sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni Mkatoliki 100% ila hizi ni sababu zangu za kwanini Sihudhurii na Sitohudhuria Jumuiya za kila Jumamosi....

    1. Jumuiya kumekuwa ni sehemu za Majungu. 2. Jumuiya imekuwa ni sehemu za Kuchunguzana Kimaisha. 3. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Masutano. 4. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Wanaume Kutongoza na Wanawake kutafuta wa Kuwachapa Nao ( Kuwabandua ) 5. Jumuiya imekuwa ni sehemu ya Kutishana kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kinachopelekea wanaookoka au kusilimu na kuwa swala tano kufeli kimaisha

    Wakristo na waislamu hawataweza kujua Mwenyezi Mungu anataka wao wwafanye kitu gani. Kwa ufupi Wakristo na Waislamu bado wanaishi gizani na mafundisho ya dini zao pamoja na kwamba ni mazuri lakini hayampendezi Mungu. Straight to the point hilo swali kwenye title huulizwa na watu wengi sana...
  3. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Zijue sababu za wanaKigoma kumpokea kwa wingi Rais Samia

    Rais Samia Suluhu amepeleka neema kigoma na wananchi wameitikia kwa wingi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu kwasababu kigoma ilisahahaulika kwa kipindi kirefu lakini Rais Samia Suluhu amewakumbuka. Baadhi ya mambo aliyoyafanya Rais Samia Suluhu kwa mkoa wa kigoma ni: 1. Umeme wa uhakika 2...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kusuasua ujenzi wa bwawa la JNHP lafikia 74%

    Wasiopenda maendeleo ya Tanzania hawataki mradi huu ukamilike mapema.
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

    Baadhi ya vyuo Duniani vimekuwa vikifanya mabadiliko ya mitaala na kufuta ama kuachana na fani ambazo haziendani na wakati. Bado najiuliza, kwa Dunia ya sasa fani ya Procurement inafundishwa vyuoni kwa sababu gani? Ni fani ambayo haina umuhimu wowote kwa karne hii ya 21. Mtoto akisoma...
  7. JamiiForums Tanzania Picha: Hizi Ndizo Sababu za Wanaume Kufa Mapema kuliko Wanawake

    Nisikuchoshe.....
  8. J

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa inayomfanya Mwanamke akatae kushiriki tendo la ndoa

    Wanandoa wengi wanafanya mapenzi kama jukumu na siyo starehe ya kufurahishana. Na wanaume wengi wamekuwa wabinafsi kwasababu wanafikiria tu mihemko yao bila kujali unayemtumia anahali gani. Mwanamke ni mtu anayefanya vitu vyake kwa hisia, kwahiyo kabla hujataka kufanya hicho unachotaka kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Mabasi yote ya mkoani yamezuiwa hapa Kibaha Stendi, foleni sijawahi kuona na hatujui hata sababu

    Mabasi yote ya mkoa tupo Kibaha hapa, foleni ni kubwa mno hatujui hata sababu. Tupo tumekaa tu kwenye magari. Tunaomba msaada vyombo husika, watu tunaenda mbali jamani.
  10. JamiiForums Tanzania Hipi ni sababu inayowafanya yanga wasivume kimataifa? Kwanini simba waweze?

    Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂, Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara. Wana yanga wana amini sana kwamba simba...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ili upigaji uwe rahisi na miradi kutokukamilika na umeme uwe wa mgao, lazima JPM azodolewe kwa sababu nyepesi na za kipuuzi

    Mtu aliyekuwa anajua mbinu zote za wafanyakazi wa Tanesico kwamba, kipindi hichoo cha wao kuongoza, kulikuwepo na kikundi maalumu cha kufungulia maji ya mtela ili tu kutengeneza mgao haramu wa umeme na wao kutengeneza biashara za majenereta Mbinu hiyo iliwafumbua watanzania wengi, na tangu...
  12. JamiiForums Tanzania Ipo sababu moja tuu itakayomfanya mwanaume amsamehe mkewe endapo atamfumania akiwa kwenye tukio

    Anaandika, Robert Heriel Vijana muache ubishi na ujuaji, oooh mimi siwezi msamehe mke wangu endapo nitamfumania amelala na njemba nyingine, hayo utayasema ukiwa timamu, unajiweza na nguvu za kutosha. Mwanamke msaliti hata Shetani hawezi kumsamehe achilia mbali Mungu mwenye wivu mkali mno...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la wanaume kunyimwa unyumba na wenza wao kwa sababu za kuchelewa au kushindwa kutimiza ahadi zao

    Wakuu naomba tupeane mawazo kuhusiana na swala hili linalosumbua sana katika mahusiano. Kumekuwa na tabia ya wanawake kuwanyima wenza wao unyumba kwa sababu tofauti, lakini kubwa zaidi tutazame sababu hii inayotokana na mwanaume kushindwa kutizimiza ahadi alizompa mwenziwe mfano; kumnunulia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nini kimemsibu Mulamula?

    Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu mambo vizuri? 1. Je, ni ile kadhia ya mama kupandishwa school bus kwenye mazishi ya malkia? 2. Je...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa kujenga matumaini katika Mioyo ya Watanzania, Ndio Sababu ya kutamalaki kwa Amani na Utulivu hapa nchini

    Ndugu zangu Ni ngumu Sana kuongoza watu walio kata tamaa,walio jaa hasira , wanaolia na kuvuja machozi mioyoni mwao, Ni ngumu kuongoza na kusikilizwa na watu wasioona mbele kwa matumaini, Ni ngumu Taifa kutulia na kuwa lenye amani na mshikamano ikiwa limejaa watu ambao hawajuwi hatima ya maisha...
  17. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za Mzungu kuondoka Simba

    Nisiwe msemaji ila sikiliza Mahojiano yake na EFM
  18. JamiiForums Tanzania TFF naombeni sababu ya Kimantiki kwanini Mechi za Vilabu vya Simba na Yanga mmezibadilisha

    Ratiba iliyokuwepo ilikuwa Weekend hii Simba SC icheze na Mbeya City FC na Yanga SC wacheze na Ihefu FC. Mmeibadilisha juu kwa juu hii Ratiba na sasa Simba SC itacheza na Dodoma Jiji FC na Yanga SC nao watacheza nadhani na Ruvu Shooting FC. Hivi TFF ni kwanini mnapenda mno Kuvibeba, Kuvilinda...
  19. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Hii ndio sababu ya kifo cha Malkia Elizabeth II

    Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8. Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho. Kifo cha marehemu Queen...
  20. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Uchumi wa Afrika Mashariki utashuka kwa sababu za Kisiasa na Ukame

    Ripoti mpya kuhusu Mtazamo wa Uchumi wa Afrika Mashariki, iliyotolewa na Deloitte imesema Ukuaji wa Uchumi utashuka hadi 5.3% ikilinganishwa na 6.4% ya mwaka 2021 ambayo ni ongezeko la 3.1% kutoka mwaka 2020. Utafiti huo uliohusisha nchi za Kenya, Ethiopia, Tanzania, Uganda na Rwanda umetaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…