sadaka

Sadaqah or Sadqah (Arabic: صدقة‎, Urdu: صدقہ‎, IPA: [sˤɑdæqɐ],[n A] "charity", "benevolence", plural ṣadaqāt صدقات) in the modern context has come to signify "voluntary charity". According to the Quran, the word means voluntary offering, whose amount is at the will of the "benefactor".

View More On Wikipedia.org
  1. Wakusolve

    Kutoa msaada ni sadaka inayoweza kukufanikisha katika mambo mengi kwenye maisha yako

    Kutoa msaada kunaweza kukupa fursa kubwa maishani mwako soma hapa chini Kutoa msaada kama vile pesa, mali , ushauri n.k kwa ndugu, jamaa na marafiki au mtu yoyote mwenye uhitaji ni sadaka pia, Unapokuwa mtu wa kusaidia unajijengea baraka au fursa kuzipata bila kutegemea kutoka kwa Mungu...
  2. M

    Inafedhehesha, kanisa Katoliki na sadaka zote hizo kuomba msaada Serikalini kumsafirisha marehemu Pengo!

    Yaani sadaka zote hizo na waumini mamilioni alafu wanaomba msaada kwa serikali ya CCM? Hii ni fedheha kubwa sana.
  3. MakinikiA

    Wenye Makanisa kama Mwamposa muwe macho na sadaka zenu

    KIJANA ANASWA AKIBA SADAKA KANISANI KWA KUTUMIA GUNDI KWENYE KIJITI JIJINI NAIROBI Mtaa wa Githurai 45 ulijaa kicheko na mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la ‘Kevo’ kunaswa akitekeleza wizi wa aina yake ndani ya kanisa la mtaa huo. Kevo, ambaye mara nyingi huonekana akiwa wa...
  4. R

    Wale waliotoweka na kapu la sadaka pale Ufufuo na uzima, ndio hao wanaochunguza fuko la pesa za mchina?

    Salaam! Walipofunga utepe kanisa la Ufufuo na uzima,palikuwa na sadaka kwenye kapu, palikuwa na mali mbalimbali,walipovamia na kutawanya watu Kisha kuweka utepe, kulikuwa shwari kabisa. Kinachochanganya Hadi sasa,haijulikani kapu la sadaka walipeleka wapi Hadi Leo, Pana upotevu mkubwa wa mali...
  5. kavulata

    PostGE2025 CHADEMA walitoa sadaka ya kujimaliza Oktoba 29, hawainuki tena

    Waliaandaa mpango ambao walikuwa na uhakika nao kuwa utaua vijana wengi wasio na hatia. Vijana walipewa pesa na ahadi lukuki kama watakubali kujitoa mhanga kuiangusha serikali. Waliwadanganya vijana kuwa jeshi litakuwa nao bega kwa bega huku wakijua kuwa wanawalaghai vijana. Vijana walikufa...
  6. M

    Bro kama hii ndio type ya wachungaji ambao mke wako anawaheshimu, kufuata ushauri wao, anapeleka watoto wenu kwake, Kazi unayo !

    Kamsave kwenye simu au kumuweka kwenye status kama DADDY ananyenyekea na kumpa attention kukuzidi wewe. yupo tayari kujinyima ili apeleke ahadi au sadaka Yupo tayari kuacha kazi muhimu za nyumbani aende kanisani. Mchungaji akimshauri kitu, hawezi kusikiliza ushauri wako u
  7. U

    Rais Samia: Kuna migogoro mingi misikitini, Maimamu wanagongana kwa sababu ya sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah

    “Kwenye stahiki za Maimamu mioyo huwa inatuharibika kidogo kuna migogoro mingi misikitini Maimamu wanagongana ukiangalia ni nini ni sadaka, vifurushi vinavyoletwa, vijinyama vinavyotoka Makkah vile vilivyochinjwa yaani ni ugomvi" "Hatuna amani za mioyo yetu, kwahiyo wanasema mkubwa humwambia...
  8. Kyenju

    Watalipa kodi, au ni kama sadaka?

