rostam

  1. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam yanatoa upande usiofahamika

    Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts. Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama nchini Kenya imekataa kuondoa amri ya serikali kufungia kiwanda cha Rostam Aziz

    Bilionea wa Tanzania, Rostam Aziz amepiga kizuizi cha kisheria nchini Kenya, ambapo mahakama imekataa kuondoa amri ya kufungia kiwanda chake cha gesi ya petroli iliyoyeyushwa yenye thamani ya Sh16 bilioni (dola milioni 103). Uamuzi huo uliotolewa Jumanne, unaacha mradi wa Aziz wa Taifa Gas...
  3. JamiiForums Tanzania Rostam ana nguvu kiasi gani mpaka atetewe na idara za serikali? Kwanini asijitetee mwenyewe?

    Wakuu baada ya kufatilia maojiano ya The Chanzo na mwanzilishi wa Jf kuhusu kufungiwa kwa huu mtandao nikabaki na maswali mengi! Moja ya sababu iliyotajwa na TCRA ni kuhusishwa kwa RA na ununuzi wa mgodi wa makaa ya mawe! Sasa kama ikiwa ni kweli au si kweli kwanini huyo jamaa asijitetee...
  4. JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya Rostam ni sababu ya asili yake, Watanzania ni wabaguzi kiasili na kujificha kinafiki

    Usiombe upate pesa Tanzania ukiwa na asili ya ulikotoka utasikia Mrundi yule kisa unatoka Kigoma! Utasikia Gabachori yule kisa unatokea India, Bangladesh na n.k Wengi wanaomsakama Rostam ni sababu ya rangi ya ngozi yake tu maana watanzania ukitajirika wanaangalia sababu za kijinga jinga tu...
  5. JamiiForums Tanzania Rostam: Umejibu na watanzania wamekusikia

    Upo usemi kuwa usihukumu kabla ya kusikia upande wa pili. Kwa aliyepata bahati ya kumsikia Polepole kuhusu sakata Rostam kujinyakulia mgodi wa makaa ya mawe na ule wa almas atakubaliana na mimi kuwa maelezo ya Rostam kujibu tuhuma hizo, hata kama humpendi vipi, yamezififisha sana hoja hizo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Uvamizi JF una uhusiano na Press ya Rostam Aziz?

    Jana majira ya mchana ziliibuka habari za kuvamiwa kwa Ofisi za JF Mikocheni. Inasemekana wavamizi walikuwa wanamtafuta Ndg Melo. Usiku wa Jana hiyo hiyo Mfanyabiashara mashuhuri Rostam Aziz alionekana akitolea maelezo baadhi ya mambo anayotajwa kuhusika nayo kwenye biashara zake na pia kundi...
  7. JamiiForums Tanzania Rostam Maelezo yake yamenyooka na yanaeleweka. Huenda Mtangazaji ndiye ameshindwa kumhoji

    Habari za Sabato! Nimemsikia Rostam kwa umakini, amejieleza vizuri sana na yapo mambo kupitia Press yake yameniongezea kitu hasa katika utafutaji na biashara. Kuhusu tuhuma zake, zote alizoulizwa amejibu kiufasaha kabisa na maelezo yake yamenyook na yenye kueleweka. Tatizo nililoliona lipo kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Kama una cha kujifunza utajifuna na kufanya reformation. Hakuna anayejadili ulichokiongea maana wanajua unachowafanyia watanzania na ukweli wa MUNGU unajulikana. Linganisha na trending ya press conference za Polepole! Ina maana watu wanaona substance from his mouth! Lakini kwa vile...
  9. JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara au Mwekezaji unaejielewa achana na siasa, kaa jifunze playbook ya uwekezaji na biashara anayotumia Rostam A. He's the best dealmaker

    Kwenye biashara na uwekezaji skill pekee ambayo ni muhimu kuliko zote ni 'The art of deal making' Na mtanzania pekee ambae naona anafaa kuwa rolemodel wa wengine kwenye hilo si mwingine bali ni Rostam Aziz. Sasa wewe kijana au mzee mfanyabiashara au mwekezaji endeleza ushabiki wa kisiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mimi bado sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe, Ngaka kuna migodi 16

