rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Geita: Ahukumiwa kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya tsh milioni 2 kwa kula rushwa ya Tsh. milioni 75

    MAHAKAMA ya Wilaya ya Geita imemhukumu Kaimu Mkuu wa Idara ya Maji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Mhandisi Rael Buliba (38), kutumikia kifungo cha miaka 3 jela au kulipa faini ya Sh. milioni 2 kwa makosa mawili ya kupokea rushwa ya Sh. milioni 75. Alipatikana na hatia ya kupokea rushwa hiyo...
  2. Rais Samia: Naamini Tanzania bila Rushwa inawezekana

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Maendeleo ya Nchi huletwa na Wananchi wake. Amesema hayo akiwa kwenye Mkutano wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Zanzibar. Amesema Sheria za Tanzania Bara na Zanzibar zimetoa Uhuru (usiovunja Sheria) kwa watu kufanya kazi. Ameongeza kuwa ataendelea...
  3. S

    Polisi Masasi, ni wakati wa kuwaonesha maovu yenu

    Wanajukwaa Salaam! Naomba niwaeleze snario iliyopo Polisi Wilaya ya Masasi Mkoa wa MTWARA. Iko Hivi, tarehe 27 oct 2021 kulitokea tukio la kukamatana masuala ya ugoni. Bwana J ndiye Mwenye Mke ambaye baada ya kumuona mkewe amebadilika kitabia na mienendo yake mibaya aliamua kumfuatilia kwa...
  4. A

    CP Hamduni Salum imulike Tanga inanuka rushwa,TAKUKURU wamekuwa mawakala wa wahalifu

    Kamanda wa kupambana na rushwa Hamduni Salum wasaidie sana watu wa Tanga. Ofisi za TAKUKURU jiji la Tanga wamekua watu wasiotenda haki kwa kutofuata miiko ya kazi. Wanakua watoa siri hata ukiwaeleza juu ya viongozi wala rushwa wao wanakua washanunuliwa na hao viongozi. Ukitokatu ofisi za...
  5. K

    Ni lini serikali itaidhinisha rushwa ndogondogo tunazoombwa na mapolisi ?

    Kuna 5000 ya kubrushia viatu hii mpaka hayati shujaa alikuwa anaijua Kuna pesa ya mafuta ya gari kwenda kukamata watuhumiwa Kuna elfu moja ya kanunulia karatasi Kuna pesa ya kununulia mafuta ya kusafishia bunduki Kuna pesa ya muhuri & nyingine nyingi ambazo zinaombwa wazi kabisa katika vituo...
  6. M

    Baada ya kumtega mhadhiri wa UDOM kwa rushwa ya ngono, sasa tuwatega madaktari hospitalini kwa dhambi hiyo hiyo

    Nasikitika hadi Kushangaa kuona Watanzania tukijikita zaidi katika Kupambana na Rushwa ya Ngono kwa Wahadhiri wa Chuo dhidi ya Wanafunzi wa Kike Vyuoni huku tukilisahau eneo lingine Muhimu. Sasa leo nawataarifu kama kuna Sekta ambayo kwa miaka ya hivi karibuni kama Miaka Kumi inaongoza kwa...
  7. Rushwa yatawala SGR Mwanza

    Habari za muda huu wanajukwaa. Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Katika mradi wa SGR katika kituo cha Fela katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kumekuwa na tabia ya mafomeni kupokea rushwa ili kuwapa kazi watu ambao wapo nje ya kampuni. Kitendo hicho kimepelekea watu kufukuzwa kazi...
  8. U

    Vitengo na Mikoa inayoongoza kwa RUSHWA za wateja katika shirika la TANESCO

    Katika vitengo vinavyoongoza kwa Rushwa katika ofisi nyingi za TANESCO ni katika mtiririko hapa chini kulingana na ukubwa wa TATIZO, na pia utaweza kufahamu mikoa ya KITANESCO inayoongoza kwa Rushwa 1. Kitengo Cha Kuungia wateja umeme kwamaana ya wenye nguzo na wasio na Nguzo: hichi ndo kitengo...
  9. D

    Mjadala: Tufanye haya kutokomeza rushwa ya ngono vyuoni, Hili ni jambo mtambuka

    Naomba nianze kwa kusema yafuatayo; Jamii yetu inaugonjwa wa kusita kufanya maamuzi! Viongozi tumekuwa waoga kuanzisha kitu kipya kwa kuogopa kukosolewa! Taasisi tumekuwa watu wa kufanyakazi kwa hisia kuliko kutumia wataalam ili kuondoa changamoto! Mamlaka hatufanyi jambo likawa jambo hadi...
  10. Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) chamsimamisha Mhadhiri kwa tuhuma za ngono