    Habari wanandoa! Sina maelezo mengi, kichwa cha habari kinajieleza. Kwa kuwa uelewa wangu si mpana kwenye mambo ya kodi hapa Tanzania, ningependa kujua kama B 100 za harambee ya CCM kodi itakatwa, au ni kama sadaka?
  9. D

    Muda rasmi kwa wanaufufuo na watu wote tutenge siku ya kufanya karamu ya kuchinja na tuachilie sadaka maalum kwa wana wa anaki waliofunga kanisa

    Majeshi majeshi! VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU! Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza) Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata! Muda wa...
  10. H

    GE2025 Kila unapojua unaenda kupiga kura, jenga tabia ya kuiombea kama sadaka inavyoombewa

    Kama kichwa Cha habari kinavyosema ndugu wapendwa,nipende kusisitiza, nyakati kama hizi wanasiasa wengi wanashinda kwa waganga wakitoa Kila aina ya kafara, wanachinja ili kuteka utashi wako kwa Kila namna, wanajua unapozungumzia energy,chanzo chake ni utashi, hivo wanaenda huko ,wanaomba kwa...
  11. R

    Barua ya wazi kwa viongozi wa dini nchini Tanzania. Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa

    BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa Waheshimiwa viongozi wa dini, Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa watu. Nawasimamia...
  12. matunduizi

    Mungu anaongea na kutenda mapema kwa njia ya sadaka kuliko maombi makavu

    KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu hakuwaacha. Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
  13. M

    Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu

    Ndugu Wakristo wenzangu, kesho ni siku ya Dominika, hivyo nawakumbusha kuandaa sadaka mbili. Moja ni sadaka ya KANISANI na nyingine ni sadaka ya UKOMBOZI wa Nchi yetu. Sadaka ya ukombozi wa Nchi yetu iingizwe kwenye Account ya chama cha siasa kilichosimama imara bila kuyumbishwa kupigania...
  14. Peter Mwaihola

    Uanaharakati ni kujitoa sadaka kwa ajili ya wengine

    TUJENGE HOJA HAPA Kwenye harakati za kisiasa inaelezwa kuwa kadri harakati zinavyopamba moto ndivyo wanaharakati hupitia wakati mgumu ikiwemo kuwekwa kizuizini wakati mwingine hata kupoteza maisha kwa sababu hakuna dora inayokubali mageuzi kwa wepesi pasipo kuyalinda kwanza. Zimbabwe...
  15. M

    Kuna dhambi waliyoamua kuifanya baadhi ya waliokuwa viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na CCM kumtoa sadaka ya mateso Lissu, itaamua maisha yao badaye

    Sisi watu wa hali ya chini (kwa muda) huwa tunafurahia sana maisha yetu licha kwamba tuna maisha ya kawaida sana Hatudhulumu, hatunyongi watu, hatuteki na hatuuwi watu, na tunakula kile kilichopo kwa furaha kabisa na amani ya Mioyo yetu, na sadaka zetu kwa Mungu ni za haki hazina hatia yoyote...
  16. stakehigh

    Ni kwel wachungaji wetu hawa wanatajirika na sadaka hizi hizi ama kuna mengine hatuyajui?

    Nikitumia mfano wa DALLE, kiujumla lifestlye yake tunaongelea mabilioni ya pesa, ila sasa ni kwel ni izi jero jero za wananchi mpaka billion ama kuna mengine https://www.tiktok.com/@kings_hot_riders/video/7418271723461676294
  17. R

    Waliozima taa za jengo la kanisa, walikuwa na mpango gani na sadaka za waumini?

    Hello! Nini hasa walikuwa wamelenga watu Hawa? Baada ya kuona waumini wanaomba bila kufumba macho, wakaamua kuzima taa! Sasa kuzima taa walilenga Nini ilhali sadaka zikiwa kapuni? Haya!
  18. W

    Mchina haui biashara, ni nyinyi mnaowatukuza mawinga kuliko wateja, Tunazidi kuwaombea wachina wajae, Maana ya kwenda kariakoo inazidi kuchuja.

    Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !! Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
  19. third eye chakra

    Sadaka ya ijumaa ilikua hiyo

    Mwenye kupata alipata
  20. kalisheshe

    Inawezekana damu zinazomwagika kwa wafuasi wa CHADEMA ikawa ni sadaka ya kukiimarisha chama hicho

    Katika historia ya harakati za kisiasa duniani, mara nyingi mabadiliko ya kweli yamekuwa yakipatikana kwa gharama kubwa, ikiwemo maisha ya wale wanaojitolea kwa ajili ya haki na demokrasia. Katika muktadha wa Tanzania, chama cha upinzani CHADEMA kimekuwa mstari wa mbele katika kupigania...
Back
Top Bottom