rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waitara: Tatizo kubwa la nchii ni rushwa na imekithiri siku za hivi karibuni. TAKUKURU wapo kila mahali kwanini hawakamati wanaotoa rushwa?

    Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema Ripoti nyingi zinaonyesha tatizo kubwa la nchi hii ni rushwa ambayo inakwamisha maendeleo mengi, akisitiza kuwa rushwa imekithiri hasa siku za hivi karibuni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Majaliwa, Mpango sasa Nchimbi! Tatizo ni rushwa

    Mama ukiwa mchapa kazi na sio mla rushwa na unapenda haki unakuwa adui yake.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwenzetu Warioba yupo ICU - Hospitali ya Kwangwa, Watumishi wanatubambikia bili zenye harufu ya Rushwa

    Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya. Kwa sasa anapigania maisha...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wanausalama wa Barabarani Mkata hizi tuhuma za rushwa mnazisawazishaje? Mnaonea sana madereva wa Lori

    Kituo cha Police Mkata Kitengo cha Usalama Barabarani kumekuwa na ukiukwaji mkubwa wa maadili ya kazi yaani rushwa pale ni halali yao kabisa ndio sehemu wameona pakupatia hela ukio-overtake pale wanakuweka mahabusu wanakutoa wanakupeleka kwenye chumba chao kuna askari. Katika hicho kituo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania KERO Kuhusu utoaji huduma mbovu za Ofisi ya NIDA Nzega

    Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Watumishi wa Ofisi ya NIDA Nzega pamoja na kiongozi wao wanadaiwa kutoa huduma zisizoridhisha kwa wananchi. Baadhi ya wahudumu wana kauli zisizo za kiungwana, huku wananchi wakidai kuwa bila kutoa rushwa ni vigumu kupata huduma. Pia, kiongozi wa ofisi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa NSSF hawatusaidii waajiliwa wa private sectors kupata stahiki zetu kutoka Kwa waajili wetu

    Hii changamoto ya wafanyakazi wa NSSF haswa wakaguzi wanaopewa majukumu ya kwenda kukagua katika taasisi mbalimbali kutotimiza majukumu Yao vizuri. Nimekumbwa na changamoto hii baada ya kupeleka malalamiko yangu katika Moja ya ofisi za NSSF zilizopo hapa Dar es salaam kwamba Kwa kipindi kirefu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa tuhuma za ufisadi na rushwa zinazomkabili John Heche, ni wazi amekosa credibility ya kukosoa wengine kwenye masuala ya uadilifu.

    Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
  8. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wananchi wa Bunda tunakumbana na rushwa iliyokithiri katika Mahakama ya Mwanzo ya Mcharo

    Wananchi wa Kata ya Mcharo, Wilaya ya Bunda, wanaomba mamlaka husika kuchunguza tuhuma za rushwa katika Mahakama ya Mwanzo ya Mcharo. Kwa mujibu wa madai yao, baadhi ya wananchi hukosa haki kutokana na kushindwa kutoa rushwa. Pia kuna tuhuma kwamba baadhi ya wanawake wanaofuatilia mashauri yao...
  9. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mgambo na Trafiki wananyanyasa watu Kariakoo, ndio maana Rushwa haiishi!

    Mimi ni dereva bajaji, wiki iliyopita Kariakoo ilinifundisha somo chungu kuhusu uonevu ambao hauzungumzwi kwenye runinga au Media. Ilikuwa mchana wa jua la utosi wakati naingia Kariakoo, nikiwa na abiria wangu, nilielekea kwenye duka moja ambalo mbele yake kuna eneo lililotengwa rasmi kwa ajili...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ofisi ya Mikwambe Kigamboni wanachelewesha huduma ya kuunganisha umeme makusudi

    Napenda kuwashirikisha changamoto niliyokumbana nayo wakati wa kuomba huduma ya kuunganishiwa umeme katika ofisi za TANESCO Mikwambe, Kigamboni. Kwa kifupi, ofisi hiyo ni mpya na ina mazingira mazuri, lakini huduma ya kuunganishiwa umeme kwa wateja inaonekana kucheleweshwa kwa muda mrefu...
  11. JamiiForums Tanzania Takukuru, walioshindwa kumkamata yule fisadi Msama, wanauwezo kukamata corruption live?

    Najiuliza Hawa Hawa takukuru nilio wambia wanitumie buku tu niwatonye Alex Msama alipo siku hiyo na hawakutuma hata ilo buku, wataweza kukamata mtu live anae toa rushwa pamoja na anae POKEA? Sidhaniiii kama wanauwezo uo Hawa watu, Hawa wanachunguza baada ya kutonywa dhidi ya tukio lililojitokeza.
  12. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna baadhi ya Lecturers katika Chuo cha UCC wanataka rushwa kuwapa wanafunzi madaraja mazuri

    Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
  14. JamiiForums Tanzania Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, lakini Naibu wake anasema wanaopinga rushwa kwasababu hawapo jikoni

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Waitara: Waziri Mkuu anasema wabadhirifu wakamatwe, Waziri wake anasema “Wanaopinga rushwa hawajakaa jikoni”

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, akichangia bungeni Juni 16, 2026 amesema; "Mhe. Mwenyekiti, tunapofanya mambo haya tuwe makini sana. Kila tunapoenda, malalamiko ya Watanzania hapa, sio kutenga fedha Mwenyekiti, sio kulipa kodi, wakishalipa kodi inatumikaje? Hapo ndio hoja. Watanzania...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya Rostam, Mwenyekiti Halmashauri ya Monduli kwenye kashfa ya rushwa

    Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha. Akram ambaye pia...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mgambo Kariakoo wanatumia kigezo cha 'faini' kuomba rushwa kwa Bodaboda na Bajaj

    Kuna mgambo Kariakoo wanakamata bodaboda kila siku na kuwabambikia faini kuanzia Shilingi elfu 50 hadi 70, mbaya zaidi wanakuomba rushwa si chini ya elfu 30 ukikataa wanapeleka pikipiki yako kule Mnazi Mmoja. Baada ya pale wanakujazisha fomu kwa nguvu kwamba umefanya wrong parking, baada ya...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mazingira ya rushwa katika mikopo inayotolewa Hazina kwa Watumishi ngazi ya Halmashauri ya Kakonko

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina. Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti ndani ya miaka mitatu iliyopita. Kila mara ninapowasilisha ombi langu kupitia mfumo wa mtandao, ombi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2026 USHETU DC hali ni tete. Hatujapewa PESA ZA KUJIKIMU

    Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini. Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa kada zote na kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu hilo. Jibu la awali lilikuwa kwamba pesa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Tanzania ni Taasisi imara, badala ya kutegemea Wanasiasa

    Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…