sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Tangu nisikie ukishikwa bega nyeti zinapotea nimekuwa makini, sina mali nyingine

    Mkuu wa Mkoa Dar, Albert Chalamila (Chala boy) huyo anasema Tangu asikie ukishikwa bega nyeti zinapotea amekuwa makini sana, maana hana mali nyingine zaidi ya hizo zaga. Soma pia ~ Katambi: Madai ya kuibiwa Nyeti ni uzushi ~ Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu akikuchagua usaidie watu anakupa Roho wa Bwana(holy spirit)?

    Mathayo 12:18 Tazama, mtumishi wangu niliyemteua; Mpendwa wangu, moyo wangu uliyependezwa naye; Nitatia roho yangu juu yake, Naye atawatangazia Mataifa hukumu. Mungu akikuchagua kuhubiri neno lake au kusaidia jamii(nation/world) anakupa roho wa bwana(holy spirit). kazi ya roho wa bwani nin...
  3. JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania kodi isiwe sababu ya kufunga biashara Yako.

    habari ikiwa wewe ni mfanyabiashara mkubwa au mdogo na unakabiliwa na gharama kubwa za uendeshaji wa biashara yako kiasi kwamba biashara Yako inaweza kufungwa basi karibu ukope kwetu, kama una changamoto ya kudaiwa Kodi ya pango, Kodi Toka TRA, bill za maji umeme na mishahara ya wafanyakazi...
  5. JamiiForums Tanzania Tunawaheshimu wazee kwa sababu wamefikisha umri mkubwa, au tunawaheshimu kwa sababu wanakuwa na busara?

    Tunaamini vibaka, wezi, wahuni, na watu wasiokuwa na tabia njema, nao pia huzeeka. Je, katika uzee wao, huwa tunawachukuliaje, kuna cha kujifunza chochote kutoka kwao? Je ni sahihi kuwaheshimu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo! Eti kuna watu wapo kwenye sababu wanawadai wenza wao vinginevyo wangeshaachika

    Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea kubaki kusubiri mpaka alipwe ndio kama kuondoka aondoke. Sikiliza mwenyewe
  7. JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya watumishi wahame kutoka kituo kimoja kwenda kingine

    Mfano watumishi wa chuo kikuu kimoja cha umma Pindi chuo kinapofunguliwa na wakati wanachuo wapya wanapo join chuoni MWEZI NOVEMBER watumishi wa chuo wanapambana wanaandikisha wanafunzi wapya wanaojiunga na chuo hicho wakifanya kazi mpaka masaa ya ziada. Makusanyo ya ada yanakuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuleta beki tatu nyumbani ni muhimu, ila hugeuka sometimes na kuwa chanzo cha migogoro

    Kuleta beki beki tatu nyumbani ni muhimu, ila ugeuka sometimes na KUWA kuwa chanzo cha migogoro mikubwa kama msingi wa ndoa hauko vyema. Wake zetu uleta beki tatu wakiwa wanaona kama msaada wa kawaida. Ila ni balaa. Kuna kipindi nilishuhudia hii kitu live kwa macho yangu. Ilikuwa kwa bro...
  10. JamiiForums Tanzania Patrice Motsepe kupigwa chini CAF kwa sababu ya kujihusisha na ufisadi

    Ni suala la muda tu. Rais wa CAF bilionea Patrice Motsepe yupo kikaangoni baada ya kuhusishwa na ufisadi wa kutisha ndani ya CAF. Wafuatiliaji wa kiintelejensia waliotega mitambo yao ndani ya shirikisho hilo wamegundua ufisadi wa kutisha unaomhusisha Motsepe moja kwa moja, akishirikiana na ofisa...
  11. JamiiForums Tanzania Chuki isiyo na sababu/msingi ni sawa sawa na uchawi

