sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nini Sababu ya mtura kutoweka kwenye Baa nyingi Mjini?

    Mambo vipi WanaJf? Tatizo ni nini hadi MTURA kupotea kwenye Baa nyingi mjini? Wapishi hakuna? Nilikua Kahama miezi mitatu iliyopita pale Choma Zone Mtura ulikuwepo lakini ghafla mpishi akatoweka, Mtura nao ukatoweka! Likawa linapatikana Bomu, mimi silipendi sana. Bado najiuliza kwanini Mtura...
  2. JamiiForums Tanzania Askari Polisi sita wafukuzwa kazi Arusha

    JESHI la Polisi Mkoani Arusha limewafukuza kazi askari wake sita katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya jeshi hilo. Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake jana,bila kuwataja majina ya askari hao, Kamanda wa polisi mkoani...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA ni wezi wa mali za umma, hawafai hata kusimama majukwaani na kuropoka chochote. Chuki dhidi ya hayati Magufuli ni sababu alizuia wizi wao

    Just imagine mfanyabiashara aliyejitolea zaidi ya mil 100 ili angalau upinzani uwepo nchini na kuirekebisha serikali. Lakini inatafunwa kama njugu. Michango na pesa za ruzuku zaidi ya bil 13. Zilitafunwa kama njugu. Hayati JPM alikuwa hataki utafunaji wa pesa za umma. Akawadhibiti Chadema...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Bora malaya wa bar ni wasafi kuliko videmu vya kitaa

    Kwanini Nina imani Na mademu ma barmaid 1.ni wasafi wanaoga Na kupendeza kutokana Na nature ya kazi zao lazima wawe smart wanukie vizuri wajinyoe hawataki fedheha maana baadhi ya Wateja huwa wana tabia ya kukejeli public mfano fulani ananuka k.. 2.wanajali kinga maana wanajua wanatoka Na watu...
  5. JamiiForums Tanzania Wanawake wasomi hawaolewi kwa sababu hizi...

    1. Sheria ya ndoa inamtwika mwanaume Jukumu lote la ustawi wa uchumi wa familia. Mwanamke akifanya kazi yenye mshahara mkubwa na akagoma kuhudumia familia, Sheria inamlinda. Kwahiyo hakuna haja ya kuoa mwanamke msomi ambaye usomi wake na mshahara wake hauna matokeo yanayopimika katika ndoa. 2...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa uhakiki vyeti (Vetting) Tanzania ni wa ovyo sana! Unapotezea watu muda pasipo sababu

    Kusema ukweli! Nimefuatilia nimegundua tuko nyuma sana kiakili pamoja na teknolojia! Kwa karne hii sikutegemea uhakiki wa vyeti vya masomo kwa watu (Vetting) uwe kizamani namna hii! Popote ukiomba ajira au panapohitaji uhakiki wa vyeti Tanzania bado tunatumia mbinu ya kizamani sana! Mfano...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hata kama Chawa wa Rais Samia, sio kutete supuuzi. Yaaani ongezeko la Tsh 1,500 ndio iwe sababu?

    Chawa wa mama Samia acheni ujinga
  8. JamiiForums Tanzania Tukisema watu wanaamini uchawi sababu ya ujinga kuna watu wanabisha. Hebu soma kisa hiki uone jinsi walivyodili na magonjwa ya mlipuko

    Kupigana na maradhi mengine Ikiwa katika mji magonjwa yalizidi kwa watu mkubwa wa mji hupigisha ramli kusudi apate njia ya kuzuia magonjwa hayo yasizidi, pia apate kufahamu ni mambo gani yaletayo magonjwa mjini mwake. Mara nyingi waganga walikuwa wakiwaambia kuwa moto unaotumika mjini mwao...
  9. JamiiForums Tanzania Mahakama kuchunguza sababu za kifo cha aliyedaiwa kujinyonga Mahabusu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni (Kinondoni), itafanya uchunguzi huo baada ya familia ya Marehemu Stella Moses kupinga maelezo ya kituo cha Polisi Mburahati yaliyodai Stella alijinyonga baada ya kujisalimisha kituoni hapo Desemba 20, 2020. Washtakiwa katika shauri hilo ni Mkuu wa Jeshi la...
  10. JamiiForums Tanzania Tuzungumze sababu zinazorudisha nyuma ukuaji wa e-commerce(Biashara za mitandaoni Afrika)

    Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu: (In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote. Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako...
  11. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Tundu Lissu aliniwekea pingamizi nisigombee urais 2020 kwa sababu za hovyo kabisa

  12. JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wabunge wa JMT, kama siyo sababu ya ukilaza, basi wana wivu kwa mbunge Mpina

    Ninachoendelea kukiona Bungen ni kile nilichowahi kusema humu, Asilimia Kubwa ya Wabunge wetu aisee ni Vilaza sana, na pamoja na ukilaza, wengi wao ukilaza unawafanya wamchukie yule mtu ambaye anaonekana ni Mwenye Upeo mkubwa. Jamani Ndugu zangu Wabunge, Kua Mbunge sio kupiga makofi, sio...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  14. JamiiForums Tanzania Sababu za ngao (push bumper) kupigwa marufuku baadhi ya nchi ikiwemo Tanzania

    Ngao, kama zinavyojulikana na wengi au kwa kiingereza bull bar, au push bumper, brush guard, moose bumper, etc, ni vyuma vinavyowekwa mbele ya uso wa gari au wengine husema bampa la mbele ya gari, kwa sababu mbalimbali ikiwemo kupendezesha muonekano wa gari. Hata hivyo, jina lenyewe bull bar...
  15. JamiiForums Tanzania Sababu 3 muhimu kwanini mwanaume mwenye hela humvutia mwanamke kirahisi

    Mwanamke yeyote anahitaji usalama kutoka kwa mwanaume wake, ndicho kitu cha kwanza wanakiangalia kabla ya kuwa kwenye mahusiano, japo huwa halisemwi waziwazi. Usalama wanaotaka ni usalama wa kiakili, kiroho na kimwili ilii aweze kujiachia kwa mwanaume. Usalama wa kimwili mwanamke huupata pale...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini

    Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini :- 1. Athari za janga la Uviko-19 2. Athari za vita ya Ukraine 3. Mabadiliko ya tabia nchi 4. Kupanda kwa bei ya mafuta duniani Kupanda kwa gharama za maisha imesababishwa na kupanda kwa mfumuko wa bei duniani na ndio maana...
  17. JamiiForums Tanzania NMB Chalinze branch kuna usumbufu usio na sababu idara ya mikopo

    Wapendwa Salaam, NMB Chalinze branch kumejawa na wafanyakazi wenye kiburi na majivuno hasa kwenye idara ya mikopo jambo ambalo linasababisha kero kubwa kwa wateja, Hii branch unapoanza ku process mkopo utacheleweshwa kiasi ambacho utaona kabisa ni kama wanakuomba rushwa kiaina.Hizo nenda rudi...
  18. JamiiForums Tanzania Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Kwa sababu ukuu wa mikoa na wilaya zimekaa kisiasa' nashauri wapigiwe kura na wananchi!

    Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote! Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni kudhalilishana! Kwa kuogopa fedheha hizi pamoja na kumpa wakati mgumu mteuaji wao kuwa sijui...
  20. JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…