rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Rushwa ndani ya chaguzi za CCM ni janga la Taifa

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinaendelea na mchakato wa uchaguzi wa ndani, ambao hivi sasa umefika katika hatua ya uchaguzi wa viongozi wa kitaifa wa jumuiya zake za vijana, wazazi na wanawake. Hata hivyo, uchaguzi uliokamilika wa chama hicho tawala katika ngazi za chini kuanzia matawi, kata...
  2. Morogoro: Aliyekosa Uenyekiti CCM adai Uchaguzi ulitawaliwa na Rushwa

    Nasoro Duduma aliyepata Kura 448 amesema uchaguzi huo uligubikwa hila zilizofanywa na baadhi ya WanaCCM hali iliyosababisha wajumbe kubadilika ghafla na kumchagua Joseph Masunga kwa Kura 621. Amesema uchaguzi huo ulikuwa na vyombo vikubwa vya uangalizi hivyo anaamini hila zote zilizofanywa...
  3. Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  4. Rushwa kwenye chaguzi CCM zinatia kinyaa

    CCM imejikita kwa kutumia makada wake kina Kibajaji, Msukuma, Kigwangala na Kihongosi kumsema na kumtukana balozi Bashiru badala ya kuzijibu hoja zake kwa umakini. Wakati huo huo CCM ipo kwenye uchaguzi wa viongozi wake nchi nzima uchaguzi uliotawaliwa na utoaji wa rushwa wa kutisha kwa...
  5. Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  6. K

    Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu. 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana. 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  7. Kama ulihisi UVCCM Simiyu ni kiboko, hebu angalia hawa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana rushwa hadharani

    Hii video nimeiona sehemu ikabidi nipate uhakika kisha niipost. Hawa ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa UVCCM Mkoa wa Mara wakigawana Rushwa hadharani bila woga wala soni. Kama vijana wadogo wanalelewa hivi, je hiki chama kina nia kweli ya kutokomeza rushwa?
  8. CCM yafuta matokeo ya uchaguzi wa UVCCM mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa

    Chama Cha Mapinduzi kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili wazi za rushwa. Dodoma. Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimefuta matokeo ya uchaguzi wa Umoja wa Vijana (UVCCM) mkoa wa Simiyu kwa kilichodaiwa ni kuwepo kwa dalili za...
  9. K

    Rushwa na biashara vinarudi Tanzania

    Nimetoka Tanzania juzi na mara ya mwisho kwenda Tanzania ilikuwa 2019. Kwa maono yangu 1. Biashara zinaanza kurudi kwa kasi na watalii wameongezeka sana 2. Rushwa inarudi kwa kasi sana hasa NIDA na Police traffic. Mfano NIDA kuna watu wanasubiri miaka miwili card bila kuwaambiwa sababu...
  10. CCM yangu Tujitafakari juu ya Rushwa

    Chama changu pendwa cha Mapinduzi tunaumia sana kuona Rushwa inatawala kwenye chaguzi ndogo hizi Alafu na vyombo vya Usalama vinasema ni mambo yetu ya ndani yaachwe? Inaondoa kuaminika Kwa watu! Acheni kutumia Rushwa kupitisha wagombea maana haina afya Kwa Taifa maana CCM ndo Chama tawala...
  11. J

    Watumishi wa Serikali wa Kigalatia wanasali mara tatu kila siku, Mungu awasaidie waache Rushwa!

    Nimeshuhudia pale KKKT Azania Front na Anglican church St Albans Jumatatu hadi Ijumaa Watumishi wa Serikal wanajaza Kanisa Asubuhi, Mchana na Jioni. Hali hii nilizoea kuiona kwa wale Islam wanaoswali Swala 5 lakini sasa Wakristo ndio wanaongoza kwenda Ibadani Hasa Wagalatia wa TRA, RITA na...
  12. Ghana: Rais amfuta kazi Waziri wa Fedha kwa tuhuma za rushwa

    Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa. Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo. Inadaiwa Boahen aliomba Dola...
  13. T

    Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  14. Huu ndio uzalendo wa kweli. Unakataa rushwa ya mil 5 unapokea cheti

    Askari wa Kiteto Koplo Ismail Ally Juma amepongezwa na kupewa cheti kwa kitendo chake cha kukataa shilingi milioni 5 kutoka kwa mtu mmoja aliyekuwa anasafirisha wahamiaji harama 11 wakitokea Ethiopia kuelekea Afrika ya kusini. Koplo Ismail ni miongoni mwa askari 13 waliopongezwa na Kamanda wa...
  15. R

    Mawaziri wanatuficha nini wanapotetea kujitoa kwenye Mpango wa Uendeshaji Serikali kwa uwazi?

    Mbunge wa viti Maalum Grace Tendega aihoji serikali kujiondoa kwenye mpango wa uendeshaji kwa uwazi shughuli za serikali akisema jambo hilo lilikuwa ni silaha muhimu katika kupambana na rushwa. Ripoti zimekuwa zikionyesha vitendo vya rushwa kuongezeka na ripoti ya CAG kutofanyiwa kazi kwa...
  16. DOKEZO Nyagabona ni Afisa Elimu Taaluma (W) mla rushwa wilayani Magu

    Ingekuwa ni amri yangu; huyu Afisa Elimu Taaluma (W) Magu angeondolewa mara moja kwa sababu ni mla rushwa aliyekithiri na ayependelea waalimu wa kabila lake (Wajita). Amekula fedha kwa walimu wengi sana aliowaahidi kuwapa ualimu mkuu (hao nao wanastahili kushughulikiwa kwa sababu kutoa rushwa...
  17. Unyanyasaji wa Polisi; Umewahi kupigwa, kuteswa, kudhulumiwa, kukomolewa au kubambikiwa kesi bila kosa? Weka mkasa wako hapa

    Sio kusema ni wote lakini hawa wanaofanya haya matukio ndio wanasababisha tuwaweke wote kwenye chungu kimoja. Leo hii tu kuna kijana mwanafunzi wa chuo cha Saut huko Mwanza katoa ushahidi jinsi alivyopasuliwa korodani na Polisi waliokuwa wamelewa na kumpiga marungu ya kwenye korodani mpaka...
  18. Rais Samia: Rushwa ndani ya chama ni tabia

    Rais Samia akipokea ripoti ya kikosi kazi ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi amesema rushwa katika vyama vya siasa ni tabia. Ametolea mfano baadhi ya vyama kuwalaza watu kwenye maeneo mazuri ili kupata kura za wajumbe. Amesema kazi ya kupambana na rushwa ni ya kila mmoja na rushwa ipo...
  19. Inakuwaje TRA kwenye nne bora ya wenye uadilifu wapo na nne bora ya wala rushwa wamo? Huu utafiti nina mashaka nao

    Angalia picha kisha toa maoni yako.
  20. Padri Kitima: Serikali iweke wazi matumizi ya miradi ili kudhibiti Rushwa

    Padre Dkt. Charles Kitima amesema nchi inahitaji kuweka wazi ripoti za mapato na kazi inazozifanya zinazogusa maisha ya watu ili kuwezesha wananchi kupima na kuiwajibisha Serikali na si wabadhirifu pekee. Pia, Katibu Mkuu huyo wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania ameeleza kuwa wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…