    Chuo kikuu cha Dodoma kimeanzisha mchakato wa hatua za kinidhamu na maadili kulingana na Sheria na kanuni za utumishi wa umma. UDOM imesema mtumishi Petro Bazil alisimamishwa majukumu yake tangu Oktoba 25, 2021 hadi uchunguzi utakapokamilika. Udom imesikitishwa na usumbufu uliojitokeza. Pia...
  11. Vigezo vinavyotumika kubainisha viashiria vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu

    Athari ya vitendo vya rushwa, udanganyifu na ubadhirifu ni pamoja na upotevu wa fedha za umma, wananchi kutokuwa na imani na serikali yao, kukosekana kwa utawala bora, uvurugaji wa bei ya soko kwa bidhaa mbalimbali na kupelekea wananchi kukosa huduma bora za kijamii. Katika Uchambuzi wa ripoti...
  12. Serikali iunde Taasisi ya kutunga na kusahihisha Mitihani ya Vyuo vya elimu ya Juu, Rushwa ya Ngono Imeshika kasi

    Elimu ya Tanzania imeanza kuzalisha wasomi wa aina yake. Ngono kwenye vyuo vya elimu ya juu imesjika kasi na inaxalisha wasomo wa hovyo. Serikali iunde taasisi mfano NECTA itakayo tunga na kusimamia matokeo ya wanachuo nchi nzima. Mitihani ya darasa la nne, darasa la saba, kidato cha pili...
  13. Mkija huku Mmelewa, Mnatongoza hovyo, mnatubambikia Bili za Maji na Kutuomba Rushwa mtang'atwa sana tu na Mbwa wetu Wakali

    Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji. Chanzo: ITV Tanzania Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
  14. H

    Rushwa ya cheo ni sawa na Rushwa nyingine

    Katika shauri dhidi ya Mbowe, mlalamikaji ni Serikali, na Serikali kiongozi wake mkuu ni Rais. Hivyo mlalamikaji katika kesi hii, ni Rais. Wakati kesi inasubiriwa kutolewa hukumu, mlalamikaji anatoa cheo kwa hakimu anayeendesha kesi ambayo yeye ni mlalamikaji. Katika mfumo wa utoaji haki, hii...
  15. Waziri aliyenusurika kuchapwa viboko kwa rushwa wakati wa mwalimu JK Nyerere ninani?

    Ukisikiliza hotuba maarufu ya mwalimu aliyoitoa pale Kilimanjaro hotel juu ya rushwa anataja simulizi ya waziri mmoja aliyekula rushwa na majaji wa kizungu wakamnusuru na adhabu ile je waziri huyu wa Sheria likuwa Nani?
  16. Naona harufu ya ufisadi nafasi za kazi jeshi la Polisi, Zimamoto na uokoaji, Uhamiaji na Magereza. Rushwa na undugu vimetawala

    Habari! Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe. Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake. Hivi kwa...
  17. M

    Mwenge wabaini ufisadi wa TZS 65B kwenye miradi 49 ya halmashauri 38 Je, nini kitaendelea?

    Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa,Je ni kweli Mwenge haufai? mnaosema Mwenge hauna faida hamfai kuchaguliwa hata kwenye jitongoji tu, " Chato tunasema Asante "...
  18. Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

    Habari! Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa...
  19. Serikali yakanusha kuwepo upendeleo au rushwa kwenye kampeni ya kuhamasisha chanjo

    Wizara ya Afya imekanusha tuhuma za upendeleo au rushwa katika Zabuni ya Kampeni ya kuhamasisha Wananchi kupata Chanjo ya COVID-19 iliyotangazwa Septemba 29, 2021 Imesema kazi hiyo ilifanyika kwa dharura kutokana na umuhimu wa haraka ya Elimu ya chanjo ili kuepusha uwezekano wa chanjo kuchina
  20. Fedha za kupambana na UVIKO19: Tenda ya Sept 29 na mwisho wa maombi Sept 30?

    Mapema leo Rais Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali ameeleza wazi kuwa hatovumilia viongozi wala RUSHWA. Hata Siku ya Jumapili wakati akizindua mpango wa Serikali wa kuinua uchumi na kukabiliana na UVIKO19 alisisitiza matumizi sahihi ya fedha za hizo huku akiwataka wasimamizi kuzingatia sheria...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…