    CHUKI NI TUNDA LA UCHAWI Awali ya yote leo sikujisikia kabisa kuandika kitu chochote ila nimeona ngoja niandike. Sio mtu wa kuandika na sio muandikaji mzuri. Ila tuvumiliane. Zingatia mambo yafuatayo : a. Chuki isiyo na sababu ni bure kabisa ni sawa kufukuza upepo. b. Ili uchukie lazima uwe...
  12. JamiiForums Tanzania Imefahamika: Wamoroko walishinikiza CAF wawape ubingwa ili waweze kuandaa WAFCON, sababu nyingine mbili zisome hapa chini

    Ukweli ndio huo ndugu zangu waafrika. Imebainika hivyo ya kwamba michuano ya WAFCON kwa wanawake ilimsimamishwa ghafla kwa sababu ambazo hazikuwekwa wazi, ila imekuja kubainika ya kua kumbe wamoroko walitoa mashinikizo makubwa na vitisho kwa CAF kuhusu rufaa yao kua wanaitaji kushinda na wawe...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kwa nini Ulaya ina tatizo dogo sana la ajira

    Hizi ndio sababu kwa nini tatizo la ajira sio kubwa sana Ulaya 1. Ulaya ina makampuni mengi sana Nchi nyingi za Ulaya kama Germany, United Kingdom, France nkzina makampuni mengi sana makubwa kama BMW, Siemens, Volkswagen nk Makampuni haya yanatoa mamilioni ya ajira, direct na indirect 2...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuna minong'ono watu wanasubiria mkeka, utakukumba kweli sababu utaacha kazi

    Waziri Mkuu, Dkt Mwigulu Nchemba amesema hayo leo Machi 11, 2026 wakati anahutubia katika mkutano wa Uhakiki wa Rasimu ya Mpango wa pili wa kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II)
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ni ngumu kukuta ndoa ya mkinga imevunjika au kusikia mafumanizi

    Sababu kubwa ni kwamba wakinga wengi hupenda kujishughulisha na maduka, kuna biashara nyingi sana lakini mkinga kachagua maduka. Madukani wakinga huwa wanashinda na wake zao, hakuna mke wa kubaki nyumbani, ni team work asubuhi kunapokucha hadi jua linapozama. Mke huwezi kumzuia kuchepuka ila...
  16. JamiiForums Tanzania Usimchukie baba yako hujui sababu gani ilipelekea akaachana na mama yako

    USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO. Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha. Ni kawaida sana kuona watoto wengi waliolelewa na mama au ndugu wa upande wa mama kukosa mapenzi kwa baba zao...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi hapa ni sababu za kwa nini maeneo mengine yana maendeleo makubwa na mengine kidogo(energy way)

    Kama hii imewai kukutokea umetoka sehemu moja au eneo moja ulikuwa na wazo la kufanya jambo fulani au biashara ulivyofika eneo hilo ukaghairi au ulikuwa na confusion(kujiuliza sana )na mwisho kuliacha sababu ni hii Katika kila eneo kuna kuwa na energy(nguvu) fulani kwa mambo fulani ndani ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mitandao Yote Imejaa Picha za Iran Kuishambulia Israel Kwa Sababu Dunia Nzima Imechukia Uonezi wa Israel

    My Take Ushindi mwisho wa siku ni wa Israel/USA kama tuu ilivyokuwa Chadema kutamba mitandaoni ila ushindi uko Kwa CCM.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Us department:'' Raia wamarekani ondokeni mara moja Cyprus sababu ya kiusalama

    Serikali ya marekani imewaambia raia wake wanaoishi Cyprus waondoke mara moja na wahame na mali zao kwasababu za kiusalama. Ina maana jumba bovu wanaachiwa wa Cyprus wenyewe?
  20. JamiiForums Tanzania Kwa madudu ya Epstein files, bado unaamini Israel ni taifa teule?

    Kwa ule uchafu wa Epstein's file bado kuna mjinga anaamini Waisrael ndo taifa teule? Jeffrey Epstein ni mteule? Trump ni mteule? Netanyahu ni mteule? Cha kufurahisha hizo files hakuna Kiongozi wa Iran hata mmoja, hayupo Saddam wala Gadafi, Wala Putin Wala Xi jinping, wala Maduro wala Fidel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…