    PS: Huyu mwamba anaposema "Mimi sijaanza kuzalisha makaa yangu ya mawe" ni dharau kubwa kwa nchi, anaongelea rasilimali ya nchi as if ni mali yake binafsi, wakati yeye ni muwekezaji tu. Na watu wanachohoji siyo nani amewekeza, bali wanahoji yeye kama muwekezaji kununua rasilimali yenye thamani...
  11. JamiiForums Tanzania Rostam: Umasikini siyo jambo la kujionea fahari

    Katika mahojiano maridhawa ya Mwanahabari nguli Tido Muhando wa TBC na Mfanyabiashara "guru" Rostam Abdulrasul Aziz pamoja na kuongea mengi juu ya biashara na siasa, Watanzania tumeshauriwa kutokuuona Umasikini kama jambo la fahari au la kawaida. Watanzania wengi imesemekana tunauona Umasikini...
  12. JamiiForums Tanzania Rostam: Mimi nilikuwa mfanyabiashara wa kwanza kuingia bungeni, nilizua kasheshe sana na nilikuwa na uchaguzi mgumu

    Mimi nilikuwa mfanyabiashara wa kwanza kuingia bungeni, wakati huo fomu za bunge za kugombea ubunge zinabox mbili awe mkulima au mfanyakazi mimi nilikrozi zote mbili nikaandika mfanyabiashara, kwahiyo nilizua kasheshe kwenye kamati kuu ya chama wanabishana sasa huyu tunafanyaje kwa sababu si...
  13. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi

    Mfanyabiashara maarufu nchini Rostam Aziz akihojiwa na kituo cha Azam cha UTV amesema mtandao ni kitu cha kawaida kwenye uchaguzi. Amesema uchaguzi wowote hata kama ni wa Diwani, Mbunge au Rais lazima kuwe na mtandao. Huwezi kushinda uchaguzi kama huna mtandao labda uwe Dikteta. Amesema mtandao...
  14. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
  15. JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Mfanyabiashara Rostam Aziz aliyoyafanya na UTV

    Naam wakuu ========================= Mfanya biashara na mwanasiasa maarufu ndugu Rostam Aziz anahojiwa katika kipindi kinachoruka muda huu kupitia channel ya UTV Azam Tv, lakini kipindi sio live, mahojiano yanaendeshwa na nguli wa habari nchini, Tido Mhando...
  16. JamiiForums Tanzania Michongo ya Rostam inanikumbusha kiherehere cha Jack Ma wa China alichokutana kwa serikali ya China

    Hizi stories za michongo ya Rostam toka zilivyo anza kupata umaarufu mkubwa zaidi miaka ya 2000s nchini Tanzania zinanikumbusha jambo moja kumuhusu Jack Ma. Jack Ma tajiri mmoja hivi toka alikuwa maarufu sana na kama unavyojua umaarufu unatabia ya kulevya ukichanganya na pesa, pesa ni kila kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Rostam Mungu akulinde na akuzidishie utajiri

    Tumecheza pamoja kule mwisi kijijini ulikozaliwa,najua wengi wa wanaokuchukia hawakuzaliwa kwenye nyumba ya tope na bati jeupe,ua uliozungushiwa minyaa,chini ya usimamizi wa baba yako. Utajiri wa kiasi aliokuachia baba yako umeuendeleza kufikia hatua ya sasa una viwanda afrika,uarabuni na...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hela ndiyo kila kitu bhana, Rostam anadhihirisha hili!

    Nimeangalia clip moja ya kichekesho, bwana mmoja kaja na briefcase ina mahela kamkuta jamaa na mke wake. Kaanza kutoa mabulungutu ya hela akampa jamaa ili ammwachei mke wake. Jamaa akagoma lakini kadri mabulungutu yalivyoongezwa ndivyo jamaa akalegea na kuyachaukua mabulungutu hayo then...
  19. JamiiForums Tanzania Rostam Azizi anaitumia mbinu Gani kati ya hizi mbili Ili awe Tajiri? ZINGATIA hizi ndo njia mbili kuu za kuwa Tajiri, nje hizo wewe ni kapuku.

    1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali. Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
  20. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wanamtandao Rostam Azizi aweka mpira kwapani, Hajaonekana Azam TV kama ilivyotangazwa, kaogopa nini?

    Hili ndilo Swali wanalojiuliza watu wote Duniani. Awali liliwekwa Tangazo hili hapa Alipotangaza jambo hilo alijiamini nini na sasa kakimbia nini? Au naye kaogopa Mkata Swichi? Majibu anayo mwenyewe na wanamtandao Wenzake
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…