Ni muhimu kutambua kuwa sio kila mtu anayewashawishi watu kutoa sadaka ana nia njema. Biblia inasema nyakati za mwisho zitatokea roho zidanganyazo na mafundisho ya mashetani(1 Timotheo 4:1). Katika nyakati hizi, kuna watu wanaotumia jina la Yesu ili kuwashawishi watu kutoa sadaka kwa manufaa yao...