Rais William Ruto anaomboleza kifo cha mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, ambaye alikuwa na uhusiano wa karibu wa kibinafsi na kiongozi huyo wa Kenya.
Chivayo, aliyefahamika kwa utajiri wake, maisha ya kifahari na ukaribu wake na viongozi mashuhuri barani Afrika, alikuwa...