Ruangwa is one of the five districts of the Lindi Region of Tanzania. It is bordered to the north by the Liwale District, to the south by the Nachingwea District and to the west by the Morogoro Region.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Ruangwa District was 1,204,516.
Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini.
Tunaomba Viongozi Washughulikie Swala Hili Kwani, Kama Mtumishi Wa Umma Kuwa Na Barua Hizo Inasaidia Katika...
Anonymous (fdc6)
Thread
barua
halmashauri
kazini
kutoa
ruangwa
sana
wilaya
wilaya ya ruangwa
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliandaa wahudumu wa afya ya jamii kwa kuwagharamia mafunzo yaani Ada, malazi chuoni na chakula na kila kitu kuhusu mafunzo hayo.
Baada ya kumaliza wahitimu wanatakiwa kupewa vifaa vya kufanyia kazi kama baiskeli, vishkwambi na vifaa vingine...
Ruangwa tuna shida kubwa ya maji. Mimi nimezaliwa hapa nimekulia hapa hadi leo hii nakaribia umri wa miaka 20 miaka yote hapa tuna shida ya maji tu, tangu niko mdogo tunateseka na shida ya maji hadi leo hii bado tunaendelea kuteseka. Nothing is getting better
Huku maji yanatoka mara moja kwa...
Dah.. Japo mimi ni Mngoni ila nachukulia sana Ruangwa ndio kwetu, maana nimezaliwa na kukulia huku; hadi leo hii nina miaka 19, familia yetu haijawahi kuhama Ruangwa
Huku wanashangilia sana CCM kwa sababu kipindi cha Magufuli, Majaliwa alijitahidi kuleta maendeleo lakini wananchi hawaelewi...
Amesema,
1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa.
2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo.
3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
Kama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema mapema asubuhi
Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi na Mkurugenzi wa Ruangwa Pride Hotel, Mparuka Hashim Mtopela amechukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Ruangwa.
Soma,Pia: Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa 'Asanteni Ruangwa'...
Habari wakuu,
Kesho tarehe 2/07/2025 ninatarajia kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Ruangwa mkoa wa Lindi.Nitachukua na kurudisha kesho hiyohiyo.
Kama mwanachama mwenzenu dua zenu muhimu sana.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa mawili ya kumbaka na kumlawiti mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita. Hukumu hiyo imesomwa Juni 25, 2025 na Hakimu...
Mkoa wa Lindi unatarajiwa kuwa lango kuu la uchimbaji wa madini kutokana na kuonekana kuwa na aina zaidi ya 10 za madini mbalimbali yanayopatikana kwa wingi ikiwemo madini ya kimkakati kama Kinywe (Graphite) na Nickel.
Akizungumza katika mahojiano maalum, Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Lindi...
Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hassan Ngoma, amefanya ziara ya kukagua na kuhakiki miradi mbalimbali ya maendeleo itakayopitiwa na Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 pamoja na barabara zitakazotumika katika mbio hizo.
Ziara hiyo imefanyika leo Mei 21, 2025, ambapo Ngoma ametembelea maeneo...
Umoja wa Wachimbaji kwenye mgodi wa Namungo uliopo kwenye wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi wamejitokeza na kuamua kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dkt. Samia suluhu Hassan kwa kumlipia fomu ya Urais na fomu ya Ubunge kwa Mbunge wa Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Wachimbaji hao wamesema...
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima.
"Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji wa kwanza tunataka fomu moja ya Dkt. Samia kupitia halmashauri kuu. Tulipokuwa na sherehe yetu ya...
Waziri Mkuu na mbunge wa Ruangwa ameeleza kuwa amekoshwa na mwamko wa vijana wa UVCCM (green guard) Ruangwa hali iliyopelekea akataka kutokwa na machozi mara baada ya kuona gwaride la vijana hao. Majaliwa amewapongeza vijana hao kwa mwamko huo. Ameyasema hayo Ameyasema hayo Mei 03, 2025 wakati...
Wakuu wa Jimboni kwa Waziri Mkuu mje mtuoneshe hayo mageuzi mliyofanyiwa huko.
===
Mkuu wa wilaya ya Ruangwa Nasoro Ngoma amesema aliyoyafanya Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katika jimbo lake ndani ya miaka 10 si maendeleo bali ni mapinduzi. Ngoma ameeeleza mtandao wa lami uliowekwa katika kipindi...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
Sote tunafahamu kuwa uchaguzi wa 2020 ulituletea Waziri Mkuu ambaye ni kinyume cha Katiba.
Katiba yetu inatamka wazi kuwa Rais atamteua mbunge mmojawapo aliyechaguliwa na wananchi kuwa Waziri Mkuu, ma atathibitishwa na Bunge.
Waziri Mkuu tulite naye hakuchaguliwa na kura hata moja ya...
Wana JF Heshima kwenu.
Za kutoka jikoni kwa walio Karibu na "Mjomba" wanaeleza wazi kuwa bwana Mkubwa baada ya kuona upepo namna unavyokwenda, aneonesha nia ya kutogombea Tena Jimbo la Ruangwa.
Japokuwa watu Bado wanakumbuka kuwa alitamka siku ya "Ruangwa Marathon" mwaka wa jana,kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.