Taarifa iliyotolewa na Shehe mwenye ushawishi mkubwa sana kwenye eneo la maziwa makuu, Ponda Issa Ponda na kunukuliwa na gazeti la Raia Mwema, anaeleza kwamba kuna zaidi ya mashehe 300 waliorundikwa rumande bila kupelekwa mahakamani kwa zaidi ya miaka 10.
Bali haijafahamika sababu hasa ya...
Waandishi wa habari 13 wamedaiwa kuwekwa vizuizini nchini katika eneo la Amhara Ethiopia ndani ya wiki moja hatua iliyoonekana kama ukandamizaji wa sauti muhimu, za wanaoripoti kuhusu mgogoro uliopo katika eneo hilo
Inaelezwa kuwa Mei 23, 2022 Siku ya Jumatatu, viongozi wa Amhara, eneo la pili...
Haki ionekane pande zote, masheikh walikaa rumande miaka tele, hata Sasa tunapoongea ndugu zetu wanaozea rumande, kesi hizi za kisiasa zinapangwa tarehe za karibu.
Mahakama mnakwama wapi? First in first out.
Haki ni kwa wote.
Tunatarajia kesi hiyo ya akina Mdee na yenyewe ipangiwe miezi...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameachiwa huru leo Machi 4, 2022, na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, baada ya DPP Kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo.
Hatua hiyo imekuja siku...
Mi naona huu msemo wa 'kesi za kubambikizwa' kama mama samia kauchukulia sawa na lugha za vijiweni.
Ni kweli kuna kesi za kubambikiwa ila naamini polisi wenye kubambika wana uwezo wa kupika ushahidi tena kwa kushirikiana na mahakimu na kupiga hela au kuwafunga wahasimu wao. Kwa kesi za...
Polisi Mkoa wa Mwanza wamethibitisha kuwashikilia watu 30 waliokusanyika bila kuwa na kibali.
BAVICHA waliandaa mkutano ambao watu walihudhuria lakini hawakuwa na kibali, na hakukuwa na fujo katika kusanyiko hilo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza amesema wanaruhusu mikusanyiko lakini inapaswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.