ruto

Ruto, or Rutto, is a surname of Kenyan origin that may refer to:

Evans Rutto (born 1978), Kenyan marathon runner and two-time winner of the Chicago Marathon
Isaac Ruto, Kenyan politician for the United Republican Party
Paul Ruto (born 1960), Kenyan middle-distance runner and 1993 world champion
Ronald Kipchumba Rutto (born 1987), Kenyan steeplechase and marathon runner
William Ruto (born 1966), Kenyan politician and Deputy President of Kenya

View More On Wikipedia.org
  1. O

    Ruto Assures Kenyans of Fuel Stability Amid Middle East Crisis

    President William Ruto has assured Kenyans that the country has sufficient fuel reserves despite growing concerns over supply disruptions caused by the ongoing conflict in the Middle East. The assurance comes at a time when global tensions have threatened key oil supply routes, particularly...
  2. W

    POTOSHI Hivi ndivyo Rais Ruto alivyo hivi kwa sasa?

  3. O

    Ruto, Orengo Pledge to Set Aside Politics for Nyanza Development

    President William Ruto and Siaya Governor James Orengo have pledged to put aside political differences and work together to accelerate development in the Nyanza region. The commitment came during a high-level meeting that brought together national and regional leaders to discuss key priorities...
  4. O

    Ruto vows action over Nairobi Hospital Row, Orders Prosecution of ‘Fraudsters’

    President William Ruto has taken a firm stance on the ongoing crisis at Nairobi Hospital, declaring that he will not allow the institution to be “taken hostage by fraudsters.” Speaking amid escalating leadership and ownership disputes at the hospital, the President revealed that he has directed...
  5. O

    Mahakama ya Rufaa yampa Ruto afueni katika kesi ya washauri huku mjadala kuhusu ‘Baraza Lisilo la Kikatiba’ Ukizidi

    Rais William Ruto amepata afueni ya muda baada ya Court of Appeal of Kenya kusitisha uamuzi wa Mahakama Kuu uliokuwa umetangaza kuwa Baraza lake la Washauri 21 halikuwa la kikatiba, hatua inayowawezesha washauri hao kuendelea kuhudumu na kupokea mishahara yao wakati rufaa ikiendelea kusikilizwa...
  6. Kamanda

    Rostam kununua Nation ni mradi wa Ruto

    Nimemsikia na kumuona mfanyabiashara wa Tanzania, Rostam Aziz akitangaza kuinunua Kampuni ya Media ya Nation (NMG) ya Kenya. Amenunua hisa za familia ya Aghakhan zinazozidi asilimia 50. Kutokana na taratibu za biashara, Rostam saa ndiye mmiliki wa vyombo vyote vya habari vya NMG ambavyo viko...
  7. O

    President William Ruto launches Sh45 billion solar project for 3,200 schools

    President William Ruto has launched a Sh45 billion programme to install solar power systems in 3,200 schools across Kenya, marking one of the most ambitious clean energy transitions in the education sector. Speaking during the 100-year celebrations of Alliance High School in Kikuyu, the Head of...
  8. O

    President Ruto Pledges 28,000 Homes and Pay Rise for Prison Officers

    President William Ruto has promised to deliver 28,000 affordable housing units to prison officers, alongside a salary increase in what’s described as the final phase of their pay review. The move is aimed at improving welfare within the Kenya Prisons Service, where officers have long raised...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Rais Ruto anasurika kuvamiwa na kijana wakati akihutubia kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum

    Maafisa wa usalama wa Rais wa Kenya, William Ruto, wamelazimika kuingilia kati kuzuia kijana mmoja aliyetaka kulisogelea jukwaa wakati Rais akiwahutubia washiriki wa kongamano la kibiashara la NYOTA Business Forum. Tukio hilo limetokea wakati wa hafla ya kutoa mitaji kwa wafanyabiashara wapya...
  10. Mhaya

    RUTO: Tanzania na Uchumi wao mdogo, wananunua shamba hapa Upper Hill Kenya kujenga ghorofa na sisi tumelala

    Williams Ruto hawapelekea moto wakenya baada ya kuona hawajitumi katika kujenga Nchi, huku akitolea mfano wa Watanzania wameenda kununua ardhi maeneo ya Upper Hill jijini Nairobi sawa na maeneo ya Masaki Osterbay na kisha kujenga Ghorofa kali. Huku wakenya wengi wakiwa wamelala bila ya kujituma...
  11. B

