ronaldo

  1. JamiiForums Tanzania Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

    Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno. Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
  2. JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo ana utoto sana. Huwa namchukia sababu ya kudhani yeye ni bora sana anafaa kuogopwa

    Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana. Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa tutolewe hamna kumbembeleza mtu utadhani yeye Mungu. Fala kabisa.
  3. JamiiForums Tanzania AL Nassr ya Saudi Arabia yamtaka Cristiano Ronaldo kwa Tsh. Bilioni 524.7

    Klabu hiyo imesema iko tayari kumsaini nyota huyo kwa mkataba wa miaka 3 ukiwa na thamani ya Tsh. Bilioni 174.9 kwa mwaka. Aidha AL Nassr kutoka Mashariki ya Kati imesema haina tatizo endapo Ronaldo atataka kuendelea kucheza hata baada ya kufikisha miaka 40. CR7 ndiye mchezaji pekee...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ronaldo wa kombe la dunia kama mchezaji wa ureno anaonekana ni tofauti kabisa na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U: Hii imekaaje?

    Pamoja na ukweli kuwa R7 kwa sasa hana kasi yake ile ya zamani lakini Ronaldo wa kwenye kombe la dunia ameonekana kuwa tofauti sana na yule Ronaldo wa EPL kama mchezaji wa Man U. Jana R7 kaibuka man of the match (mchezaji bora kwenye mechi)!!. Mchango wake kwenye mechi ulikuwa mkubwa sana...
  5. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo na Jacob & Co wazindua saa ya thamani ya Milioni Mia tatu

    Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram mshambuliaji matata christiano Ronaldo alimaarufu CR-7 kwa kushirikiana na Kampuni ya rafiki yake wa zaidi ya miaka 20, Jacob & Co amezindua saa mpya za kifahari zilizotengenezwa kwa ushirikiano, sahihi na Alama spesheli za Ronaldo. Bei ya...
  6. JamiiForums Tanzania Critiano Ronaldo kaondoka kishujaa Manchester United

    Vyombo vya habari vimetumika kumchafua kwa kuyapa uzito mambo hasi, lakini aliongea mengi ya msingi na ukweli. Miongoni mwa mambo hayo ni: ~ Glazer hawajali timu. ~ Tangu Fergurson aondoke, hakuna maendeleo yoyote. ~ Tangu aondoke 2009 hadi aliporudi 2021 licha ya mabadiliko ya tekhnolojia...
  7. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo kuondoka Manchester United mara moja kwa makubaliano ya pande mbili

    Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa katika vipindi viwili akiwa Old Trafford, akifunga magoli 145 katika michezo 346” Hatua hiyo inakuja...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Cristiano Ronaldo ajipeleka Real Madrid, aomba mkataba wa miezi 6

    Inadaiwa kuwa Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kuwa yupo tayari kujiunga na klabu hiyo kwa muda wa miezi sita. Ronaldo (37) ambaye yupo mbioni kuachana na Manchester United anataka kwenda kuziba nafasi ya Karim Benzema ambaye ni majeruhi. Man United inaendelea kujipanga kisheria ili...
  9. JamiiForums Tanzania Inadaiwa Picha maarufu ya Ronaldo na Messi ilikuwa edited bila wao kukutana, kutokuwa marafiki ndio chanzo kikuu

    Ni picha iliyojizolea umaarufu mkubwa watu wengi wakidhani picha hio ilikuwa ni ya kweli na ilipigwa kwa lengo la kumbukumbu, Stori ipo tofauti kabisa. Picha hii imeandaliwa kwajili ya mikakati ya kutangaza na kuifanyia promoshen kampuni kubwa ya nguo "luis vutton", kampuni hii iliingia mkataba...
  10. JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo na Lionel Messi wote wamepost picha hii Kwa pamoja , comments zimevunja record ndani ya mda mfupi

  11. JamiiForums Tanzania Wakala wa Cristiano Ronaldo aanza mazungumzo na Bayern Munich

    Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United. Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan...
  12. JamiiForums Tanzania Ronaldo: Tangu kuondoka kwa Ferguson maendeleo ya Man United ni sifuri

    Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo). Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka...
  13. JamiiForums Tanzania Ronaldo kama ataendelea na tabia zake za ovyo basi atajipotezea heshima yake ndani ya Dunia ya Soka

    Jana 20 October 2022 ilichezeka mechi kati ya Manchester United na Tottenham Spurs, mechi za Ligi Kuu ya Uingereza EPL na mechi ikaisha kwa ushindi kwa Manchester United iliondoka na ushindi wa goli 2 kwa 0 ndani ya dimba la Old Trafford. Tukio lililovuma zaidi la Cr7 timu yake ilishinda mchezo...
  14. JamiiForums Tanzania Ronaldo akubaliane na hali halisi, aondoka uwanjani kabla mechi haijaisha

    Ni wakati wa huyu jamaa kujifikiria zaidi ama andoke United au astaafu, maana hayupo kwenye mipango ya Ten Hag. Kila wakati ni mtu wa kuondoka uwanjani na kwa bahati mbaya timu imeaanza kufanya vizuri hata bila ya uwepo wake. ---------------- Kocha kumchukulia hatua Ronaldo baada ya kuondoka...
  15. D

    JamiiForums Tanzania CR7 afikisha mabao 700 ya timu za klabu

    Sporting Lisbon - Mabao 5 Real Madrid - Mabao 450 Juventus - Mabao 101 Man United - Mabao 144 🐐Goat🙌
  16. JamiiForums Tanzania Christiano Ronaldo aambiwe ukweli, muda umeshamtupa mkono, astaafu

    Huyu gwiji mkongwe katika mpira ameshachoka sasa. Wakati ni ukuta, anatakiwa kujiongeza na kutunza heshima yake. Wenzake wakifikisha miaka ya pensheni huwa wanakwenda Marekani au Uarabuni kula hela pasipo kamera nyingi na matarajio makubwa ya mashabiki. Hakika mpira wa miguu itaukumbuka uwezo...
  17. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo aongoza orodha ya wachezaji wenye gharama na ushawishi duniani

    Wakati Kombe la Dunia likibakiza miezi miwili kuanza, tayari inaonekana nyota wa Ureno na Manchester United Cristiano Ronaldo ataingia kwenye michuano hiyo akiwa mchezaji mwenye nguvu zaidi duniani kwa kuzingatia ushawishi wake kwenye mitandao ya kijamii. Ronaldo amewapiku mastaa wengine kama...
  18. JamiiForums Tanzania Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

    Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo. Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi...
  19. JamiiForums Tanzania Wayne Rooney amshauri kocha wa Man United kutomuanzisha Ronaldo mechi dhidi ya Liverpool

    Nahodha wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amemshauri kocha wa timu hiyo, Erik ten Hag kutompanga Cristiano Ronaldo katika mchezo dhidi ya Liverpool. Tim hizo zinatarajiwa kukutana katika kipute cha Premier League, kesho Agosti 22, 2022. Rooney anaamini United inahitaji wachezaji...
  20. JamiiForums Tanzania Ten Hag anyoosha mikono, ataka Ronaldo aondoke Man United

    Kocha wa Manchester United, Erik ten Hag inadaiwa kuwa amebadili mawazo yake na anataka Cristiano Ronaldo aondoke klabuni hapo baada ya awali kunukuliwa akisema kuwa Mreno huyo yupo kwenye mipango yake Taarifa za ndani ya klabu hiyo zinaeleza kuwa imekuwa ngumu kwa Ten Hag kufanya kazi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…