Rorya: Uhaba wa vyumba vya huduma wafanya wagonjwa kukosa usiri katika zahanati ya kijiji

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,005
9,872
Zahanati ya kijiji cha Nyanchabakenye kata ya Kisumwa wilaya ya Rorya, inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa vyumba vya huduma jambo ambalo linasababisha kutokuwepo kwa usiri kwa wagonjwa, wananchi wameomba wadau wa maendeleo kwa kushirikiana na serikali kupanua majengo hayo.

1625475029009.png
 
CHMT na RHMT zinafanya nini huko?


Nasikia kuna mtu anaenda kujengewa sanamu so far, am very shocked
 
Kanda maalum ,wanaume halisi .wazee wa majambia ,mmalize jengo ,Sisi M tuko bize kujenga sanamu la kayafa
 
Tunajenga sanamu la kayafa kwanza nyie endeleeni kuonana mlivyoumbwa
 
Back
Top Bottom