJI WA KESI KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA UHALIFU ICC KWA MUKTADHA WA HALI YA TANZANIA Naomba nitumie lugha rahisi kwa Ufafanuzi ambayo hata asiye mwanasheria aelewa ili kuendelea kutoa Ushirikiano wa taarifa za uhalifu wa Haki za Binadamu uliotokea Kabla, Wakati na baada ya Kilichoitwa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Naona safari hii hakuna vitisho vya dola au muda bado

    Kuko kimya, hakuna vitisho vya maandamano. Au muda bado?
  5. G

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo safari ya Desemba 9 ilivyoanza!

    Habari zenu ndugu wana jamiiforums ! Naomba niwapitishe kwenye kumbukumbu za matukio yaliyo pelekea DE9 kuwa siku muhimu kwenye ukombozi wa nchi yetu kwa mara nyingine tena katika mwaka huu wa 2025 baada ya ile ya 1961! Kwa ufupi kuanzia mwezi January 2025 ilionekana kuwa mwaka wa kihistoria...
  6. JamiiForums Tanzania SAFARI YA UZAZI: Mwongozo wa Afya ya Mama na Mtoto Katika Hatua Zote za Mimba na Baada ya Kujifungua.”*

    HIKI SI TU KITABU, NI ZAWADI YA AFYA KWA KIZAZI CHAKO Katika dunia inayokumbwa na changamoto za kiafya kila uchao, maarifa sahihi si hiyari tena ni hitaji la lazima. Tunapozungumzia uzazi, hatuzungumzii tu tukio la maisha, bali tunazungumzia mwanzo wa kizazi kipya mwanzo wa matumaini...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Esther Luxury Airlines kuanza safari 2026

    Kufuatia kukua kwa sekta ya Anga. Kampuni ya usafirishaji ya Esther Luxury inatarajia kuanzisha safari za ndege kwa kutumia ndege za ATR 72-600 (zipo 3) na Boeing 737 (zipo 2) na Boeing 787 (ipo 1) kutokea Julius Nyerere International airport (DAR) kuelekea Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro, Zanzibar...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mabango ya Samia yachomwa Masenze, safari ya kuelekea Ikulu inatengenezwa

    Wakuu, Kama inavyoonekana kwenye video, ni mwendo wa kuondoka na mabango ya Samuya tu, tunasafisha barabara na kurudisha hadhi yake stahiki. Jiji letu halipaswi kuwa na sura za Samuya hata kidogo kwa udhalimu alioacha uendelee kufanyika nchini. Safisha kila kitu chenye chembe chembe ya Samuya
  9. JamiiForums Tanzania Sababu ya safari za mabasi kusitishwa siku ya kesho Oktoba 29,2025, na vipi kwa mtu aliyekata tiketi ya tarehe hiyo?

    Katika hali isiyo ya kawaida mabasi yaendayo mikoani yamesitisha safari zake kwa siku ya kesho, sababu kubwa ikiwa nikuwapa fursa watu kupiga kura, nawaza watu hao ni akina nani kwa sababu kura sio lazima ipi hatma ya wale waliokata tiketi zao. Ipo hivi serikali ya CCM inahakikisha kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  11. JamiiForums Tanzania Accountant at Safari Automotive Africa October 2025

    Position: Accountant Location: Dar es Salaam – Tanzania Industry: Automotive Company: Safari Automotive Africa Employment Type: Full-Time Date: 20th October 2025 – 28th October 2025 ABOUT US: Safari Automotive Africa is a trusted and rapidly growing automotive company with a presence in...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Safari kutoka Mtwara mpaka Comoro

    Habarini ningependa kujua kuhusu usafiri kutoka mtwara mpaka comoros je napataje usafiri,ina gharimu kiasi gani,inachukua muda gani kufika na je usafiri upo kila siku au ikoje?asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Safari ya Demokrasia Nchini Tanzania toka mfumo wa vyama vingi ulipoanza hadi leo

    Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Leo utaona safari ya roho kupitia mbingu 7 kisha kwenda Barzakh

    katika vitabu vya kidini imeandikwa kila nafsi itaonja mauti wakati huo ukifika macho yatafunga pumzi zitasimama na Ruh itaondoka kwenye mwili lakini nini kitatokea baada ya? Roho inaenda wapi? baada ya kifo roho hupanda hadi mbingu 7 ambako huvumbua siri za ulimwengu katika kila mbingu...
  15. JamiiForums Tanzania Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu

    Mwangaza Uliozimwa – Safari ya Mkombozi na Mwisho Wake Wenye Machungu Ndugu zangu, wenzangu, wapenzi wa haki na uwajibikaji, Leo, tunakutana hapa kwa mioyo mizito na roho zilizojaa huzuni. Tunakutana kuzungumza kuhusu kisa ambacho kinatuacha na maswali mengi yasiyo na majibu, kisa...
  16. JamiiForums Tanzania Mtalii aliyejaribu kukosoa safari yake ya kitalii Kenya amepokea backlash kubwa sana kwenye social media

    Kuna mtalii alikuja Africa (specfically Kenya) kuja kutalii wanyama kisha akapost video mtandaoni kuonesha kuwa hajavutiwa na safari hiyo. Kwamba no overrated Matokeo yake anepokea backlash kubwa mno kutoka kwa social media Angalia hapa, everything is in the pictures
  17. JamiiForums Tanzania Meli ya New MV Mwanza ilivyofanya safari ya kwanza Mwanza kwenda Bukoba

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, tarehe 21 Septemba, 2025 ameshuhudia safari ya kwanza ya meli ya MV New Mwanza kutoka Bandari ya Mwanza Kusini iliyopo jijini Mwanza kuelekea Bandari ya Bukoba ikiwa imebeba wataalamu kutoka kwa Mkandarasi, Maafisa wa Serikali na wawakilishi kutoka vyombo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Nina safari ya Dar kwenda Kigoma. Madereva nipeni uzoefu!

    Wakuu. Ijumaa nina iyo safari kutoka Dar kwenda Moro, ambako nitafanya kazi flani kama masaa 6-8 katika ofisi ya serikali kwahiyo lazima uwe muda wa kazi, then nitatakiwa kwenda Kigoma, by jumatatu niwepo hapo kuna issue, then back Dar. Google Maps ananiambia nina kilometa 2,500 kwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kuna haja yoyote ya kuweka madawati ya ukaguzi wa pasi za kusafiria hata kama msafiri imefanya check-in tiyari na safari yake imekuwa confirmed?

    Wakuu, nipo hapa sehemu moja yaitwa Mbande ukielekea Kibaigwa ndo naandika haya niliyaona jana nilipokuwa nikimsindikiza mmoja wa marafiki zangu huko Dar JNIA. Kuna kitu kimoja yawabidi Idara ya uhamiaji na usalama kujiongeza kidogo na kuwa na taarifa za uhakika na za papo kwa hapo kuhusu Idara...
  20. JamiiForums Tanzania Wakati wa awamu ya nne watu walikuwa wakiiba hela inarudishwa katika mzunguko ila safari hii ni ununua magar ya kiahari , hivyo hali ya uchumi kukaza

    Ukifatilia Jijini Daslama na kuchungulia parking za watu , unaona kabisa huu ni utakatishaji wa Pesa. Kwakuwa hakuna biashara ya muajiriwa wa serikili kumiliki Lamborghini. Bugatti, n.k Magari ambayo ni zero kilometers. Na yenye thamani ya Billions of money. Yaani wameamua kutakatisha Pesa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…