    Huyu hapa Cyrus Shakhalaga Khwa Jirongo, aliyemtambulisha Rais Ruto kwenye ulimwengu wa siasa hadi ajali kukatisha uhai wake

    Jana Desemba 13,2025 Taifa la Kenya liliingia kwenye majonzi baada ya kumpoteza mwanasiasa mashuhuru na mfanyabiashara, Cyrus Jirongo maarufu CJ kwa ajali ya gari akiwa na miaka 64. Jirongo alifikwa na mauti kufuatia ajali iliyohusisha gari yake aliyokuwa akiendesha mwenyewe Mercedes-Benz...
  12. Superbug

    Sikukuu ya Jamhuri Kenya; Je, William Ruto anasoma au anatoa kichwani hii hotuba?

    Wenzetu mpaka nawaonea wivu Yani anaongea mambo ya msingi mno Kwa taifa utadhani anasoma au anatumia teleprompter lakini wapi jamaa anatoa kichwani kweli wenzetu wamebarikiwa kuwa na viongozi wenye akili.
  13. Ex Spy

    Trump afuta Mkataba na Kenya wenye thamani ya KSh7.4 Bilioni uliosainiwa na Biden na Ruto

    Nov 24, 2025 Kenya imekuwa miongoni mwa walioathirika zaidi, huku thamani ya kandarasi za Marekani zilizofutwa hadi sasa ikizidi takribani Shilingi (za Kenya) bilioni 108. ======== Kenya has been among the hardest hit, with the value of cancelled American contracts now exceeding Sh108...
  14. McLaren

    GE2025 Rais Ruto: Sisemi Tanzania hakuna demokrasia, lakini Kenya huwezi kushinda Uchaguzi kwa asilimia 96

    Hapa Ruto ni kama ametupa jiwe gizani hivi Yaani kapiga kwenye mshono alafu kajitetea
  15. President of China

    Ruto Mnafiki: 2017 Kenyatta na Ruto walipata kura 98.26%, kwanini anaiongelea Tanzania Negative?

    Na Dr. Maureen Olesumba Laizer Mtafiti wa masuala ya Uchumi na Biashara 2021 Hawkins Circle LOS ANGELES, CA 90001-2257 USA Nimemsikia Rais wa Kenya bwana Ruto akiongelea uchaguzi wa Tanzania alipohojiwa na mwandishi wa habari kutoka aljazeera. Nimemshangaa sana akipnda uchaguzi wa Tanzania kwa...
  16. stakehigh

    Rais Ruto asema hatajutia agizo la kupiga risasi waandamanaji

    https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
  17. Chibike

    Ruto, Museveni, Kagame, na wengineo pamoja na mabaya yao, hawajawahi kuweka rekodi ya kuua halaiki ya watu wasio na hatia

    Ni kama vile kwa mtu unaesikiliza ukitembea kwenye ardhi hii ya nchi hii, mtu anayepemda Haki na mwenye HOFU ya Mungu hata wale wachawi wanasikia kabisa vilio vya nafsi za waliokufa OKTOBA 29 -MASSACRE DAY IN TANZANIA (MAUAJI YA HALAIKI) zikidai Haki hata wakiwa umautini.. ni kama vile tupo...
  18. W

    Mazishi ya Raila Odinga, viongozi mbalimbali wamehudhuria ikiwemo Rais Ruto

    Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Kenya Dr. William Ruto https://www.youtube.com/watch?v=YT87RClirPI Miongoni mwa Waliohudhuria mazishi ni Rais wa Kenya - Samweli Ruto Naibu Rais Kenya - Prof Kithure Kindiki Mama Aida Odinga na Familia ya Odinga Rais Mstaafu wa Kenya - Uhuru kenyatta...
  19. R

    Video: Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero akivunja sheria za barabarani na kujihami kwa maneno 'Peleka kwa Ruto'

    Mbunge wa Jimbo la Kibra, Peter Ochieng Orero, aliyeteuliwa kupitia uchaguzi mkuu wa Agosti 2022, alinaswa Oktoba 9, 2025 katika kisa cha mvutano barabarani na mwandishi wa habari wa CNN kutoka Kenya, Larry Madowo Video iliyorekodiwa na Larry inaonyesha mbunge huyo akiwa ndani ya gari aina ya...
Back
Top Bottom